Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe &[HASHTAG]#8220[/HASHTAG];Siri&[HASHTAG]#8221[/HASHTAG];)
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Bora MME WEKA HUU UZI HAPA!!! KUNA KERO KUBWA SANA TAWI LENU LA MBAGALA!!! KUNA MADIRISHA NANE YA MATELLER YA KUHUDUMIA WATEJA, ILA KILA NIKIENDA HAPO MADIRISHA MATATU NDO YANA MATELLER NA MARA NYINGINE WANA WEKA KIBAO CHA HAWAPO KWA MUDA NA WATEJA WAPO LUKUKI, UNAWEZA KWENDA HAPO SAA NANE, UNAKAA HADI SAA KUMI NA MOJA HUJA HUDUMIWA, SASA NAOMBA KUULIZA, MMESHINDWA KUAJIRI MATELER WATOE HUDUMA KWA WATEJA!!! AU WANAO FANYA KAZI HAPO WANAFANYA HIVYO KWA MAKUSUDI ILI WAWE WANALIPWA OVERTIME AU VP!!! COZ KUNA VIJANA WENGI HAWANA KAZI, NIKIWA MMOJA WAO MIMI NIMESHAOMBA KAZI HAPO LAKINI HATA INTERVIEW SIJAWAHI KUITWA? TUELEZENI MBONA MSIWAAJIRI MATELLER WAKA WEPO KWENYE MADIRISHA ILI KUWAHUDUMIA WATEJA HARAKA HARAKA!!! AU MNADHANI WATU WANAVYOPOTEZA MUDA!!! WANAPOTEZA SHILLINGI NGAPI KWENYE BIASHARA ZAO??? NAOMBA JIBU TAFADHALI
 
Tafadhali NMB muwe makini na baadhi ya wafanyakazi wenu wa matawi mbalimbali.

Udhaifu ambao unasemekana ni wa makusudi, ni ule wa kufunga mabunda ya Mil 5, au10 ya noti za elfu kumikumi, na kumbe ukishazichukua,unajiamini una elfu kumikumi, unajikuta una baadhi ya noti za elfu mbilimbili..

Unakuta katika kila milioni moja,kwa mfano ,kuna elfu nne badala ya elfu ishirini. Na inasemekana,yale mabunda yenye magumashi huwa yanajulikana na tellers wanachagua,ni mteja gani apewe.
 
Nawashauri muweke viti kipindi Mteja yupo foleni kusubir huduma kama wenzenu wa CRDB ya quality center... Then mfunge counter ambazo hazina ma cashier maana kwa upande wangu naona kama urembo especially NMB ya Sinza Mori Kuna counter kibao lakini hakuna watu wa huduma.
 
Wekeni ATM kwenye taasisi kubwa kama vile vyuo vikuu ili kusogeza huduma kwa wateja hususan Moshi
 
Kwa kweki tatatibu za mkopo mmejitahidi kuboresha. Wateja hawangaiki kujaza mafomu marefu kama zamani. Sasa rekebisheni mtandao mishahara inapotoka na hakikisheni ATM haziishiwi.

Foleni Mara nyingi hutokana na ATM kuzingua
 
Mm mnaniboa tunamifoleni yenu kama foleni ya tazara Atm foleni, ndani ukitaka hata kuweka hela foleni tafuteni suluhisho la kutatua mifoleni yenu sjui mtajenga flyovers ila sio siri mnaboa Foleb mpaka nje ya Bank mmh
 
NMB tawi la Bunda Mara. Jana mida ya saa 5 kamili asubuhi hadi saa 5 na nusu asb, nilienda kusimamisha a/c yangu kwa miezi 6 ijayo. Nilichokutana nacho kuanzia getini, njoo chini;

Nimeingia namtaka Customer care manager akawa hayupo, nikataka nikae kwenye kiti cha wateja kuna askari wa getini akanikataza akasema nikakae kule mbali, nikaenda huko. Akaja mdada nae anashida na huyo "CCM" yule mlinzi akamwambia kaa hapo pale ambapo alinikataza mm kukaa. Nikapandwa na hasira nikatoka kule nilikokalishwa nikamfuata yule askari, askari akasema naweza kumuona mtoa huduma yeyote mle ndani, nikawa nina dukuduku la kumpa vipande vyake palepale lakini nashukuru Roho wa Bwana kwa kunizuia. yule jamaa (CCM) akawa anazurula tu mle ndani wakati pale kwake kuna foleni tumepanga, huyu CCM alikuwa anazunguka na wadada wawili mabonge hivi, wakaingia ofisi ya branch manager wakawa wanapiga picha za kimahaba mbele ya sisi wateja tuliokuwa tukisubiria huduma kwenye foleni. Walipomaliza kupiga picha wakatoka nje wote na kutuacha kwenye foleni, mm nikawa nimejaza hasira ndpo nikaenda kwa Front officers wale wawili nikawaeleza shida yangu nikiwa nimewatega waseme nimsubirie yule jamaaa alafu niwachambe kwa sauti ya juu, nae yule dada akagundua akaanza kunihudumia, jamani huyo dada akagoma kusimamisha a/c yangu akasema niiache tu maana haina makato ya mwisho wa mwezi eti kwa kuwa ni "Chapchap a/c". Nikaondoka kwa shingo upande sana,

NMB: Nawaombeni kuweni waastaarabu sana hata kama umewekwa pale na ndugu yako hebu jaribu kufanya kazi acheni UJINGA.
Alafu nataka kujua kama akaunti ya ChapChap haina makato ya mwezi au lah?, lengo la kusimamisha a/c ni kwamba sitaweka kitu chochote ndani ya miezi nane ijayo. Naombeni msaada wenu ili ikiwezekana niwarudie wale KENGE wenu pale Bunda Branch Mara Tanzania. Kama sijaeleweka niulizeni niwaeleweshe vizuri
 
Jamani nimefanya muamala tar 25 saa kumi na mbili asubuhi kwa nmb mobile, ajaaaabu hadi sasa sijapata fedha ktk m pesa na salio kwenye akaunti mmelima na ya huduma mmelima...hivi hii huduma imeingiliwa na utapeli? Majibu tafadhali
 
Pamoja na kuwatembelea tawi lao na kujaza fomu ya malalamiko, hadi sasa mpo kimyaaaaaa...nyie jamaa nyie...ngoja nianze kuweka fedha zangu kwenye mitungi.
 
Nataka kujua inachukua muda gani ATM card zenu kuwa tayari na inakuwaje kama mtu upo nje kabisa ya mkoa uliofungulia account yako.asante in advance
 
Ni kweli NMB tutumieni SMS wateja Juu ya fedha kuingia kwenye Akaunti kuliko mpaka mteja uanze kuhangaika kuangalia Salio kuweni Wabunifu kuboresha huduma
 
NMB tujulisheni wateja wenu fedha zikiingia kwenye Akaunti zetu Kwa SMS kama wafanyavyo Benki ya Posta
 
nmb
Tumechoka na mitihani yenu ya kila kwenye branch,mnapima kitu gani hasa kisichojulikana?kazi imekuwa kama shule?
 
Asee hapa mtwara mjini ongezeni basi Atm,na mtanue ofisi yenu maana umo ndani mpaka kukanyagana na atm 2 tu. Boresheni vitendea huduma
 
Benki yenu nzuri lakini hapa Kibaha kuna kiumbe mmoja tu anaitwa Mfinanga huyu ndio kimeo ana ukabila ana penda rushwa 10% ukweli hii benki anafanya watu tuione mbaya jui yake kuhusu mikopo hataki kutoa hata kama unavigezo vyote ili mradi hujamhakikishia 10% fanyeni utafiti mtajua ukweli
 
NMB atm zenu hazitoi mini statement zinazoeleweka kama crdb. Kuweni serious basi walau kidogo
 
Back
Top Bottom