Njia na maegesho karibu na Ikulu zafungwa Dar

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
leo asubuhi njia zote zinazopita karibu na ikulu zimefungwa ikiwamo ile ya kupitia ocean road cancer institute, kupitia nyuma ya ikulu, pia parking zote karibu na ikulu ikiwamo chuo cha utumishi magogoni zimefungwa
tunaambiwa ni mikakati mpya ya kulinda ikulu
please be informed

wananchi wengi wanalalamikia kitendo hiki ambacho ni cha kwanza tangu uhuru

huenda kuna jambo limenuswa, wengine wenye data watupe tafadhali
 
sasa parking mjini itakuwa balaa. poleni mnaofanya kazi katikati ya jiji hili
 
hakuna cha kunusa wala nini basi tu, tungekuwa na uwezo wa kunusa al qaeda wasinge piga ubalozi kiurahisi vile.
 
welcome to tanzania. Nchi ambayo decision zinafanywa kwa benefit ya viongozi na sio wananchi.
 
Sasa watu wa chuo cha utumishi watapack wapi?? Mpaka 2015 ifike tutaona mengi!!!!!!!!!!!!!!!
 
Natamani makombora ya mbagala yalipuke tena ila safari hii matano yaangukie ikulu.
 
Mnataka kuniambia UWT wamenusa harufu ya ikulu kuvamiwa? nani atawavamia? huenda huyo mnene wa Kagoda karibu anapelekwa kortini maana jamaa ni Iran ile. Huyu ndo yule waliyesema wakikamata wote nchi haitatawalika. I wonder few people to shake the URT government. Kweli Serikali inatishwa na mtu? aisee...
 
ni maudhi yenye uchokozi ndani yake........... jengeni Ikulu nyingine iliyopo sasa liwe moja ya makumbusho ya Taifa (kwa sababu za kihistoria)........ nafikiri ni haki kwa wananchi kujua/kutembelea kumbukumbu hizi za Kikoloni.......vinginevyo waweke siku maalum ambayo wananchi waruhusiwe kutembelea Ikulu........
 
Ilikuwa asubuhi ya saa ngapi? What I understand ile njia ya Ikulu along the ocean to Ferry imefungwa kwa matumizi kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 12 asubuhi.
 
Ni wakati muafaka Wa-Tanzania wakaanza kupanda DalaDala kwenda kazini... Tuache kulalama kuhusu "parking" bali tulalame kwa nini usafiri wa "public" Dar es Salaam umeachwa kama kichwa cha Mwendawazimu?
 
leo asubuhi njia zote zinazopita karibu na ikulu zimefungwa ikiwamo ile ya kupitia ocean road cancer institute, kupitia nyuma ya ikulu, pia parking zote karibu na ikulu ikiwamo chuo cha utumishi magogoni zimefungwa
tunaambiwa ni mikakati mpya ya kulinda ikulu
please be informed

wananchi wengi wanalalamikia kitendo hiki ambacho ni cha kwanza tangu uhuru

huenda kuna jambo limenuswa, wengine wenye data watupe tafadhali
Msiishi kwa mazoea,hata wale wakaanga samaki waondoke,yale ni makazi rasmi ya Rais
 
Back
Top Bottom