Njemba mbili zilipopigwa "Tanganyika Jeki" na Askari wa kike

Hao jamaa walimstahi tu huyo Mama, huoni hatahivyo wanacheka? Sinoni kama katumia nguvu kuwakwida, kawa hiyo si Tanganyika Jeck, Weee, usicheze na Tanganyika jeck, ncha za miguu zingekuwa zinagusa chini. Vinginevyo, wangeweza kukimbia hao ila wakawaona ngoja wamheshimu tu, sasa tujue nini kiliendelea baada ya hapo.
 
Hunipeleki kimaandazi hivyo jamaaangu kwani mi shoga?sema tu hao wachaga watakuwa walidhulumiana pesa na si kingine.
 
kuna umuhimu wa watanzania kusoma na kuielewa KATIBA ya nchi hii ili wazijue haki zao
 
Back
Top Bottom