Njia za kuepuka usumbufu wa simu

call Barrin haina mzuka coz mtu anajua kabsa kuwa umefanya makusudi...siunajua mtu akipiga call inaaanika terminated or call end...i always divert calls to avoid hiyo hisia mbaya...to divert calls nenda setting then, call settings...Divert calls to your own number or write 000....ukifanya hivyo mtu akikupigia simu yake huandika call busy au inakata yenyewe without writtin anythin....hapo mtu hawezi jua sababu ni nini...
 
Kwenye simu za symbian kuna applications ambazo natumia moja inaitwa Handy Blacklis unachagua simu tu unazozitaka zisiingie hata sms zao halafu ya pili ninayoitumia inaitwa Mobicall. Hizi ni nzuri sana sijui kuweka link ningeweka. Vile vile ninashauri ili uitumie simu yako vizuri uihack. Nilisoma kwenye forum moja ya simu za aina zote inaitwa imserba.
 
Unaweza uka m blacklist usiyetaka akupigie na hata kupata ila anaweza kukutumia sms
 
Kwenye simu za symbian kuna applications ambazo natumia moja inaitwa Handy Blacklis unachagua simu tu unazozitaka zisiingie hata sms zao halafu ya pili ninayoitumia inaitwa Mobicall. Hizi ni nzuri sana sijui kuweka link ningeweka. Vile vile ninashauri ili uitumie simu yako vizuri uihack. Nilisoma kwenye forum moja ya simu za aina zote inaitwa imserba.

ni apps za kudownload au znakuwa found kene simu unapoinunua
 
njia nyingine ni kudivert calls to other no ambayo unapoindika usiandike digit zote lts say digit zipo 10 yaani 0781 70 40 20 wewe andika 0781 then 70 40 acha digit moja au kadhaa bila kuandika then utakua umeblock all calls bt sms zitakua zinaingia, ku undo unaclik cancel all diverts hapo utakua umemaliza kazi
 
samsung wanayo hiyo, ila tatizo lake ni kwamba sms inakuwa sent kwake na inamwambia delivered ila kwako wewe haiji!!
 
Download "Advanced Call Manager" ni nzuri na nyepesi sana kutumia. Hautasumbuka tena.
 
mfano kama utaluhusu *35*0000#kisha ok hapo utakuwa umesitisha cm ambazo utakuwa umepigiwa wala sms hutaweza kupata na simu yako bado itakuwa oni.we utaweza kupiga hata kutuma sms ila hawezi kukupigia ukitaka kuifungua au iludi kwenye hali yake ya kawaida ni #35*0000#kisha ok.kwa wenye elimu zaidi tupeane maujanja
Thnx!!
 
call Barrin haina mzuka coz mtu anajua kabsa kuwa umefanya makusudi...siunajua mtu akipiga call inaaanika terminated or call end...i always divert calls to avoid hiyo hisia mbaya...to divert calls nenda setting then, call settings...Divert calls to your own number or write 000....ukifanya hivyo mtu akikupigia simu yake huandika call busy au inakata yenyewe without writtin anythin....hapo mtu hawezi jua sababu ni nini...

hapo mtu akikupigia unaona au hauoni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom