Njombe Secondary school " WanaNJOSS" Tujikumbushe haya.

Mvina

JF-Expert Member
Aug 2, 2009
998
34
Kwa wale waliosoma Njombe secondari kabla ya kuwa High school tujaribu kujikumbusha mambo haya.

1. Kuna vyoo vya shimo nyuma ya mabweni kwa jina maarufu vilikuwa vinaitwa Nyamagana ukiingia ni lazima uvue kama una sweta au koti na hata shati ikiwezekana kwa kuhofia kutoka na perfume!

2. Kuna bustani ya mboga ambayo mwl. Ngimba alijipatia umarufu kupitia huu mradi kama haujamwagilia tuta lako ni wewe na yeye.

3.Kuna mgono ulitokea miaka ya tisini na kitu hivi kuna jamaa alidondoka toka ghorofa ya tatu akabaki anadunda kama kawa karibu na Gorani.

4. Kuna yale majengo chini yalikuwa yanajulikana kama Halimashauri

5.Kubwa kwa yote mtakumbuka mwezi wa tano na wasita mabafu yalivyokuwa yanakosa wateja sababu unayo.

6.Wakuu sijayakumbuka yote ila haya ni baadhi tu tujaribu kukumbushana kama kuna unalokumbuka.

Nawasilisha!!!
 
Ha!ha!ha!ha!....sijasoma pale ...ila nimetumia sana resources zenu.....enzi zile tuition zimepamba moto.....! tulimtumia sana Mwal. Kusila...mzee Fizikia aka mzee wa Kilaji, Mwal.Tyson....mzee wa Maths!
 
Duh mzee Mwanyigu naye alikuwepo kama headmasters, Kabyemela, na yule bwana wa Moro second masters. Alikuwepo mwalimu wa nidham pia alikuwa duh! Pia mwalim Nhonya na Kalima. Oh mgomo duh nakumbuka tulisugua home vilivyo.
 
Duu I think mine was a long time one, We had Msele as the Headmaster, Mhapa (RIP) as our second Master. We had issues men I still remember areas like Ngalanga, Nyamagana. We had our big rivals then Mpechi like cats and Dogd until the DC had to intervene. We had figures like Katitu (RIP). Ooh Men! Old times Good times!
I am told it is a high school now, wow! Congrats well it deserves with the structures and facilities it had. (Mastermix)
 
Ha!ha!ha!ha!....sijasoma pale ...ila nimetumia sana resources zenu.....enzi zile tuition zimepamba moto.....! tulimtumia sana Mwal. Kusila...mzee Fizikia aka mzee wa Kilaji, Mwal.Tyson....mzee wa Maths!
homeboi ulisoma MTWANGO?:D
 
Duu I think mine was a long time one, We had Msele as the Headmaster, Mhapa (RIP) as our second Master. We had issues men I still remember areas like Ngalanga, Nyamagana. We had our big rivals then Mpechi like cats and Dogd until the DC had to intervene. We had figures like Katitu (RIP). Ooh Men! Old times Good times!
I am told it is a high school now, wow! Congrats well it deserves with the structures and facilities it had. (Mastermix)
tehe Mhapa tulimkuta pia 1990's, Kwakweli ilikuwa shule nzuri saana. Kulikuwepo mwl Ngimba kule garden, Kasalilo (ng'ombe), kina Tyson. Niliipenda saana shule ile
 
Duh wewe tumepita wakati unaofanana, mwl Meena pia unamkumbuka mzee wa dining. Mh ile msosi wa pale hapana kwa kweli.
 
Enzi zetu (1986 - 1989) Mhapa alikuwa 2nd 2nd master. Msele akiongoza jahazi.

kanda nzima ya Nyanda za juu (Mbeya, Rukwa, Iringa na Ruvuma) tulikuwa tukitesa kwa sambamba na Rungwe sec, ukiachia shule za seminary.

Sijui kama leo hii bado hawajambo kwa kitabu. palikuwa na bonge la Library, wkly test kila jumatano, saa kumi mpaka saa 11 mnaendeleza bustani za mwl katitu (RIP).

Mtalaam wa Physics, mwl. Igogo akitesa na theory na practical zake. Teacher Eliar akitesa kwa somo la namba, teacher Kabyemela (RIP) akitesa kwa history.

Nakumbuka sana semina na mwl. Msele alizokuwa akizitoa kila school balaza la kufunga na kufungua shule. Mkuu yule kweli alifahamu namna ya kuendesha shule.
 
namkumbuka mtaalam wa kiswahili DENGEYA na mabuga yake duuuuuuuuuu! halafu kuna jamaa mmoja aliitwa Mhumba alikuwa anavurumisha minamba kama mwehu!
 
namkumbuka mtaalam wa kiswahili DENGEYA na mabuga yake duuuuuuuuuu! halafu kuna jamaa mmoja aliitwa Mhumba alikuwa anavurumisha minamba kama mwehu!
Duh Dengeya alikuja kuwa mwl wa nidhamu. Ohpss alikuwa mnoko vilivyo. Ila baadaye akaja mwl mmoja anaitwa Ngaile, he was soo good. Mhumba namkumbuka saana.
 
Duh Dengeya alikuja kuwa mwl wa nidhamu. Ohpss alikuwa mnoko vilivyo. Ila baadaye akaja mwl mmoja anaitwa Ngaile, he was soo good. Mhumba namkumbuka saana.

Kijana we naona tumekuwa sambamba kidogo maana hadi naondoka pale shule mnoko dengeya alikuwa bado nidhamu,kuna kipindi walinyofoa water pump ikabidi ziwepo zamu za ulinzi basi watu wakawa tunaisha kuchoma mahindi usiku kucha.
Nimeipenda michango yenu wana NJOSS! Na majirani kama Next Level na wengine.
 
very tru nimelinda saana yale mahindi na kuyachoma pia. Inawezekana tumepita pamoja enzi za kina Mwamepo waliongoza ule mgomo. Kwakweli NJOSS oh ilikuwa shule nzuri saana.
 
enzi zetu bwana 2008-2010.....mkuu alikua mr.william na wa nidham alikua mbedule...ilikua soo tukienda hagafilo
 
enzi zetu bwana 2008-2010.....mkuu alikua mr.william na wa nidham alikua mbedule...ilikua soo tukienda hagafilo

jamani naombeni namba ya simu ya uwongozi wa shule au mwalim yeyote wa mda wa shule,niweze kushilikian nao katika kumleta ndugu yangu kupiga kitabu hapo,,mchepuo wa PCM,,Natanguliza shukrani wakuu
 
Back
Top Bottom