Njiwa, Yoyo,FF, MS poteleeni huko huko

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Nimechukungulia forums ya malaria sugu imekuwa ikiandama sana Chadema, wale user waliokuwa wakilalamika sana hapa jf naona wamepotelea huko.
Nawatakia masiha mema ktk forums yao.
wapotee huko huko hawana mchango wowote kwa taifa
 
For the first time kuona Njiwa katajwa in the same group na wahusika ulotaja.... Dah!
 
wameenda kuiba kura kwenye uchaguzi mdogo IGUNGA mkuu uchaguzi ukiisha tu utawasikia humu kwa mbwembwe
 
Lakini jamani hamuoni kuwa everybody is entitled to his/her opinions?
Haya si ndo mambo ya freedom of expression/free speech?
 
kama huyo malaria sugu ndo apotee kabisa hapa jf,mana kazi yake nini kuchafua hali ya hewa hapa jamvini... afie hukohuko kwenye forums yake ya magamba kudadadeki.
 
Nimechukungulia forums ya malaria sugu imekuwa ikiandama sana Chadema, wale user waliokuwa wakilalamika sana hapa jf naona wamepotelea huko.
Nawatakia masiha mema ktk forums yao.
wapotee huko huko hawana mchango wowote kwa taifa
Napingana na wewe ............... Unajuwa challenges ndo zinakufanya ukuwe kimawazo, kifikra, kielimu, kimaisha ya kawaida, na vile vile ili ujuwe uwepo wa mnene basi mwembamba lazima awepo vinginevyo utakosa mahala pa kulinganishia.................. WAACHENI WAFU WAWEPO ILI TUJUWE THAMANI YA UZIMA
 
Wamefunga!ngoja wafungue mtawaona!watakuja na kasi,ari,na nguvu mpya za magamba!mtakavyopigwa ban humu mpaka mtasahauliana!
 
Mji mkongwe potea wewe JF si mahali pakusifia CDM kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake mambo ya kulazimishana ujinga yamepitwa na wakati.

Nimechukungulia forums ya malaria sugu imekuwa ikiandama sana Chadema, wale user waliokuwa wakilalamika sana hapa jf naona wamepotelea huko.
Nawatakia masiha mema ktk forums yao.
wapotee huko huko hawana mchango wowote kwa taifa
 
nazidi kuamini kuwa hakuna siasa Tanzania
Hivi bila Faiza Fox kuichallenge cdm, mtapataje kuwa wabunifu? Au mnataka watanzania wote wawe wanachadema?

Adui yako mwombee njaa sio kifo, lol, crap!
 
<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">hata mimi ndicho kilichonishangaza.......sidhani kama doctor anastahili kuwa kwenye kundi hili....</span></font></font>
<br />
<br />
Dr anaitwa Riwa na siym Njiwa!umenipata da Preta?
 
Hivi sheria ya JF inasemaje kuhusu kutajana majina kwenye thread. Mimi naona huyu bwana mnampa umaarufu wa Bure.

Na pia hiyo Forum tajwa Mnaipa umaarifu wa Bure.

Hivi ile forum inaweza kulinganishwa na JF?

Mbona kuna forum nyingi tu, zenye watu wenye akili timamu lakini hamzi zungumzii.

Ningekua Mod ningefuta kila Thread inayo anzishwa ikiongelea the Childish Forum.

Its not even worthy being mentioned here!!
 
ms, ff wanapatikana kwenye kamtandao kanaitwa Jamii yetu Forums huko utamkuta na nnape
 
hata mimi ndicho kilichonishangaza.......sidhani kama doctor anastahili kuwa kwenye kundi hili....


Hapa naona in one way or another imeamsha interest za kumsoma... thou mimi mpaka hapa what i know kuhusu the Doc ni sufficient...
 
Huu mchezo wa kuigeuza JF kuwa ndio sehemu ya kufanyia promo za hizo forum uchwara hakikubaliki, mimi binafsi hata huyo Bloger wao Michuzi sifungui blogu yake sembuse huu uchafu mwingine?
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Back
Top Bottom