Njia panda

Me370

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
985
293
Naombeni Ushauri Wenu

Kuna ka sister kamoja nimekuwa nikikafukuzia muda kiasi. Tatizo linakuja kila nikikatokea kanasema hapana ila Body language yake inasema tofauti. Ni kawaida kwa mwanamke kufanya hivi? Mfano Tukiwa pamoja mara anishike mkono, mara anani Hug na kama tumetoka out night ndo utachoka ukituangalia ninavyocheza nae utadhani nimekula long T yaani huwezi amini anakataa. Kama jana (Sunday) kaja kunitembelea Home niko peke yangu hapa ninapokaa (single).

Kapika tukala akaangalia movie akasema amechoka anapumzika akaenda kwenye ghetto langu akajilaza pale. Kama kawaida ya mwanaume nkamfuata tukapumzike wote. nlipoanza tu usumbufu akanyanyuka katoka hadi sebuleni. Ilikuwa mchana Nkaona niendelee kutafuta usingizi nsimfuate.

Baada ya kama saa Nasikia sauti kaweka picha ya kikubwa sebuleni sauti kubwa anaangalia. This time nikajua nina win nkaamka na nlikuwa nshaanza kusinzia kwenda sebuleni naanza usumbufu kama kawa kavaa viatu akaaga kaenda. Nshajaribu kila njia ya kuongea jibu hapana, Hela pia hajawahi kuomba nime mu offer amekataa. Nisaidieni nakosea wapi?

Leo asubui kamenipitia kanishauri niache kimeo changu home na kunipa lift hadi job alafu ninavyoshuka nimepewa goodbye Kiss ambayo mimi naweza sema ilikuwa kama vile ni tounge kiss kabisa. Nimempigia simu kuhusu plan ya baadae kasema NO as always we are just friends.

To be honest this has been going on for seven months now. Ni kawaida kwa mwanamke ku behave this way? au maana the way i know ni kuwa kama hataki anamaanisha hataki. Niache? Tatizo lipo wapi? She is single ninavyojua mimi
 
Ukitaka kumrusha roho,tafuta kicheche yeyote wa hapo kitaa kwenu uwe unatoka nae,atajileta mwenyewe 2.over
kweli huyo manzi anapenda sema anataka kujifanya hapendi-
jamaa ajaribu kupunguza mawasiliano then atafute kimeo awe anabonga nacho huyo manzi akiona anamkosa jamaa lazima aweke msimamo wake unaoeleweka
 
Daah! Hizi tamthilia za mapenzi kwenye real life naona zinazidi siku hizi. What I can advice you, ongea nae kwa msisitizo na msimamo wa kiume, mweleze hisia zoko (if you are truely dedicated to her love) then nae akueleze ukweli wake ili uamuzi wowote wa kutafuta kimwana mwingine usije kumfanya ajute kukufahamu.
 
Huyo anamtu wake anamgonga hivyo wewe bado hajakupenda kimahaba sana. Vituko anavyofanya ni kwamba anajaribu kukuvutia hisia lakini zinagoma. Demu akikupenda kwa dhati week moja ndefu, huyo ana kijamaa anashindwa kukaacha
 
ni kawaida ya mwanamke ukimfukuzia sana anakimbia,kwa hiyo wewe usimfukuzie sana,lean back,usimtafute sana,kingine jaribu kutoka na mabinti wengine na uhakikishe anajua kuwa unatoka na wengine,fanya hilo halafu tupe maendeleo.
 
-Jifunze caressing akianza uchokozi wake, na umpe dozi kali, she cant resist.
-Ongea nae muweke uhusiano wenu bayani, kama ni platonic those kissing and visiting at odd hours should stop.
 
Amegundua unamtamani na humpendi

Mmeshawahi zungumzia chochote juu ya afya zenu na maambukizi ya virusi vya ukimwi??????

Wewe unataka kiburudisho wakati yeye anahitaji MUME

Fikiri, Chukua hatua baada ya kusema na Moyo wako
 
hii hata haishauriki, kama mtu anaangalia mpaka picha za wakubwa pamoja alaf anakucha unahangaika noma.
1. mpotezee kwa muda ukiona karudi jua anakupenda ila hataki mfanye mpaka muoane.
 
kama walivyosema hapo juu, toka out na msichana mwingine mwite na yeye muwe wote, halafu usimpe attention siku hiyo uone kama hajaja kwako huku hajavaa naniliu ya ndani
 
Naombeni Ushauri Wenu

Kuna ka sister kamoja nimekuwa nikikafukuzia muda kiasi. Tatizo linakuja kila nikikatokea kanasema hapana ila Body language yake inasema tofauti. Ni kawaida kwa mwanamke kufanya hivi? Mfano Tukiwa pamoja mara anishike mkono, mara anani Hug na kama tumetoka out night ndo utachoka ukituangalia ninavyocheza nae utadhani nimekula long T yaani huwezi amini anakataa. Kama jana (Sunday) kaja kunitembelea Home niko peke yangu hapa ninapokaa (single).

Kapika tukala akaangalia movie akasema amechoka anapumzika akaenda kwenye ghetto langu akajilaza pale. Kama kawaida ya mwanaume nkamfuata tukapumzike wote. nlipoanza tu usumbufu akanyanyuka katoka hadi sebuleni. Ilikuwa mchana Nkaona niendelee kutafuta usingizi nsimfuate.

Baada ya kama saa Nasikia sauti kaweka picha ya kikubwa sebuleni sauti kubwa anaangalia. This time nikajua nina win nkaamka na nlikuwa nshaanza kusinzia kwenda sebuleni naanza usumbufu kama kawa kavaa viatu akaaga kaenda. Nshajaribu kila njia ya kuongea jibu hapana, Hela pia hajawahi kuomba nime mu offer amekataa. Nisaidieni nakosea wapi?

Leo asubui kamenipitia kanishauri niache kimeo changu home na kunipa lift hadi job alafu ninavyoshuka nimepewa goodbye Kiss ambayo mimi naweza sema ilikuwa kama vile ni tounge kiss kabisa. Nimempigia simu kuhusu plan ya baadae kasema NO as always we are just friends.

To be honest this has been going on for seven months now. Ni kawaida kwa mwanamke ku behave this way? au maana the way i know ni kuwa kama hataki anamaanisha hataki. Niache? Tatizo lipo wapi? She is single ninavyojua mimi

Uache usumbufu! Kwani si unahakika anakupenda? Sasa unataka nini zaidi kilicho cha haki yako zaidi ya mapenzi? Kama unataka ngono hiyo si haki yako. Ngono ni haki ndani ya ndowa basi! Tena shukuru umepata mwanamke mwenye msimamo!
 
Ukitaka kumrusha roho,tafuta kicheche yeyote wa hapo kitaa kwenu uwe unatoka nae,atajileta mwenyewe 2.over

kama walivyosema hapo juu, toka out na msichana mwingine mwite na yeye muwe wote, halafu usimpe attention siku hiyo uone kama hajaja kwako huku hajavaa naniliu ya ndani

Hili nalo ntalifanyia kazi ingawa last time Nlijaribu hivyo tuliagana tukutane mlimani kuangalia movie alivyofika tu akaniona niko na kademu akadai kichwa kinamuuma alafu akasepa.
 
vimbwembwe vyote hivyo na bado hujagonga?pole mkuu....anyway,be calm.we fanya kama unakapotezea hv.kakitafuta jifanye bize kiasi na huna muda wa kuchat naye utaona mwenyewe
 
Back
Top Bottom