NJIA SAHIHI ZA KUTOA TAARIFA ZA UDHALILISHAJI KWA KIONGOZI MKUBWA KWA KISASA PLs USHAURI.

angekuwa ke nisingesema maana ni kawaida mkuu ila me?? no way hata mimi hili nalo nawasi wasi nalo nahisi alikuwa ameshaona hivi vitendo mwanzoni kwanini hakuniambia mapema? ila kufikia hatua ya kuniambia inawezekana amejisikia vibaya na hakukubaliana na uchafu huo. sasa mkuu nitamsubiri je tatizo kwenye vyombo vyetu ambavyo haviaminiki ni chombo gani stahiki hapo ndipo kwenye utata??
usipoteze muda wako..ongea kwanza na mdogo wako m'bane kama kweli sio mfuasi wa hio michezo..ukijua kweli kama kabakwa wewe usihangaike na sheria za kibongo, we mwendee huyo mbakaji Bagamoyo au kule kwa akina Pinda.. au waone wataalam wa popobawa. Dawa ndio hiyo, hakuna nyingine.
 
yaani watu wengine wanashangaza, utadhani alimshikia miguu abakwe.

Mtu kalipiwa nauli toka India hadi amstadam yeye hajiongezi tu??

Mwanamme mwenzio anakuambia mlale chumba kimoja bado unashangaa shangaa tu??

Seriously??? Masters ya nini sasa kama hawezi ona kitu kidogo kama hiki??

kongosho kulipiwa haikutoka mfukoni mwa huyu jamaa bali alisaidiwa kupitia serikalini angekuwa anatoa yeye hata mimi ningeshangaa ila alifanyiwa mpango apate ufadhili kupitia serikali ya tanzania, hili ni kosa?? kuhusu kunywa chumbani hapo sielewi kwa kweli alikubali vipi nami najiuliza kama wewe na ndio namsubiria anieleze vizuri.
 
Ndio hapa nashindwa kushangaa..
Manake huyu msomi wa Masters kama hawezi jisimamia katika hili..sasa hata huo usomi una maana gani??
Any ways hvi hzo picha za dogo alichukua wakti anapakuliwa? au?

kwahiyo angekuwa mdogo wako mkuu ungekaa kimya tu kuhalalisha mambo hayo sio?? picha wakiwa wamevaa brief wote pamoja.
 
kwanza hebu kuwa wazi.

Mdogo wako ni wa kiume au kike???
Kabakwa kimasters na mwanamke mwanamme??

Maana viongozi wakubwa wa nchi kuliko waziri ni wale top 3 plus spika , sioni wengine.

mkuu soma vizuri maelezo yangu please na nimesema vingozi wakubwa wa kisiasa wa nchi hii sijasema cheo chake hata kimoja. na mtu huyo ni me.
 
Yeye inamuuma kama inavyokuuma? Maana kama unataka kuchukua hatua ujue kuna suala la ku expose id ya huyo Mwanasiasa na mdogo wako pia.....kama ameumia kweli mwambie asimame kidete mwenyewe after all ni msomi, sivyo?
 
kama imetokea nje ya nchi haswaa Ulaya basi ndo rahisi kushitaki
huitaji kushitaki bongo
shitaka ni kwenye nchi husika
mwambie dogo akaripoti polisi haraka
angalau waanze uchunguzi
haraka saana please
 
  • Thanks
Reactions: UKI
mkuu soma vizuri maelezo yangu please na nimesema vingozi wakubwa wa kisiasa wa nchi hii sijasema cheo chake hata kimoja. na mtu huyo ni me.

halafu wewe na Manuu ni mtu mmoja?
au avatar ni moja?
 
kweli uyo jamaa alikua na long term-plan, dogo wako alishidwaje kusoma alama za nyakati?? "Wonders shall never end"

mkuu hata mimi nashangaa hili na nimeanza kuvuta kumbukumbu zangu nikiziunganisha huyu jamaa alikuwa ameanza kumtamani siku nyingi sana ila kuna vitu vingi sana nahisi alikuwa haniambii nakumbuka hata siku moja mdogo wangu aliniambia anenda zanzibar na ndege weekend rafiki na rafiki zake wakati hata hela ya kupanda boat alikuwa hana uwezo nao ila niliona kama ni rafiki poa sasa nakuja kujua kuna kitu kilikuwa kinaendelea duh nimechoka sana sijamuambia mama yangu maana najua nitamuua kwa pressure
 
Yeye inamuuma kama inavyokuuma? Maana kama unataka kuchukua hatua ujue kuna suala la ku expose id ya huyo Mwanasiasa na mdogo wako pia.....kama ameumia kweli mwambie asimame kidete mwenyewe after all ni msomi, sivyo?

eliza nahisi linamuuma mpka kuja kufunguka kwangu angekuwa analipenda asingeniambia mchezo aliufanya na ndio na mimi nkapata power ya kulisimamia kidete suala hili.
 
mtu ana masters anabakwa?

Alileweshwa ina maana??

Lakini mwanamme mzima unaitwa na mwanamme mwenzio chumbani bado tu hazichemki kichwani??

Je kama ni bwabwa wa siku nyingi??

Huwa unaona lile tangazo la kubwakwa kwenye TV?? Ushahidi kautunzaje??

angekuwa ke nisingesema maana ni kawaida mkuu ila me?? no way hata mimi hili nalo nawasi wasi nalo nahisi alikuwa ameshaona hivi vitendo mwanzoni kwanini hakuniambia mapema? ila kufikia hatua ya kuniambia inawezekana amejisikia vibaya na hakukubaliana na uchafu huo. sasa mkuu nitamsubiri je tatizo kwenye vyombo vyetu ambavyo haviaminiki ni chombo gani stahiki hapo ndipo kwenye utata??
 
mkuu haijakutokea kwenye maisha yako please usiseme hivyo so unaona namuonea wivu mdogo wangu?? we unaona ni kitu cha kawaida hichi??? mnaenda wapi watanzania??? sawa kila mtu ana uhuru wa kufanya mambo yake ila sio kwa mdogo wangu please

Mkuu sijasema unamwonea wivu ila labda unamwekea kauzibe. Kwangu mie mtu anayefanya Masters kufanyiwa kitendo hiki bila hiyari, siku hiyohiyo ishu hiyo ingefika polisi hata kabla haijafika kwako. Lakini anapoambiwa asimwambie mtu na akatii huoni kuna kawalakini flani? Najua inaumaje lakini huyo dogo anapaswa kuchunguzwa zaidi, waweza kuta huyo kigogo wamekorofishana ndo maana kakuambia.
 
mkuu hata mimi nashangaa hili na nimeanza kuvuta kumbukumbu zangu nikiziunganisha huyu jamaa alikuwa ameanza kumtamani siku nyingi sana ila kuna vitu vingi sana nahisi alikuwa haniambii nakumbuka hata siku moja mdogo wangu aliniambia anenda zanzibar na ndege weekend rafiki na rafiki zake wakati hata hela ya kupanda boat alikuwa hana uwezo nao ila niliona kama ni rafiki poa sasa nakuja kujua kuna kitu kilikuwa kinaendelea duh nimechoka sana sijamuambia mama yangu maana najua nitamuua kwa pressure

kama ndio ivyo ebu tulia dogo wako aje then mkae na watu wenye busara mjadili vizuri, usije tafuta lawyer kumbe dogo ulikua na contract siku nyingi na uyo kigogo.. beware
 
  • Thanks
Reactions: UKI
usemi wako unafurahisha ila sijakuelewa mkuu una maana gani??

Usicheke kaka.
Kama upo dsm najua waelewa ni jinsi gani ilivyo ngumu mtu akupe hata sh mia. Leo mtu kapandishwa ndege na frinds zake we hushtuki.

Kwanza kama anasoma masterz inakuaje ashindwe kung'amua ukweli?
 
Najua unaumia sana kama ndugu
lakini kumbuka kila mtu anaamua maisha yake hata kama ni nduguyo.

Msubiri kwanza aje uongee naye ndio ujue cha kufanya, sasa hivi utajiua kwa presha bure.
 
Mkuu sijasema unamwonea wivu ila labda unamwekea kauzibe. Kwangu mie mtu anayefanya Masters kufanyiwa kitendo hiki bila hiyari, siku hiyohiyo ishu hiyo ingefika polisi hata kabla haijafika kwako. Lakini anapoambiwa asimwambie mtu na akatii huoni kuna kawalakini flani? Najua inaumaje lakini huyo dogo anapaswa kuchunguzwa zaidi, waweza kuta huyo kigogo wamekorofishana ndo maana kakuambia.

mhmm nalo neno mkuu ila aliambiwa asiseme kwa kupewa vitisho kuwa atampoteza na vitu vingine vingine na akawa amehaidiwa vitu vingi sana vya kazi hapa home sasa dogo kaogopa kwanza yupo nchi za watu ikabidi aniambie kabla hajachukua hatua yoyote ikumbukwe mdogo wangu ananichukulia kama mzazi wake (baba) coz kila kitu alikuwa ananitegemea mimi, so tumekuwa karibu kwa mambo mengi sana.
 
Back
Top Bottom