Njia rahisi ya kuleta 'sense' kwa Wamalawi: Tanzania itangaze kuanza utafiti wa mafuta Ziwa Nyasa!

Kama serikali ya nchi imeshindwa kuwalipa waalimu madai yao; kama serikali ya nchi pia imeshindwa kuwalipa madaktari wake ni dhahili kuwa haina nguvu ya kuingia vitani na kulinda mipaka yake!! Serikali ya namna hiyo haina haki ya kuwa madarakani!!
 
Kama Tanzania inaamini nusu ya Ziwa Nyasa ni mali yake kwanini wanasubiri kuwabembeleza Wamalawi kuhusu suala la kusitisha utafiti wa mafuta ili kupisha majadiliano? HIvi tumekuwa wasahaulifu hivi kiasi kwamba hatujui suala hili nusura litulete katika vita na Kamuzu Banda?

Tanzania inaamini mpaka wake na Malawi umepita kwenye Ziwa Nyasa. Sasa kama hii ni imani ya Kikwete na Membe na serikali yetu kwa ujumla kwanini wanataka kupoteza muda wa kuwashawishi Wamalawi? Jambo rahisi ni Serikali kuanza utafiti wa mafuta na gesi kwenye "upande wetu" na kutoa kibali kwa makampuni ya kimataifa kufanya hivyo. Wamalawi watafanya nini?

Unless tuna jeshi lisiloweza kulinda mipaka yetu! Kama Wamalawi wameweza kuingia "nusu yetu" ni nini kinatuzuia kuwazuia? Si Idi Amin naye alisema sehemu ya ardhi yetu ni yake akateua hadi Mkuu wa Wilaya?

Lakini nani anafikiri kuna kiongozi anayeweza kusimama vikali hivi? Watu wameng'ang'ania ati JWTZ lilinde mitambo ya umeme ya Tanesco! na mipaka analinda nani?

Unacho sema ni kweli mkuu, yaani tunashindwa na Uganda ilivyo deal na Kenya kuhusu kisiwa ndani ya ziwa Victoria; Uganda aikulaza damu kwa kusubuli mambo ya majadiliano i.e KUBEMBELEZANA - mambo ya diplomacy yalichukua a back seat. Kinacho nishangaza mimi ni kuona nchi yetu anasuhasua katika suala hili la hatari, hivi kuna haja gani ya malawi kununua patrol boats zaidi ya kumi na nne, a very powerful RADAR - nasikia na airforce na washauri wa Kiyaudi pamoja na mazabazabina (Wingereza) sina shaka Waigereza hawa hawa ndio wanawapa kichwa Wamalawi, wala siwezi kushangaa kama awajapewa vitalu vya kuchimba visima vya mafuta na GAS katika ziwa hilo.

Kwa mawazo yangu Serikali yetu inapaswa kuwafahamisha Wamalawi kwamba wakiendelea na jeuri yao basi TANZANIA hiko tayali kwa lolote tunasema hilo wakati tuna mobilise drilling rigs kwenda ziwa Nyasa tuone watafanya NINI.

Mkuu haya ya wabunge kusema eti wanajeshi wetu watumike kulinda nguzo za umeme wenye msongo mkubwa wakisingizia kwamba wafisadi wamejipanga kuzifanyia hujuma pamoja na mabwawa ya hydro Electric - tahadhali hii naona ni ya uzushi tu wanajaribu kutisha Serikali ya JK ili aogope kuwachukulia hatua wahujumu uchumi, JK awezi kutishwa na NYAU bwana.
 
..tunapaswa kupeleka shauri hili The Hague ambako kuna mahakama inayoshughulikia matatizo ya mipaka.

..mgogoro huu unafanana na mgogoro wa eneo lenye utajiri la Bakasi ambalo liko kati ya Cameroun na Nigeria.

..mataifa hayo yalipeleka shauri lao The Hague na mahakama ikaamua kwamba Bakasi belongs to Cameroun.

..uamuzi wa mahakama ya kimataifa ndiyo uwe basis ya hatua zozote zile tutakazochukua kuhusiana na mpaka wetu na Malawi.

..binafsi sipendi vita. zaidi napendekeza majeshi yetu yaimarishwe zaidi kushughulikia masuala ya ajali na maafa,ujenzi, ufundi, etc etc badala ya kuwa vyombo vya kupigana vita tu.
 
Sijui hata kama tunaweza kupigana na malawi. Kwenye vita yoyote kati ya mataifa mawili, uzalendo huwa ni muhimu sana. Sasa hivi hatuna uzalendo wa kutetea nchi yetu. Sana sana ikiamuriwa vita, viongozi wetu wataitumia kujineemesha wakati vijana wetu wanakufa frontline.
 
Nadhani Wamalawi wanataarifa zetu nyingi za kiintelenjinsia ndio maana wamechokoza mjadala wakati huu.tusiwapuuze maana wanaamini siasa imetugawanya kuliko wakati wowote na imeingia hadi kwenye vyombo vya usalama.Msimamo wa Malawi juu ya ziwa nyasa haujawahi kubadilika na hautabadilika kirahisi.

Viongozi wetu hapa ndio wajue umuhimu wa kutofautisha Dola na siasa,Maslahi yanafanya wafanye chochote kulinda serikali ya CCM bila kujali mitizamo ya wananchi ilivyo sasa.

Turudishe umoja na serikali irudishe imani kwa wananchi ili kurudisha morali ya askari pia.
Wamalawi wana mtandao hapa nchini.Hata Karume ni Mmalawi piwa!
 
Kama Tanzania inaamini nusu ya Ziwa Nyasa ni mali yake kwanini wanasubiri kuwabembeleza Wamalawi kuhusu suala la kusitisha utafiti wa mafuta ili kupisha majadiliano? HIvi tumekuwa wasahaulifu hivi kiasi kwamba hatujui suala hili nusura litulete katika vita na Kamuzu Banda?

Tanzania inaamini mpaka wake na Malawi umepita kwenye Ziwa Nyasa. Sasa kama hii ni imani ya Kikwete na Membe na serikali yetu kwa ujumla kwanini wanataka kupoteza muda wa kuwashawishi Wamalawi? Jambo rahisi ni Serikali kuanza utafiti wa mafuta na gesi kwenye "upande wetu" na kutoa kibali kwa makampuni ya kimataifa kufanya hivyo. Wamalawi watafanya nini?

Unless tuna jeshi lisiloweza kulinda mipaka yetu! Kama Wamalawi wameweza kuingia "nusu yetu" ni nini kinatuzuia kuwazuia? Si Idi Amin naye alisema sehemu ya ardhi yetu ni yake akateua hadi Mkuu wa Wilaya?

Lakini nani anafikiri kuna kiongozi anayeweza kusimama vikali hivi? Watu wameng'ang'ania ati JWTZ lilinde mitambo ya umeme ya Tanesco! na mipaka analinda nani?

Ukichanganya yale yanayoitwa ya Mungano hapa zanzibar na hayo 50% ya Malawi ufukara utatoweka TZ
 
Nakuunga mkono kwa 100%.
 
Kama serikali ya nchi imeshindwa kuwalipa waalimu madai yao; kama serikali ya nchi pia imeshindwa kuwalipa madaktari wake ni dhahili kuwa haina nguvu ya kuingia vitani na kulinda mipaka yake!! Serikali ya namna hiyo haina haki ya kuwa madarakani!!

Siyo tu haina haki, bali haina uhalali wa kutawala/kuongoza nchi. Concentration kubwa imeelekezwa kwenye kudhibiti vyama pinzani huku ikipuuza ulinzi wa mipaka yetu.
 
wasitutanie hawa......hawajui kuwa mkuu mwenyewe ni mjeshi.....na alisema mwanza kuwA bado yuko fiti.....natumai atakuwa frontline
 
Kama Tanzania inaamini nusu ya Ziwa Nyasa ni mali yake kwanini wanasubiri kuwabembeleza Wamalawi kuhusu suala la kusitisha utafiti wa mafuta ili kupisha majadiliano? HIvi tumekuwa wasahaulifu hivi kiasi kwamba hatujui suala hili nusura litulete katika vita na Kamuzu Banda?

Tanzania inaamini mpaka wake na Malawi umepita kwenye Ziwa Nyasa. Sasa kama hii ni imani ya Kikwete na Membe na serikali yetu kwa ujumla kwanini wanataka kupoteza muda wa kuwashawishi Wamalawi? Jambo rahisi ni Serikali kuanza utafiti wa mafuta na gesi kwenye "upande wetu" na kutoa kibali kwa makampuni ya kimataifa kufanya hivyo. Wamalawi watafanya nini?

Unless tuna jeshi lisiloweza kulinda mipaka yetu! Kama Wamalawi wameweza kuingia "nusu yetu" ni nini kinatuzuia kuwazuia? Si Idi Amin naye alisema sehemu ya ardhi yetu ni yake akateua hadi Mkuu wa Wilaya?

Lakini nani anafikiri kuna kiongozi anayeweza kusimama vikali hivi? Watu wameng'ang'ania ati JWTZ lilinde mitambo ya umeme ya Tanesco! na mipaka analinda nani?

Mkuu walinzi wa mipaka ya nchi yetu wapo tele na Mama Banda akileta chokochoko atakiona cha moto. Ujue JK amekaa mambo ya nje miaka kumi hivyo anatumia diplomasia zaidi kuliko nguvu na Membe ni mwanadiplomasia. Hivyo basi wanatumia demokrasia kwanza, ikishindikana ndio hapo magwanda yatafanya kazi.
 
Wameshajua kuwa tz tuna rais DHAIFU thats why wanafanya hivyo

Huyu mama anamtisha hadi Rais wetu? Hawa ni wa kuchapa mpaka tukamwoe huyo mama! Jf wangapi wako tayari kwenda vitani? Nyosheni mikono! Enzi za mwl. mbona Kamuzu alinywea!
 
TanzaniaRealAdventureSafariMapLakes.jpg
Na hiyo hapo ni ramani ya Malawi ikionesha ziwa lote lipo kwao kasoro sehemu ngodo ambayo ipo Msumbiji
 
Attachments

  • malawi map.pdf
    247.6 KB · Views: 42
dawa ya moto ni moto and if you need peace prepare for war,haina haja ya mazungumzo nao kwasababu km wangekua wanataka mazungumzo wangekuja mezani kwa mazungumzo.when diplomacy fail violence prevails.
 
wasitutanie hawa......hawajui kuwa mkuu mwenyewe ni mjeshi.....na alisema mwanza kuwA bado yuko fiti.....natumai atakuwa frontline

Mkuu acha kuleta vichekesho kwenye mijadara ya muhimu,
Hao wamalawi wameishatusoma kwamba serikali yetu haina uzarendo na ni dhaifu,hivyo wanaweza kufanya chochote watakacho Rais mwenyewe ndio huyo,kazi inayoweza serikali yetu ni kuwaulimboka raia wake basi.
 
Kama Tanzania inaamini nusu ya Ziwa Nyasa ni mali yake kwanini wanasubiri kuwabembeleza Wamalawi kuhusu suala la kusitisha utafiti wa mafuta ili kupisha majadiliano? HIvi tumekuwa wasahaulifu hivi kiasi kwamba hatujui suala hili nusura litulete katika vita na Kamuzu Banda?

Tanzania inaamini mpaka wake na Malawi umepita kwenye Ziwa Nyasa. Sasa kama hii ni imani ya Kikwete na Membe na serikali yetu kwa ujumla kwanini wanataka kupoteza muda wa kuwashawishi Wamalawi? Jambo rahisi ni Serikali kuanza utafiti wa mafuta na gesi kwenye "upande wetu" na kutoa kibali kwa makampuni ya kimataifa kufanya hivyo. Wamalawi watafanya nini?

Unless tuna jeshi lisiloweza kulinda mipaka yetu! Kama Wamalawi wameweza kuingia "nusu yetu" ni nini kinatuzuia kuwazuia? Si Idi Amin naye alisema sehemu ya ardhi yetu ni yake akateua hadi Mkuu wa Wilaya?

Lakini nani anafikiri kuna kiongozi anayeweza kusimama vikali hivi? Watu wameng'ang'ania ati JWTZ lilinde mitambo ya umeme ya Tanesco! na mipaka analinda nani?

Mkuu hapo umenena, kuna uzi fulani humu niliandika jana nikiwa na mawazo kama ya kwako; ni ajabu sana kuona wana JF wako overly concern na mambo yanayo endelea ziwani NYASA kuliko Serikali iliyo pewa dhamana ya kulinda mipaka yetu; badala ya kulipa kipa umbele suala hili la mipaka na Malawi naona Viongozi wetu na baadhi ya Wabunge wako busy kumtafuta mchawi TANESCO! Wanapika stori eti wakimuondoa Mkurugenzi mkuu na wahujumu uchumi ndani ya TANESCO, basi kuna uwezekano mkubwa wa infrastructure za TANESCO kuhujumiwa-hivyo Serikali i-mobilise JWTZ eti kulinda mali hizo, wanatumia mbinu za kitoto kumtisha JK ili asiwashughulikie mafisadi wa TANESCO!!!

Back to the point, mkuu kauri za Malawi kwa bahati mbaya zina ashiria kwamba uwezekano wa kutokea mapigano ni mkubwa sana, kauri za Malawi zingekuwa a wake up CALL kwa Serikali ya TANZANIA kwamba Malawi imekwisha jitayarisha kwa lolote (vita to be precise) lakini kwa bahati mbaya majibu ya Waziri Membe yalinishangaza sana - sikuona kama suala hili analiona ni la hatari sana; ingekuwa nchi nyingine saa hizi ingekwisha peleka Drilling Rigs kwenye ziwa Nyasa hata kama hakuna mafuta ili kuonyesha Malawi kwamba TANZANIA means business/tuko Serious, mazungumzo kama yapo yaendelee sisi huku tunachimba mafuta na kuweka fast patrolling BOATS na kupitisha Migs/Sukhoi fighters once in a while.

Nchi kama Malawi imetoa wapi jeuri ya kuitunishia misuri TANZANIA! Je msaada mkubwa ulio tolewa na Uingereza kwa nchi ya Malawi ulikuwa na lengo gani? Je, ni makampuni ya nchi gani wanao husika na utafutaji/uchimbaji wa Mafuta na Gas nchini Malawi, je Waisrael wana shughuli gani nchini Malawi, je ndege zilizo wahi kuonekana zinaruka upande wa TANZANIA zikitokea Malawi zilikuwa ni ndega za aina gani: za vita,reco., au utafutaji wa mafuta. Mkuu jana nilikuwa namsikiliza Mchungaji/nabii Joshua wa Nigeria kuna kitu alisema kwa heshima ya marehemu aliye kuwa Rais wa GHANA alisema hivi na hapa namunukuu " Wakati wa Wafrica kuongozwa na RAIS ambaye yuko HUMBLE bado kabisa - itatuchukua miaka mingi kufinikisha HILO!" nabii Jushua alikuwa sahihi kabisa, Taifa letu naona uendeshaji wa mambo ni wa goigoi sana na hakuna uwajibikaji wa kweli! Ni Viongozi wachache ambao wako commited 100% narudia ni wachache SANA, lassie affair imechukua a driver's seats, what a pity? Mbona JK ni mwanajeshi, mimi nafikili kwa kipidi chake cha uongozi kilicho bakia ajaribu kuendesha mambo kijeshi jeshi ili kurudisha nidhamu ya uwajibikaji katika TAIFA letu.
 
Kwa kuanzia, jeshi likafanye mazoezi ya silaha kwenye ziwa Nyasa

hahaha teacher wanikumbusha ule mkwara wa iran walipofanya military exercise katika Straits of Hormuz .. ulikuwa ni ujumbe tosha kwa jumuia za kimataifa
 
Yale mazoezi ya kupasua mawe na matofali kwa kichwa, ndo wakati wake sasa.
Labda kama yalikua kwa show na kuwatishia waandamanaji.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom