FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,881
- 109,191
Kwa Viongozi wa aina ya Kina Ngeleja, sidhani kama tutakombolewa. Nchi zenye utajiri wa mafuta na gesi zimeishia kupigana vita. Mimi sina imani kabisa na hiyo gesi. Kama hatutapata kiongozi mzuri, ndo basi tena.
Mawaziri hata ukiwalaumu ni bure tu, wapo zaidi kisiasa. Watendaji ndiyo wakubebeshwa lawama, kuanzia Katibu Mkuu kuja chini. Waziri hawezi kufanya madudu ya ubadhirifu bila idhini ya au kumhusisha Katibu Mkuu na wahasibu wa wizara au idara husika- Kumbuka hilo.