Njia za asili za uzazi wa mpango(Natural birth control methods)

Mkuu MALICK MUSSA Kinachotakikana ni kichwa cha popo ukikate hata aliye kufa pia unaweza kukitaka kichwa chake ukaweka chini ya mto wa kulalia kwa ndani yake (Pillow) Basi dume hata akifanya ufundi wa aina gani mwanamke au mke wake hawezi kushika mimba kamwe Tumia kisha uje hapa unipe Feedback. Chanzo ni Chemical MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.

pillow_firm.jpg

Mto wa kulalia au kwa kiingereza unaitwa Pillow una siri kubwa sana.

Mkuu wangu MziziMkavu napata tabu kuhusisha mechanism of action katika kuzuia mimba, bado tunajifunza sana pia, hebu wengine King'asti, ZeMarcopolo, meningitis, Erythrocyte, @Dr Riwa naombeni jumuikeni huku
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahahahahaha
This is very interesting. Leo nilimuona client mmoja aliyekuwa very frustrated kwa sababu kwaka 2011 alipofanyiwa operation ya uzazi kwa mara ya nne alishauriwa kufungwa kizazi na akakubali. Aliporuhusiwa alihakikishiwa kuwa kizazi kimeshafungwa. Sasa ameshika mimba na anafikiria kufungua mashitaka.

Njia za kuzuia mimba kitaalam zinajulikana lakini hakuna njia hata moja iliyo na uhakika wa asilimia 100. Kila method ina percentage zake za mafanikio.

Hii ya kichwa cha popo bado sijafundishwa, ila na yenyewe pia itakuwa na percentage zake za failure. Tatizo ni pale failure inapokuwa percentage kubwa kuliko mafanikio! Method yenye sifa hizo huitwa trial and error na wataalam huwa hawaiweki katika list ya birth control methods. Moja wapo ya njia hizo ni withdraw method, yaani kutoa uume pale unapohisi shahawa zinataka kumwagika. Njia hii ina failure rate kubwa kiasi kwamba some books haiijumlishi kama njia ya borth control.

Labda mjomba "The Chemical" atujulishe percentage ya mafanikio kwa njia hii ya kichwa cha popo...
 
Mkuu ZeMarcopolo Njia za kuzuia kutopata mimba Kwa kutumia njia ya Sayansi na Teknolojia ya Tiba Mbadala zipo nyingi na zingine siwezi kuweka hapa.

Nimeweka njia mbili hapa ya kwanza Mwanamke atumie shabu kuweka sehemu zake za siri kwenye uke kabla ya tendo la ndoa.

Husaidia Spam au shahawa ya mwanamme inapotaka kuingia kwenye mfuko wa uzazi wa kike huwa hiyo shabu inaharibu hizo spam

shahawa za huyo mwanamme zinakufa nguvu na mwanammke anakuwa hawezi kupata mimba. Na njia ya Pili ya kicxhwa cha Popo

anakiweka huyo Mwanamke amabaye anataka asipate mimba kwenye ndani ya Mto wake wa kulalia basi atakapo fanya tendo la

ndoa hawezi kushika mimba mpaka akitowa hicho kichwa cha Pop anaweza kushika mimba jaribuni dawa zangu kisha munipe

Feedback. Chanzo MziziMkavu ( "The Chemical")
 
Dah, labda ningekuona ukafanya mambo yako wangenifungulia mapema. Missed you too.

Ramadhan Kareem
Mkuu FaizaFoxy Nilikuwa sijajuwa umefungiwa kwa kosa gani kusema ukweli siku hizi hawaweki Thread ya

kusema fulani tumemfungia kwa kosa hili. wao wanakufungia tu bila kuweka makosa yako si unajuwa Mkuu Moderator wamekuja na

Style Mpya ya mwaka Mpya huu 2013 kukufungia pasipo na kuwaeleza watu sababu zipi zilizokufanya ukafungiwa lakini mimi nilijuwa

utachiwa huru nimefurahi kwa kutoka wewe Lupango.Punguza sana kukandia cham cha upinzani ninajuwa wewe ni SISIS EMU wa

Damu.
 
Mkuu ZeMarcopolo Njia za kuzuia kutopata mimba Kwa kutumia njia ya Sayansi na Teknolojia ya Tiba Mbadala zipo nyingi na zingine siwezi kuweka hapa.

Nimeweka njia mbili hapa ya kwanza Mwanamke atumie shabu kuweka sehemu zake za siri kwenye uke kabla ya tendo la ndoa.

Husaidia Spam au shahawa ya mwanamme inapotaka kuingia kwenye mfuko wa uzazi wa kike huwa hiyo shabu inaharibu hizo spam

shahawa za huyo mwanamme zinakufa nguvu na mwanammke anakuwa hawezi kupata mimba. Na njia ya Pili ya kicxhwa cha Popo

anakiweka huyo Mwanamke amabaye anataka asipate mimba kwenye ndani ya Mto wake wa kulalia basi atakapo fanya tendo la

ndoa hawezi kushika mimba mpaka akitowa hicho kichwa cha Pop anaweza kushika mimba jaribuni dawa zangu kisha munipe

Feedback. Chanzo MziziMkavu ( "The Chemical")

sie tunasafiri safiri sasa huko tunapoenda kwenye magesti na nyumba za watu wengine na kutumia mito yao(pillow) wakati wetu wenye kichwa cha popo tumeucha nyumbani itakuwaje? Style nyingine hatutumii kitanda inatakuwaje au sio lazima kulalia mtoto?
 
Toa tiGo tu, usitoe papuchii hadi uwe tayari kubeba mimba, hiyo ndio njia salama
 
Mkuu BORNCV hii ni kwa ajili ya wana ndoa sio kwa waasherati.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ZeMarcopolo Njia za kuzuia kutopata mimba Kwa kutumia njia ya Sayansi na Teknolojia ya Tiba Mbadala zipo nyingi na zingine siwezi kuweka hapa.

Nimeweka njia mbili hapa ya kwanza Mwanamke atumie shabu kuweka sehemu zake za siri kwenye uke kabla ya tendo la ndoa.

Husaidia Spam au shahawa ya mwanamme inapotaka kuingia kwenye mfuko wa uzazi wa kike huwa hiyo shabu inaharibu hizo spam

shahawa za huyo mwanamme zinakufa nguvu na mwanammke anakuwa hawezi kupata mimba. Na njia ya Pili ya kicxhwa cha Popo

anakiweka huyo Mwanamke amabaye anataka asipate mimba kwenye ndani ya Mto wake wa kulalia basi atakapo fanya tendo la

ndoa hawezi kushika mimba mpaka akitowa hicho kichwa cha Pop anaweza kushika mimba jaribuni dawa zangu kisha munipe

Feedback. Chanzo MziziMkavu ( "The Chemical")
kwa hiyo hapa tunapoweka kichwa cha popo tutumie style moja tu?
maana zingine itawezekanaje mdada kuulalia huo mto? kaazi kweli
 
duuh,sijawahi kusikia hizi njia..nahisi ni maswala ya imani zaidi maana popo chini ya mto na mimba wapi na wapi..
Bibie Meljons Ninakufundisha Dawa

za mababu wetu walizokuwa wanatumia na kufanya tendo la ndoa pasipo kushika mimba tumia njia hii Mbadala fanya hivi.

Nunuwa Shabu kidogo japo punje moja weka sehemu zako za siri kwenye utupu wako kila unapotaka kukutana na mume

wako kisha fanya mapenzi nae hutoshika mimba kamwe. Jaribu kisha uje unipe feedback. Na njia ingine hii ukitaka usishike

Mimba Mtafute Mdudu Mmoja anaye itwa kwa jina Popo ukisha mpata mchinje upate kichwa chake uwe unaweka kichwa chake kwenye chini ya mto wako wakulalia

hautapata mimba muda wa hicho kichwa cha popo kipo chini ya mto wako wa kulalia jaribu kutumia moja ya hizo dawa

kisha uje hapa unipe feedback.
 
Back
Top Bottom