masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,856
- 13,139
- Thread starter
- #21
Mkuu Iringa ni moja ya sehemu nzuri sana kwa kilimo. Bahati mbaya wakazi wake wenye sifa lukuki bado wako nyuma sana na inanisikitisha ninapopita sehemu hizi hakuna mabadiliko, Mch Msigwa sijui yuko wapi.Duuh! My memory is still sharp I guess. In general mkoa wa Iringa pamoja na kulima mazao mengi ya biashara,watu wengi wako hoi kwa umaskini. Huwezi fananisha na wale tunaowaona mkoa wa Njombe na Mbeya. Kidogo Mafinga sababu ya biashara ya mbao kuna ahueni kidogo....and yet huu mkoa umetoa wasomi wengi sana maana ulikuwa na shule nyingi za wamissionary.