Njia sahihi ya kupata pesa zenu kutoka helsb ni.......click here

True seeker

Member
Sep 28, 2011
34
29
habari zenu wana jf? naombeni radhi kwa kutopanda jukwaani muda mrefu xo nimerudi na vitu vyenye msing nilkuwa nchin BOTSWANA nikimalizia masomo so iko hv kwa bodi husika inayo shughulikia utoaji wa mikopo utoa mikopo kwa kila kozi kwa % zote na kwa muda maalumu bila kupitiliza huo muda na kama ikitokea basi taarifa hutoka mapema sana sasa napata mshangao kuyaona haya ya heslb TZ na wanfunzi wasijua la kufanya. NJIA SAHIH YA KUPATA PESA ZENU KUTOKA HESLB NI maandamano mkishinikiza bodi husika ifanyiwe mabadiliko katika utawala au itoe tamko rasmi ni lini bodi itatoa mikopo hiyo ili watoto wa wakulima wajue hatima yao maana vyuo vimeshaanza kufunguliwa.asanteni.....!
kwa ushauli zaidi jinsi ya kuoganiz maandamano piga 0659631881
 
????????????
 
bruda unapoint ya maana lkn atamfmfunga paka kengele,c unajua ffu wanatisha cku hizi ukizubaa umepigwa bomu na bumu bye bye!
 
habari zenu wana jf? naombeni radhi kwa kutopanda jukwaani muda mrefu xo nimerudi na vitu vyenye msing nilkuwa nchin BOTSWANA nikimalizia masomo so iko hv kwa bodi husika inayo shughulikia utoaji wa mikopo utoa mikopo kwa kila kozi kwa % zote na kwa muda maalumu bila kupitiliza huo muda na kama ikitokea basi taarifa hutoka mapema sana sasa napata mshangao kuyaona haya ya heslb TZ na wanfunzi wasijua la kufanya. NJIA SAHIH YA KUPATA PESA ZENU KUTOKA HESLB NI maandamano mkishinikiza bodi husika ifanyiwe mabadiliko katika utawala au itoe tamko rasmi ni lini bodi itatoa mikopo hiyo ili watoto wa wakulima wajue hatima yao maana vyuo vimeshaanza kufunguliwa.asanteni.....!
kwa ushauli zaidi jinsi ya kuoganiz maandamano piga 0659631881

TRUE SEEKER upo correct mapambano tunaanzia wapi maana nchi hii bila maandamano na fujo hatufiki.hakuna haja ya kuogopa polic,em kumbukeni CHINESE,RUSSIA,FRENCH,ENGLISH and GERMANY REVOLUTION yalivyoleta mabadiliko mpaka leo wametupga gap.tuamke....!
 
yaleyale ya mwangosiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hii police jamii bwana na maandamano wanasifaa
 
ni vizuri lakin sio vizuri sana,,,coz tumkumbe Mwangosi,,watatugeuza vitoweo
 
TRUE SEEKER upo correct mapambano tunaanzia wapi maana nchi hii bila maandamano na fujo hatufiki.hakuna haja ya kuogopa polic,em kumbukeni CHINESE,RUSSIA,FRENCH,ENGLISH and GERMANY REVOLUTION yalivyoleta mabadiliko mpaka leo wametupga gap.tuamke....!
MERCHANT naitaji watu kama nyinyi ktk kuleta mabadiliko ktk nchi hii na c kuogopa polic izo revolution ulizotaja zilifanikiwa kutokana na watu ambao walikua c waoga wa polic endelea kuhamasisha wanafunzi wenzako afu ntafuten
 
Duuh kwa police ccm yaleyale ya mwangosi but ukitaka maendeleo lazima uwe tayari kwa kila jambo hata damu yako mwenyewe imwagike so weka roho ya uwoga pembeni vaa comrade soul then ingia kazini
 
watakuja na sifa hao muhimu ni kufanya kama ifuatavyo yaani mnaondoka kimya kimya hadi heslb kutokea direction tofauti ili washindwe kuwazuia.
 
Kwa wale wa arusha nitatangaza rasmi,ila 2waachie wiki hii,naomba nijue idadi yenu kwanza,kufa hakuepukiki cha muhimu muda ujaliwe,kongamano litaanzia kiwanja cha relini,wanachuo wa ar nipeni idadi yenu.
 
si wengine wa sauti tupo tayar vyuoni yana tumelipa ada nusu tumeshachoka tunashindia chai tu tupo tabora nasisi tunataka kushiriki heri kufa kishujaa kuliko kuishi kwa aibu nashindia chai kweli wakati mzaz mtaji wa elfu kumi anabanwa kodi tunakufa huku njaabado ukichelewa kuripoti huku faini 100000 sa bora mtu uje ufe njaa kukwepa fain organizini na huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom