Nje ya mtandao Lowassa ni dhaifu sana nafuu hata Mashinji!!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,502
2,046
Kabla hajaja CHADEMA sikuwa namfahamu kiundani kwani ni mtu ambae mara nyingi hakupenda kuongea mengi nadhani ilikua defence mechanism kwani alijijua udhaifu wake hivyo akaamua kuuficha kwa kunyamaza.

Ila wenzie waliokua nae huku CCM walilijua mapema hilo ila walikua wakiogopa sana kumkabili kwa hofu ya mtandao mkubwa aliokua nao. Ni dhahiri kuwa sioni mchango wowote wa maana atakaotoa kwa siasa za CHADEMA na upinzani.

Kama kuna kitu kikubwa atakachochangia ni kuudumaza upinzani hasa pale anapokua mungu mtu ndani ya chama huku akiwa hana impact yoyote.
 
Uyo mzee kila cku habari zako atawaomba jicho saizi..... Embu tutolee habari zako muache mzee wawatu nanyota zake
 
Back
Top Bottom