Njia gani unaweza kuwa omba makampuni kama ya tigo,voda watangaze kwenye website yako!!

Nimecheki product zao ni nzuri sana kwa advertiser, na sio sisi publishers ie wenye websites. thanks sana nimejifunza mengi.na sasa najua nifanyeje kupata codes thanx to JF.

another idea. mfano una website na una uza example movies in 3gp for mobile, na mtu akidownload thru mobilephone nataka akatwe directly na mtandao husika hii inakaa vipi wakuu ?

hapo ni lazima uwe na short code? na mfano una toa passwords per download unawezaje kutumia shortcodes hapo?!
 
Back
Top Bottom