NMB northern zone wamejibu

Naendelea kuwapigia hadi kesho ila mjiandae, wengi wenu mnavyeti vizuri lakini content kichwani na confidence ni hamna karibuni nmb
 
uu ni udhalilishaji kabisa ukiwa km hr kama ni kweli hii ni siri mpka kufa kwako! We kama ni hr yaan ndo wakwanza kutokua na content kabisa natuki dig deep tutakuta mengi nyuma ya pazia.
 
kuna askofu arusha wa kanisa la Agape aliitumia fursa yakutokuwepo na ajira vizuri baada yakwenda redio safina nakutangaza kandarasi yakujenga makanisa, shule,zahanati na visima vya maji tz nzima! Akataka wasimamizi kuanzia std 7 mpka phd yakusimamia kazi za ujenzi na usimamizi wa fedha ila kila mtahiniwa alipaswa kutoa 15,000 au 10,000 na walipata raia zaid ya 4,500 .waliahid mradi ungeanza mwez wa 7 au 8,Chakushangaza ni kwamba wao wenyewe wanasali kwenye mbavu za mbwa! Jaman tuwe makini na hawa watu nyakati za mwisho watatokea watu wakila aina wakitumia jina la Mungu kwa manufaa yao binafsi.

mil 67,500,000 zimekwenda hizo
 
hongereni wadau mulioitwa ,naomba kuuliza kwenye issue ya departiment ulikuwa unajaza nin??nahisi ntakuwa nilikosea kipengere hicho...kuhsu mshahara usitaje specific angalia rink ya graduate mshahara anaanzia sh ngap wawaza kusema kati ya laki 6.5 mpaka laki8
 
  • Thanks
Reactions: efn

Umejib vizur ingawa bado upo juu... wengi wanalipwa laki 5 mkuu so atleast useme salary range ya kati ya laki 4 hadi 6 bas...
 
Kwani ukisema milioni moja na nusu watakufanya nini?Be confident taja pesa unayoitaka kwa kuzingatia kazi utakayowafanyia
 
Back
Top Bottom