Njia zote nimetumia kwake, mwaka wa tatu sasa bado simuelewi

Hujamsikia feza kessy anakuambia SANUKAAAA 🎼🎼
 
Ni maumivu zaidi ya maumivu but nataka nijivue kwake maana ni miaka mitatu sasa lakini bado sijapata jibu na anamiambia tuwe marafiki tu nami nampenda maana hakuna mwingine ambaye anaweza akanifanya nikamsahau maana kanifanya niwahate ma she wote. Hebu niambien wadau nifanyeje na anafahamu nampenda kupita kiasi.

Hili ndilo tatizo lakini bado hujajua....

Wanawake hawapendi na hawataki kabisa wajue kuwa huyu jamaa anampenda kiasi cha kushindwa hata kujisimamia yeye mwenyewe kwenye maamuzi yake ....

Wanawake wanahitaji mwanaume ambae anaweza kutoa maamuzi magumu hata kama anapenda kama unavyosema wewe,hapa inaonekana mambo mengi akikuambia au akifanya wewe ni tawire tu hakuna kupinga,hili ni tatizo sana........

Ngoja nikuambie kitu,hebu amua kuuchuna uone....

Uchune hata mwezi na zaidi na kama ataamua kukaa kimya jumla achana nae kwasababu hana faida na wewe kutokana na malemgo yako kwake.....

Kuwa na myoyo mgumu kijana .......!!
 
Kama hakutaki mjengee mazingira ya kumbaka maana hakuna namna nyingine ya kujisaidia ,mtu umeishamuelezea ukweli alafu anazingua kwenye kesi kama hizi nahalarisha primitive way ya kumpata
 
Wastage of time.... Hio miaka mitatu yote unafkiri nani anampiga dushee!?

Ipo nyambago ambayo ndani ya miaka hiyo mitatu ambayo ww ulikuwa unaweka kisura cha mapenzi yeye alikuwa anamkunja kwa style mbalimbali mixamixa kifo cha mende...

Chukua time
 
Back
Top Bottom