njia ya kupunguza ngono zembe

Negrodemus

JF-Expert Member
Dec 30, 2010
2,316
677
kwa staili tanzania bila ukimwi inawezekana ni ubunifu tu unaoitajika..............
 
Attachments

  • kls-wmk.php.jpg
    kls-wmk.php.jpg
    43 KB · Views: 459
:laugh::laugh::laugh: nimeipenda,unawaacha na tamaa zao,kitu locked....l.o.l
 
hilo box ni la chuma au?....na ufunguo anaushika nani? kwa sababu huyo mdada jinsi alivyovaa tu nina wasiwasi kama itakuwa ngumu kumvua hilo box
 
hilo box ni la chuma au?....na ufunguo anaushika nani? kwa sababu huyo mdada jinsi alivyovaa tu nina wasiwasi kama itakuwa ngumu kumvua hilo box
wa mvue ili iwaje wakati umeshaambiwa tz bila ngoma inawezekana uzuri ni kwamba ndani ya box kuna kila huduma haja kubwa ndogo, hata saloon pia imo
 
Kama box ni la mbao si unabomoa tu na kukuta kitu ndani kimetulia kimepata moto kinasubiri mwenzie tu kwa kuanza safari.
 
Back
Top Bottom