Njama za kuimega Sudan

Hapo chini ni jeshi tiifu la wananchi wa Sudan.Sasa unaposema watu weusi hawatakiwi una maana gani?.Mimi pia niko huku huku hivi sasa,hivyo hunidanganyi.

images

HAO SIO WANAJESHI WA SUDAN HAO NI KAMA JKT WA KIBONGO wapo kule Sudan ya KUsini KWANI JESHI LA BASHIRI NI LA MCHAGANYIKO WAARU WEUPE NA WAARABU WEUSI NA UTAMBUE KUWA ASILIMIA 78% YA WATU WA SUDAN WANA VINYWELE VYA KIARABU KOKO LAKINI KULE KUSINI NDIO KAMA SISI. NA HIYO BENDERA UNAYOIONA YA KUSINI SIO KWA BASHIRI NIMEKWAMBIA NI PM NIKWAMBIE. GONGA HAPA PIA UTAONA UJINGA WA BASHIR ANAOUFANYA KATIKA NCHI HII UTAMBUE KWAMBA BASHIR ANA WAKE WAWILI LAKINI HANA MTOTO NA DADA YAKE NI MKE WA PILI WA MUHAMAD GADAFI NA PIA YEYE NI MTU WA CHAD NA PIA HAWA REBELS JEM JUU GONGA HAPA UONE.

Darfur conflict
On 5 March 2002, Dr. Ibrahim claimed credit for initiating a government revolt. This apparent claim of the landmark attack on Golo, actually carried out by the Sudan Liberation Army, was mocked by the SLA and the JEM was forced to back away from their announcement. Regardless, the JEM and the anti-government SLA formed a loose alliance in prosecuting the Darfur conflict.
In May 2006, the JEM rejected the Abuja peace process, which was accepted by the faction of the SLA led by Minni Minnawi, but rejected by the smaller SLA factions. On 30 June 2006, Ibrahim, Khamis Abdalla, the leader of an SLM faction, Dr Sharif Harir and Ahmed Ibrahim, co-leaders of the National Democratic Alliance (Sudan), founded the National Redemption Front rebel group in Asmara, Eritrea but which is based in Chad.

The Janjaweed (Arabic: جنجويد; variously transliterated Janjawid[citation needed] is a blanket term used to describe mostly armed gunmen in Darfur, western Sudan, and now eastern Chad.[2] Using the United Nations definition, the Janjaweed comprised Arab tribes, the core of whom are from the Abbala (camel herder) background with significant Lambo recruitment from the Baggara (cattle herder) people. This UN definition may not necessarily be accurate, as instances of members from other tribes have been noted.
In the past, they were at odds with Darfur's sedentary population over natural grazing grounds and farmland, as rainfall dwindled and water became scarce. They are currently in conflict with Darfur rebel groups-the Sudan Liberation Movement/Army and the Justice and Equality Movement. Since 2003 they have been one of the main players in the Darfur conflict, which has pitted the largely nomadic tribes against the sedentary population of the region in a battle over resource and land allocation.[3]

KWA HAYO MACHACHE UTAKUBALI TUUU
 
In the past, they were at odds with Darfur's sedentary population over natural grazing grounds and farmland, as rainfall dwindled and water became scarce. They are currently in conflict with Darfur rebel groups—the Sudan Liberation Movement/Army and the Justice and Equality Movement. Since 2003 they have been one of the main players in the Darfur conflict, which has pitted the largely nomadic tribes against the sedentary population of the region in a battle over resource and land allocation.[3]

KWA HAYO MACHACHE UTAKUBALI TUUU
 
Hata majina ya mikoa yanalazimishwa kuwa ya Kiarabu hata pasipo na Uarabu kama kusini....na si njama ni mipango tafadhali

sudan-map-political.jpg
 
HAO SIO WANAJESHI WA SUDAN HAO NI KAMA JKT WA KIBONGO wapo kule Sudan ya KUsini KWANI JESHI LA BASHIRI NI LA MCHAGANYIKO WAARU WEUPE NA WAARABU WEUSI NA UTAMBUE KUWA ASILIMIA 78% YA WATU WA SUDAN WANA VINYWELE VYA KIARABU KOKO LAKINI KULE KUSINI NDIO KAMA SISI. NA HIYO BENDERA UNAYOIONA YA KUSINI SIO KWA BASHIRI NIMEKWAMBIA NI PM NIKWAMBIE. GONGA HAPA PIA UTAONA UJINGA WA BASHIR ANAOUFANYA KATIKA NCHI HII UTAMBUE KWAMBA BASHIR ANA WAKE WAWILI LAKINI HANA MTOTO NA DADA YAKE NI MKE WA PILI WA MUHAMAD GADAFI NA PIA YEYE NI MTU WA CHAD NA PIA HAWA REBELS JEM JUU GONGA HAPA UONE.

Darfur conflict
On 5 March 2002, Dr. Ibrahim claimed credit for initiating a government revolt. This apparent claim of the landmark attack on Golo, actually carried out by the Sudan Liberation Army, was mocked by the SLA and the JEM was forced to back away from their announcement. Regardless, the JEM and the anti-government SLA formed a loose alliance in prosecuting the Darfur conflict.
In May 2006, the JEM rejected the Abuja peace process, which was accepted by the faction of the SLA led by Minni Minnawi, but rejected by the smaller SLA factions. On 30 June 2006, Ibrahim, Khamis Abdalla, the leader of an SLM faction, Dr Sharif Harir and Ahmed Ibrahim, co-leaders of the National Democratic Alliance (Sudan), founded the National Redemption Front rebel group in Asmara, Eritrea but which is based in Chad.

The Janjaweed (Arabic: جنجويد; variously transliterated Janjawid[citation needed] is a blanket term used to describe mostly armed gunmen in Darfur, western Sudan, and now eastern Chad.[2] Using the United Nations definition, the Janjaweed comprised Arab tribes, the core of whom are from the Abbala (camel herder) background with significant Lambo recruitment from the Baggara (cattle herder) people. This UN definition may not necessarily be accurate, as instances of members from other tribes have been noted.
In the past, they were at odds with Darfur's sedentary population over natural grazing grounds and farmland, as rainfall dwindled and water became scarce. They are currently in conflict with Darfur rebel groups-the Sudan Liberation Movement/Army and the Justice and Equality Movement. Since 2003 they have been one of the main players in the Darfur conflict, which has pitted the largely nomadic tribes against the sedentary population of the region in a battle over resource and land allocation.[3]

KWA HAYO MACHACHE UTAKUBALI TUUU

Huyu ni raisi Jakaya Kikwete wa Tanzania

Huyu ni Ali Osman Taha makamo wa raisi wa Sudan

Hapo chi ni wabunge wa Sudan.

Hapo Juu umesema:
HAO SIO WANAJESHI WA SUDAN HAO NI KAMA JKT WA KIBONGO wapo kule Sudan ya KUsini KWANI JESHI LA BASHIRI NI LA MCHAGANYIKO WAARU WEUPE NA WAARABU WEUSI NA UTAMBUE KUWA ASILIMIA 78% YA WATU WA SUDAN WANA VINYWELE VYA KIARABU KOKO LAKINI KULE KUSINI NDIO KAMA SISI. NA HIYO BENDERA UNAYOIONA YA KUSINI SIO KWA BASHIRI NIMEKWAMBIA NI PM NIKWAMBIE. GONGA HAPA PIA UTAONA UJINGA WA BASHIR ANAOUFANYA KATIKA NCHI HII UTAMBUE KWAMBA BASHIR ANA WAKE WAWILI LAKINI HANA MTOTO NA DADA YAKE NI MKE WA PILI WA MUHAMAD GADAFI NA PIA YEYE NI MTU WA CHAD NA PIA HAWA REBELS JEM JUU GONGA

Hueleweki unachokusudia kusema hasa ni nini?.
Kwani nywele za waarabu koko zina umuhimu gani?.
Umekubali kuwa Jeshi lina watu wa rangi tofauti.Sasa huoni kwamba Sudan hakuna ubaguzi,au ulitaka iweje?.
Upuuzi wako zaidi uko kwenye hili suala la wake wa Bashir na kwamba hana watoto na kwamba mke wake mmoja ni mtoto wa Gadafi.
 
Umekubali kuwa Jeshi lina watu wa Sudan ni rangi tofauti.Sasa huoni kwamba Sudan hakuna ubaguzi,au ulitaka iweje?.
Upuuzi wako zaidi uko kwenye hili suala la wake wa Bashir na kwamba hana watoto na kwamba mke wake mmoja ni mtoto wa Gadafi.
 
panga pangua, southern sudan lazima itajitenga, na itakuja kuungana na kenya muda si mrefu na badaye kwenye east africa community. wakenya wengi wanaishi na kufanya biashara kule. southern sudan wengi wanaongea kiingereza cha kikenya, na wako karibu mno na kenya. kama umeona hata ile tusker music search ya kenya, hata southern sudan wamo. wamechoka na udini wa bashir, unayanyasaji wa bashir, na wanataka uhuru. southern sudan ni nchi iliyojaa wakristo, wasiopendwa na waislam wa kaskazini. khatoum ambayo ni islamic government imejaribu kuwasilimisha ikashindwa, wakaenda msituni kumeshindikana, sasa wanaona kumbe wanaporonyoka, ndo wanaondoka hivyo. wataku wa kwetu, si muda watakuwa kwenye EAC. hiyo ndo plan
 
Republic of Equatoria

20090624-south%20sudan%20map%20with%20rivers.jpg
 
Ikiwa ni hivyo itakuwa afadhali,tutapata walimu wazuri wa kiarabu.Kwa sababu wanazungumza na kuandika kiarabu fasaha.
Ndiyo lugha ya hawa wanajeshi.

images
 
Kama ikiwezakana kuigawa Sudan, basi na sisi TZ inabidi tugawane nchi. Waislam wachukue chao, Wakristo wachukue chao. Maanake Waislamu, wanaonewa TZ.

Kwi kwi kwi ................sasa wewe na mjombako mwislamu mtagawana nyumba ya babu yako ama?:smile::smile:
 
acha ujinga wewe itabidi wewe na waarabu wako muende shule kujua nani alikuwa anafanya biashara ya utumwa Africa Mashariki

Naomba nielekeze kitabu ulichonacho wewe wapi nitakipata ili nione iwapo kina hiyo biashara ya utumwa unayoitaka wewe.

Nijuwavyo ni kuwa habari nyingi za biashara ya utumwa afrika mashariki ni za chuki za wamishionari wa kikristo kuwasingizia waarabu kwa nia ya kuudhuru uislamu.
 
Mapema mwakani kura ya maoni inatarajiwa kupigwa nchini Sudan kuamua mustakbali wa eneo la kusini la nchi hiyo.
Wakati dunia nzima ikipigania kuwa wamoja na maeneo yenye kujaribu kujitenga kama huko Comoro nguvu zikitumika kupinga kujitenga,mambo ni tofauti huko Sudan.
Baadhi ya uongo wa mataifa ya magharibi kuhalalisha kujitenga eneo la kusini lenye utajiri mkubwa wa mafuta ni eti waarabu wanawabagua waafrika.
Hapo chini ni raisi wa Sudan general Omar Al bashir akionesha upanga wake kama silaha ya kupambana na wenye kuitakia mabaya Sudan,akiwa amezungukwa na wasaidizi na walinzi wake.

Ami,

Kuna vijarida vyenu vilivyojaa udini kama Annur, na radio zenu za kidini Radio Heri nadhani wasomaji wake akili zao zimetayarishwa kupenda mada kama zako. Sio hapa please.

Fahamu kuwa Sudan ni nchi iko vitani tangu mwaka 1983. Sababu ya vita ni kuwa watu wa Sudan Kusini ambao si waarabu na ambao hawahitaji kuwa waarabu au Waislamu wanalazimishwa na serikali ya kiislamu ya Sudan kubeba Uarabu na Uislamu. Watu karibu million 4 wamekufa kwa vita hiyo na walio wengi kati ya hao ni wa Kusini ndio waliokufa.

Fahamu pia kuwa kuna watu wapatao million 4 wa Sudan ya Kusini wamekimbia makazi yao kwa hofu ya majeshi ya Serikali, na pia raia 500,000 wa Sudani Kusini ni wakimbizi nje ya Sudan.

Sudan ina mchanganyiko mkubwa wa makabila na tamaduni. Wasudan hao ni waumini wa dini mbalimbali pia. Ni wazi Waislamu ndio wengi asilimia 65, wakifuatiwa na wakristu asilimia 15 na wanaofuata dini za jadi ni takriban 20%. Kitamaduni 52% wanafuata utamaduni wa kiafrika, japo wengine ni Waislamu (kama Darfur), wengine ni Wakristo wa Kusini na Wafuatao dini za jadi. Wanaofuata utamaduni wa Kiarabu moja kwa moja ni kama asilimia 39, na waliobaki wanachanganya.

Makabila yaliyopo Sudan kama nilivyosema ni mchanganyiko mkubwa sana. Kaskazini kuna makabila ya waafrika (weusi) ambao ni waislamu: Wanubi na Wabeja; na magharibi wako Wafur (Watu wa Darfur) ambao nao ni Waislamu pia. Hawa wa Darfur pamoja na kwamba ni Waislamu wanabaguliwa na Waislamu wanaojipa Uarabu pia. Kusini walio wengi ni Wakristu na wanaofuata dini za jadi. Wako Wadinka ambao ni 10% ya Wasudan wote, na kwa Kusini ni 40% ya WaSudan wa Kusini, wapo pia wanuer, Wachollo, Wamurle, Wamandari na Wabaka; pamoja na makabila mengi madogo madogo.

Ni kweli Sudan Kusini kuna mafuta ambayo yanaiingizia Serikali $2 millioni kwa siku, lakini $1million kwa siku zinatumika kwa jeshi tu.

Kwa maoni yangu, Serikali yoyote ambayo haiwezi kukubali tofauti za watu na kujaribu kuwaunganisha kwa kuwafanya waarabu na waislamu kama huko Sudan haitafanikiwa kumaliza umwagaji wa damu. Na kama hawawezi kupokea hizo tofauti, basi mawazo ya kujigawa lazima yawepo, na ni kwa kunusuru maisha ya watu, ambayo yana thamani sana bila kujali rangi wala dini zao.
 
I'm longing to see the day Southern Sudan spit from racist North Sudan..
 
Ami,

Kuna vijarida vyenu vilivyojaa udini kama Annur, na radio zenu za kidini Radio Heri nadhani wasomaji wake akili zao zimetayarishwa kupenda mada kama zako. Sio hapa please.

Fahamu kuwa Sudan ni nchi iko vitani tangu mwaka 1983. Sababu ya kivita ni kuwa watu wa Sudan Kusini ambao si waarabu na ambao hawahitaji kuwa waarabu au Waislamu wanalazimishwa na serikali ya kiislamu ya Sudan kubeba Uarabu na Uislamu. Watu karibu million 4 na walio wengi kati ya hao ni wa Kusini ndio waliokufa.

Fahamu pia kuwa kuna watu wapatao million 4 wa Sudan ya Kusini wamekimbia makazi yao kwa hofu ya majeshi ya Serikali, na pia raia 500,000 wa Sudani Kusini ni wakimbizi nje ya Sudan.

Sudan ina mchanganyiko mkubwa wa makabila na tamaduni. Wasudan hao ni waumini wa dini mbalimbali pia. Ni wazi Waislamu ndio wengi asilimia 65, wakifuatiwa na wakristu asilimia 15 na wanaofuata dini za jadi ni takriban 20%. Kitamaduni 52% wanafuata utamaduni wa kiafrika, japo wengine ni Waislamu (kama Darfur), wengine ni Wakristo wa Kusini na Wafuatao dini za jadi. Wanaofuata utamaduni wa Kiarabu moja kwa moja ni kama asilimia 39, na waliobaki wanachanganya.

Makabila yaliyopo Sudan kama nilivyosema ni mchanganyiko mkubwa sana. Kaskazini kuna makabila ya waafrika (weusi) ambao ni waislamu: Wanubi na Wabeja; na magharibi wako Wafur (Watu wa Darfur) ambao nao ni Waislamu pia. Hawa wa Darfur pamoja na kwamba ni Waislamu wanabaguliwa na Waislamu wanaojipa Uarabu pia. Kusini walio wengi ni Wakristu na wanaofuata dini za jadi. Wako Wadinka ambao ni 10% ya Wasudan wote, na kwa Kusini ni 40% ya WaSudan wa Kusini, wapo pia wanuer, Wachollo, Wamurle, Wamandari na Wabaka; pamoja na makabila mengi madogo madogo.

Ni kweli Sudan Kusini kuna mafuta ambayo yanaiingizia Serikali $2 millioni kwa siku, lakini $1million kwa siku zinatumika kwa jeshi tu.

Kwa maoni yangu, Serikali yoyote ambayo haiwezi kukubali tofauti za watu na kujaribu kuwaunganisha kwa kuwafanya waarabu na waislamu kama huko Sudan haitafanikiwa kumaliza umwagaji wa damu. Na kama hawawezi kupokea hizo tofauti, basi mawazo ya kujigawa lazima yawepo, na ni kwa kunusuru maisha ya watu, ambayo yana thamani sana bila kujali rangi wala dini zao.

Well explained..life has value than so called religion.
 
Naomba nielekeze kitabu ulichonacho wewe wapi nitakipata ili nione iwapo kina hiyo biashara ya utumwa unayoitaka wewe.

Nijuwavyo ni kuwa habari nyingi za biashara ya utumwa afrika mashariki ni za chuki za wamishionari wa kikristo kuwasingizia waarabu kwa nia ya kuudhuru uislamu.

Kuanzia karne ya tisa mpaka ya kumi na tisa, waarabu walihusika sana na biashara ya utumwa hasa Pwani ya Bahari ya Hindi. Huu ni ukweli wa kihistoria kuukanusha ni kuonesha UJINGA!

No research no right to speak.
 
Naomba nielekeze kitabu ulichonacho wewe wapi nitakipata ili nione iwapo kina hiyo biashara ya utumwa unayoitaka wewe.

Nijuwavyo ni kuwa habari nyingi za biashara ya utumwa afrika mashariki ni za chuki za wamishionari wa kikristo kuwasingizia waarabu kwa nia ya kuudhuru uislamu.

Umejulia wapi wengine tusipopajua? Andikeni zenu basi mtupe alternative na siyo kulalama. Unasahau kubadilisha hiyo Location yako bob....Jamaa wamepeleka kitimoto kule ohooo...Tip Tip alikuwa Mmisionari wa Kikatoliki..teh teh tehhh....
 
..life has value than so called religion.
No, no, no! True religion must have high view of life! You cannot simply kill somebody simply because he doesn't subscribe to your religion. I like Christianity because it says: honor every human life for, although they are not on right direction according to Bible, but they were also created in the image of God.

Back to the topic now, I badly wait to see southern Sudan independence from nothern colonialism
 
Kama ikiwezakana kuigawa Sudan, basi na sisi TZ inabidi tugawane nchi. Waislam wachukue chao, Wakristo wachukue chao. Maanake Waislamu, wanaonewa TZ.
Nakuunga mkono bwana John10, waislam mnaonewa sana na ni kweli kabisa itabidi mjitenge na wakristo. Anza kuchagua mikoa basi mnayoitaka muichukue na inayobaki muwaachie wakritu na wapagani.
 
Back
Top Bottom