NMB bank, mbona mko slow?

Mayolela

JF-Expert Member
Sep 21, 2009
384
6
Jamani biashara ni mashindano na huduma bora,nimefuatilia ufunguaji wa current akaunti,kwa muda wa miezi miwili sasa ,kila nikienda bado tunashughulikia-jamani kuweni makini biashara ngumu.
Documents zote zipo tatizo ni nini?wadau naomba maoni yenu.

msumbuliwa wa njoo kesho na Nmb Bank- benki ambayo ninaipenda toka moyoni kwangu.
 
Jamani hata pale HQ ni kero, kinachoniuzi ni wahudumu wao wasivyo na haraka, wamejaa nyodo na dharau. yani unaweza kufika ukaongea na mtu anakuangalia tu na anaendelea na kazi zake, at times i feel like slaping them, they are damn slow and confident. Hawaogopi ushindani simply because wana uhakika na idara zote za serikali ni wateja wao ll! we need to change people.
 
Back
Top Bottom