Njemba zinapotwangana kwa penzi la baamedi!

Mmmh, ni Fiesta bar nini ama Brake point?

Kama masihara vile, njemba mwizi ilipotinga kaunta na kuagiza ka valeur kake ikashangaa inakwidwa kwa nyuma...

Brake Point siku hizi wateja wanakaa kaunta? Siku nying i sijaweka mguu pale, lakini nyakati zetu hatukuwahi kukaa Kaunta hapo BP.

Naomba pia muulizeni mmmiliki wa BP kwanini anaharibu mazingira - ule mti naona ameufyeka nusu!
 
G_P,

Umenikumbusha mbali saaaaaaaaaana!

Kuna mkulu mmoja wa "chombo cha fedha" hapo Bongo alikuwa akitinga na kaptula alafu anaketi kwenye OP - Observation Point na kuagiza kilaji, baada ya muda anatoweka na totoz!

Baba unaambiwa enzi zake Rose Garden inaanza ilikua tishio ndani ya jiji, coz kwanza location yake ndio ilikua kwa wanene wote wa bongo!!, wale mabarmaid wa pale unaambiwa wengine walikua wanadrive, wenye akili walijenga kwa muda mfupi, yani walikua wanameki balaa keep change hizi sio mchezo. ukitaka kumng'oa baada ya kufunga dau lake sio la kitoto, aaah we acha tuu!. mi mwenyewe enzi hizo nilikua naminya pale sayansi kwa nyuma.
 
Nimekupata mkuu,

Enzi hizo mimi nilikuwa nakaa Karibu na Kwa Mama Lily (Nyuma ya Chagga Bite). Anywayz wakati ukuta
 
Chris sasa naona miluzi mingi, anyway jibwa la polisi lenye mafunzo haliwezi kupotezwa!
 
Hahaha! Mkuu umeistukia hiyoe? Usijali kama nilivyokuahidi, kizuri kula na wapwa zako. Ntakumegea mkuu. Kwanza nataka nijue siri za njemba kutwangana, na kilichosababisha njemba ikampangia chumba. Naweza changia kodi kidogo mambo yakiwa mazuri.
 
Nasikitika huu mjadala umenipita. Hako kambulu tayari wadau watakuwa wameshanipiga bao.
 
Kutandikana kwa sababu ya penzi la baameidi imenishangaza sana. Na kumgharamia baameidi kiasi kile wakati wale ni watu wa kumegwa na kila mtu atakaye ndilo limenishangaza zaidi. Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kuwaletea habari.

Wasalaam.

Chrispin
Sina lengo la kuwatetea ma barmaid. Ila umewagroup as if wote ni malaya. Nabisha kuwa si wote kama ufikiriavyo. Kuna ambao wana misimamo yao na hata wakifikia kuchotwa na mtu fulani basi ni kwa sababu fulani.
Mimi nina rafiki yangu ambaye alikuwa amekorofishana na GF wake alipokwenda kumtembelea huko USA. Siku moja alinitembelea wakati huo nafanya kazi Zenji. Nilikuwa na mazoea ya kupata kilauri mahala fulani. Ukizingatia kuwa nilikuwa bachelor kuna demu alikuwa anahudumia pale, mi nikawa nimetupa malafudhi yangu ya kichagga pale lakini demu wapi bwana. Jamaa cku hiyo kaja kwangu, jioni nimetoka mzigoni nikwamwambia jamaa tukutane pale coner yetu kwenye kilaji. Ile kufika tu naye kanasa kwa binti. Nilimkatisha tamaa kuwa binti mgumu lakini hakusikia. Jamaa ikawa badala ya likizo kaanza kazi ya kumfuatilia huyu demu. Cku moja nikakuta kaumia usoni kisa Demu kamtwanga na glass. Mi nikafikiri atakoma, waapi bwana. Mwisho wa siku nakuja nyumbani siku moja mara binti anachomoza sebuleni,,,oh shikamoo shem! Du njemba nayo inakuja nyuma,,,,oh mambo vipi mshikaji.
Nunavyoongea na wewe sasa hivi yule binti ali graduate Tumaini University ana kabachelor kake na watoto 2.
Si wote malaya na si wote wanaopitiwa na kila mtu.
 
jamani mi naomba kuuliza swali: chukulia wewe ni mmiliki wa kampuni fulani, unataka kuajiri wafanyakazi, sasa utamchukua yule mwenye UZOEFU au ASIE NA UZOEFU??,
sasa hawa mabaamedi wana experience nzuri sana kwenye malovedavee yani CV zao ni kali, so then know, usishangae hao mabwana kumgombania they know utamu wa huyo baamedi wa kimbulu!!
 
interesting but not convincing
 
Mkuu umeachia point kali sana. Kwa hiyo unanishauri na mimi nikakasarandie katoto ka kimbulu. Manake ni kazuri kweli, acha masihara. Sijui kwanini hakaolewi yailahi toba.
 
Mkuu ndio maana ulikuwa unataka nikutajie na bar yenyewe! Lol! hahahahaha!
 
Mkuu umeachia point kali sana. Kwa hiyo unanishauri na mimi nikakasarandie katoto ka kimbulu. Manake ni kazuri kweli, acha masihara. Sijui kwanini hakaolewi yailahi toba.

kataolewaje wakati kila mtu anakataka?, kanachanganyikiwa kabisa hapo, kanajiona kapo kwenye chati wacha katupange kwanza!.
 
Hahahaha! binamu hapo umenena jambo. Ngoja nifanye mpango nikapange foleni.
 
Back
Top Bottom