Njia bora na salama ya kuhifadhi mabomu Tanzania

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Kuna mdau ametoa mapendekezo, ili mabomu yawe katika hali ya usalama zaidi ni bora kuhamishia ghala kuu la silaha pale kwenye viwanja vya ikulu, hapa ulinzi na utunzaji wa silaha utakuwa ni wa hali ya juu.

Wadau toeni ushauri zaidi juu ya utekelezaji wa suala hili.
Nawasilisha...
 
eti wap ikulu duu! Sasa na yale magorofa posta itakuwa vp? Ikulu mabomu duuh?
 
Mkuu unazo season 1,2 na 4 za 24? Ila 2krudi ktk issue yetu ya Ikulu.hasara zitakazoletwa na mafisadi zitakuwa kubwa watayalipua makusudi na ukarabati wake lazima wataongeza 0 ktk hela ya kuikarabati ikulu.
 
Back
Top Bottom