Njia mpya wanazo tumia wazungu kutuibia mchana kweupe

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
WAKUU SIKU HIZI KUNA NJIA MPYA ZA KUIBA LASILIMALI ZA NCHI HII NA UKWEPAJI WA KODI.

HUKU KARATU KUNA KITU KINAITWA RHOTIA VALLEY TENTED LODGE CHILDREAN HOME.
INABIDI TIC, TRA NA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA WATUJUZE KAMA HII NI EIZA

1. N.G.O AU
2. KAMPUNI


WAKUU HAWA WAZUNGU WANCAMP YAO WANAPOKEA WAGENI LAKINI WANA KITU HAPO HAPO KINAITWA CHILDREN HOME MEANS WANALEA WATOTO WALIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU.

SASA JE,

1. HAYO MAPATO YATOKANYO NA HIYO LODGE YAO NDO WANATUMIA KULELEA HAO WATOTO?

2. KAMA SIO JE WANALIPA KODI? JE WAMESAJILIWA VIPI HUKO BRELA?

KWA KWELI KUNA AINA FULANI YA WIZI UNAOFANYWA NA HAO WAZUNGU KWA SABABU KAMA NI MISAADA YA KULEA HAO WATITO WANAPATA KUTOKA NJE YA NCHI SASA HILI LA HOTELI YAO YA KITALII SIJAJUA INAKUWA VIPI.



HAYO HAPO CHINI NDO MAELEZO YALIYOKO KWENYE HIYO ENTREPRISES YAO

Rhotia Valley

Rhotia Valley is a project, completely embedded in the community of Rhotia in Tanzania. It's aim is to give support to the people of the Rhotia area, especially to the children. Rhotia Valley consists of Rhotia Valley Tented Lodge on one hill and Rhotia Valley Children's Home on the opposite hill: Two hills one goal!

At the lodge you can enjoy every comfort in a typical African atmosphere. With only fifteen en-suite tented houses it offers intimate charm and personal service. By staying at Rhotia Valley Tented Lodge, you directly contribute to the wellbeing of the children of the adjacent Children's Home

Rhotia Valley Children's Home is our safe and cosy home for children of the local community. Children, who don't have family to take proper care of them. We help these children build their future - a promising future!






































 
Kama watoto wanafaidika hiyo ni hatua moja muhimu kwani saa nyingine inabidi tupime madhara na maslahi yanayopatikana ktk kitu, kama maslahi ni makubwa zaidi kuliko madhara tutafute ufumuzi ambao hautawadhuru watoto wanaofaidika.
 
Back
Top Bottom