NMB Watangaza ajira mpya!!!!

Gwota

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
205
92
Wadau nimesikia NMB wametangaza kazi ktk gazeti la the guardiani la leo (27/12/2011), km kuna ambae amelipata gazeti hilo atupe taarifa, nasikia magraduate ndo wanatakiwa
 
Hizo kazi full experience watapata kazi ambao tayari wako kazini....maana ushindani wataumudu!!ila kujaribu haikatazwi wadau wote
 
Jamani ila msikate tamaa kujaribu kwani kila mtu ana bahati yake.
 
bank teller recruitment imeanza mwez huu mwanzoni, wanaanza kaz tar 2 jan mwaka ujao. kama vp andaa cv yako peleka pale nmb zonal office posta unabet kwa ajil ya nxt months, ok
 
Back
Top Bottom