marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,655
Padri alipotea mjini center, akamuambia kijana mmoja, naomba unifahamishe posta ilipo, kijana akamfahamisha mpaka akapajua.
Padri akamjibu asante kwa kunionesha njia na wewe njoo kanisani nikuoneshe njia ya peponi,
Kijana akamwambia, imekushinda ya posta ukaijue ya peponi?