Njama za kuimega Sudan

Wala si Njama tazama maisha yalivyo tofauti ya North na South, na nyie waarabu mnajifanya bora zaidi so kila mtu awe na nchi yake. Kinawauma nini ardhi yai mungu kawapa rasilimali ya mafuta, nyie endeleeni kujenga misikiti na kubaguana wenyewe kwa wenyewe
 
Huwezi kuwa na umoja na Mshikamano na mtu anaekudharau, asiekuthamini wewe kama binadamu, anaekufanya kuwa second class citzen.
Naunga mkono South Sudan Kujitenga maana mateso wanayoyapata kutoka kwa Waarabu wa Kaskazini ni Mengi mno. Nilivyokua Nairobi nilikuwa na marafiki wengi sana wakimbizi from Southern Sudan na walinieleza walivyopata mateso makali chini ya Utawala wa Waarabu mpaka wakabidi kuwa Wakimbizi.
Kwa anaeshabikia waendelee kukaa na watu wa Kaskazini ni kwa sababu tu hajui mateso wanayoyapata.

Kuhusu swala la Umoja, Southern Sudan watajiunga na EAC mara baada ya kura ya kujitenga itakapomalizika, kwa hiyo swala la Umoja si lazima wawe na Umoja wa watu wa Sudan Kaskazini, Wanaweza kuwa na Umoja na watu wa EAC ambao wanaelewana nao na kuwathamini kama binadamu.

Wanaotetea umoja wa Sudan ni kwa sababu tu ya Ujinga kwa kutokujua yanayotokea huko au ni kwa sababu ya Ushabiki wa kidini usiokuwa na maana yoyote:A S angry:

samahani muheshimiwa
naona hujafuatilia ni nini mimi na John 10 ambacho tulikuwa hatukuabaliani
mimi na John 10 tulikuwa hatukubaliani kuhusu kuitenganisaha Tanzania ..
umoja na mshikamano ambao tulikuwa tunaongelea ni wa Tanzania
naomba urudi nyuma soma poster zetu zote
kabla hujaingilia maongezi....
 
Mapema mwakani kura ya maoni inatarajiwa kupigwa nchini Sudan kuamua mustakbali wa eneo la kusini la nchi hiyo.
Wakati dunia nzima ikipigania kuwa wamoja na maeneo yenye kujaribu kujitenga kama huko Comoro nguvu zikitumika kupinga kujitenga,mambo ni tofauti huko Sudan.
Baadhi ya uongo wa mataifa ya magharibi kuhalalisha kujitenga eneo la kusini lenye utajiri mkubwa wa mafuta ni eti waarabu wanawabagua waafrika.
Hapo chini ni raisi wa Sudan general Omar Al bashir akionesha upanga wake kama silaha ya kupambana na wenye kuitakia mabaya Sudan,akiwa amezungukwa na wasaidizi na walinzi wake.

nami naunga mkono juhudi zozote za kujitenga kwani kaskazi wanadhani wa kusini hawanahaki za binadamu.
 
Angalia kusini mwa TZ, Waislamu wamenyimwa haki zao zote kwa sababu ya Udini wa Nyerere. Kama Sudan wakigawana nchi, inabidi hii movement ije TZ, ili tugawane nchi. Waislamu wa TZ wamechoka kuwa nyuma kimaendeleo.

Sio kweli bob... Waarabu wamekuwepo Tanzania tangu mwaka 900 CE. Walianzisha shule na madrassa za kutosha. Kama Waislam wa Kusini mwa Tanzania hawakusoma hiyo inabidi kufanya utafiti ili kubaini kwa nini. Waislam wa TZ wasichoke bali waende shule na wazingatie masomo. Cha msingi ni kutafiti kwa nini muda wote takribani miaka 1000 Waarabu wamekuwepo hapa Tanzania haikuwasaidia Waislam kusoma hadi waje kuwalaumu Wakristu ambao wamekupo Tz chini ya miaka 200. Tusaidiane kufanya hii Tafiti na sio kabaki kulaumu tu Wakristu hiyo haitasaidia. Vitabu vya historia vinatuambia mwanzoni mwa Uislam elimu ilipewa kipau mbele sana na ndio tukapata watu kama
Abū ʿAbdallāh Muḥammad ibn Mūsā al-Khwārizmī yule mvumbuzi wa algebra, kina Abu Musa Jābir ibn Hayyān mtaalam wa kemia n.k. Sasa tujiulize walikosea wapi Waislam hadi Wakristo wakaja kuwa-overtake?
 
ndugu yangu matatizo ya maendeleo ya waislamu wa tanzania ni ya kihistoria tanzania na sio suala la kumlaumu nyerere wala kiongozi yoyote,

waarabu ndio walikuwa wageni wa kwanza kufika east africa (kilwa), lakini hakuna hata shule moja waliyojenga zaidi ya kutuachia makaburi tu, suala la elimu kwa muislamu lilikuwa sio kitu raisi hata kidogo kukikubali
mimi nimesoma hapa dar kwenye miaka ya 80s, nakwambia ukweli darasa lilikuwa linajaa wakristo tu, waislamu wakija siku mbili siku tatu wako chuo, walimu wanatuambia tukawatoe chuo kinguvu waje shule na inakuwa ni mbinde kuwatoa maustadhi wanaweka kei na shule kwamba tunataka kuwapoteza watoto wao,
ndugu nyerere kwa kulijua hilo halizitaifisha shule zote za misheni na kuzifanya za serikali ili kila mtu hata muislamu aende shule na waislamu wengi (lipumba, jk, kagasheki, kalamagi, kaborou, kapuya nk) walipita kwenye hizo shule zilizokuwa za misheni
kumsema nyerere ni kumuonea tu alijitahidi sana kuwainua waislamu wa tanzania, lakini tatizo kubwa lilikuwa uelewa mdogo na kuchukulia dini kuwa ndio msingi wa maisha bila kisomo cha kidunia

lengo la waarabu kuja afrika ilikuwa ni biashara ya utumwa.hawakuwa na lengola kueneza dini ya kiislamu. Waliwaushusha utu wa mwafrika kwa kumnunua kwa shanga. Na walitumia dini ya kiislamu kwa ajili ya kumpumbaza mwafrika kusudi amtii master wake mwarabu. Kwa hiyo dini ya kiislamu ni kama by products ya biashara ya utumwa. Na mwarabu alimlazimisha mwafrika aifuate dini hiyo. Marority ya waliowaislamu walilazimishwa kuingia dini hiyo.
Biashara ya utumwa iwe ilifanyika marekani au uarabuni zote ilikuwa ni kushusha hadhi ya binadamu. Kitu ambacho muarabu ntazidi kumchukia ni kwamba mpaka leo hii hakuna hata dalili ya waafrika watumwa waliosalia huko uarabuni. Mwarabu aliwapeleka wapi na kama sio aliwaua au kuwa hasi. Heri ktk bara la amerika ambapo sasa hivi tunaweza kuwasikia akina michael jackson, martin luther king, na akina jonson nk. Lakini waarabu waliwaua waafrika wote. Na waliobaki kwa mfano hapo znz na pemba walikuwa ni dhahifuwa kusafirishwa kwenda uarabuni na hawakununuliwa ndio walibaki. Wale wenye nguvu walipelekwa uaarabuni na wakatokomea huko. Inatia uchungu.achana na mwarabu kaka
 
Huyo Bashir alikuwa amempa hifadhi rafiki yake Sheikh Usama Bin Laden ambaye aliwalipuwa ndugu zetu pale DSM mwaka 1998 pamoja na NAIROBI. Muuaji huyu!
 
Sio kweli bob... Waarabu wamekuwepo Tanzania tangu mwaka 900 CE. Walianzisha shule na madrassa za kutosha. Kama Waislam wa Kusini mwa Tanzania hawakusoma hiyo inabidi kufanya utafiti ili kubaini kwa nini. Waislam wa TZ wasichoke bali waende shule na wazingatie masomo. Cha msingi ni kutafiti kwa nini muda wote takribani miaka 1000 Waarabu wamekuwepo hapa Tanzania haikuwasaidia Waislam kusoma hadi waje kuwalaumu Wakristu ambao wamekupo Tz chini ya miaka 200. Tusaidiane kufanya hii Tafiti na sio kabaki kulaumu tu Wakristu hiyo haitasaidia. Vitabu vya historia vinatuambia mwanzoni mwa Uislam elimu ilipewa kipau mbele sana na ndio tukapata watu kama
Abū ʿAbdallāh Muḥammad ibn Mūsā al-Khwārizmī yule mvumbuzi wa algebra, kina Abu Musa Jābir ibn Hayyān mtaalam wa kemia n.k. Sasa tujiulize walikosea wapi Waislam hadi Wakristo wakaja kuwa-overtake?[/QUOTE]

hmethod,
Good point. Lakini kumbuka target kubwa iliyofanywa na Roman Catholic Empire ni kuzivamia nchi za kiislam na kuondoa record zote za academic. Walifanya mpango huo ktk nchi za Palestina, Iraq, North Africa, nk. Jiulize kwanini Historia inatuambia kwamba kila wakati Roman Empire wakivamia kitu cha kwanza ilikuwa ni kutokemeza Eilimu kwa Waislamu.
Roman Catholic baadaye wakaistablish Missionaries kuja kuinfluence, Asia, Africa, Tanzania, na nchi nyingine duniani. Nyerere alikuwa mmoja wa Wanafunzi wa hii Ideology ya Roman Catholic. Nyerere aliweza kwa kukata majina ya Kiislamu ktk vyuo vikuu. Waislamu wengi waliosoma ktk muda wa Nyerere ilibidi wabadilishe majina ili wapate elimu. Kwa mfano, JK, Lipumba, Kapuya, nk.
Kitu cha chengine ambacho kinafanya niamini kwamba Nyerere alikuwa Mbaguzi, angalia ktk kitabu chake cha Hatma ya TZ. Anazungumzia OIC kwa muda mwingi, na kulalamika kwamba ZNZ isijiunge na OIC., bila ya kutoa sababu za msingi.
Nyerere aliweza kuwahamisha Masheikh wengi kutoka Mikoa ya Kusini na wengine aliwaweka jela bila ya sababu. Viongozi wa dini ya Kiislama kutoka Kenya, walipigwa marufuku wasiingie TZ, bila ya sababu za msingi. Yote kwa sababu ya Chuki zake na Uislamu.
Ni vizuri kwa WTZ kumzungumzia Nyerere, kwa sababu ya maafa ya Ubaguzi aliofawafanyia Waislamu.
 
Sio kweli bob... Waarabu wamekuwepo Tanzania tangu mwaka 900 CE. Walianzisha shule na madrassa za kutosha. Kama Waislam wa Kusini mwa Tanzania hawakusoma hiyo inabidi kufanya utafiti ili kubaini kwa nini. Waislam wa TZ wasichoke bali waende shule na wazingatie masomo. Cha msingi ni kutafiti kwa nini muda wote takribani miaka 1000 Waarabu wamekuwepo hapa Tanzania haikuwasaidia Waislam kusoma hadi waje kuwalaumu Wakristu ambao wamekupo Tz chini ya miaka 200. Tusaidiane kufanya hii Tafiti na sio kabaki kulaumu tu Wakristu hiyo haitasaidia. Vitabu vya historia vinatuambia mwanzoni mwa Uislam elimu ilipewa kipau mbele sana na ndio tukapata watu kama
Abū ʿAbdallāh Muḥammad ibn Mūsā al-Khwārizmī yule mvumbuzi wa algebra, kina Abu Musa Jābir ibn Hayyān mtaalam wa kemia n.k. Sasa tujiulize walikosea wapi Waislam hadi Wakristo wakaja kuwa-overtake?

Lakini kumbuka target kubwa iliyofanywa na Roman Catholic Empire ni kuzivamia nchi za kiislam na kuondoa record zote za academic. Walifanya mpango huo ktk nchi za Palestina, Iraq, North Africa, nk. Jiulize kwanini Historia inatuambia kwamba kila wakati Roman Empire wakivamia kitu cha kwanza ilikuwa ni kutokemeza Eilimu kwa Waislamu.
Roman Catholic baadaye wakaistablish Missionaries kuja kuinfluence, Asia, Africa, Tanzania, na nchi nyingine duniani. Nyerere alikuwa mmoja wa Wanafunzi wa hii Ideology ya Roman Catholic. Nyerere aliweza kwa kukata majina ya Kiislamu ktk vyuo vikuu. Waislamu wengi waliosoma ktk muda wa Nyerere ilibidi wabadilishe majina ili wapate elimu. Kwa mfano, JK, Lipumba, Kapuya, nk.
Kitu cha chengine ambacho kinafanya niamini kwamba Nyerere alikuwa Mbaguzi, angalia ktk kitabu chake cha Hatma ya TZ. Anazungumzia OIC kwa muda mwingi, na kulalamika kwamba ZNZ isijiunge na OIC., bila ya kutoa sababu za msingi.
Nyerere aliweza kuwahamisha Masheikh wengi kutoka Mikoa ya Kusini na wengine aliwaweka jela bila ya sababu. Viongozi wa dini ya Kiislama kutoka Kenya, walipigwa marufuku wasiingie TZ, bila ya sababu za msingi. Yote kwa sababu ya Chuki zake na Uislamu.
Ni vizuri kwa WTZ kumzungumzia Nyerere, kwa sababu ya maafa ya Ubaguzi aliofawafanyia Waislamu.
 
Nyerere kawafunga Waislamu kibao TZ. Mikoa yote ya kusini haina maendeleo kwa sababu ya Ubaguzi wa Nyerere kwa Waislamu. Kama Sudan wakiweza kujitenga basi mpango maalum uandaliwe ili TZ ijitenge pia. Waislamu wamechoka kuonewa na Wakristo.

Hebu tuletee ushahidi wa hii maneno yako.
Moja. Nani kakwambia mikoa ya kusini ni ya kidini tena ya kiislamu?
Pili. Rais wa nchi yenu ni Musilamu. Makamu ni musilamu. Kanchi ka unguja na pemba ni kenu waislamu. Halafu wewe bado unalalama? Kachama ka cuf nikenu nyie maisilamu. Sasa lalama ya kuwa mnateswa na Wakristo imetokea wapi? Au kwasababu hamna nguvu ya kujilipua kama ndugu zenu wa umangani ndio unaumwa roho?
Kama Tanganyika imekushinda, nenda kwa wamanga ukaishi, hakuna aliye kukataza bana.

Leta ushahidi yakinifu bana.

MWISHO. JIFUNZE KUBAKIA KWENYE MADA
 
lengo la waarabu kuja afrika ilikuwa ni biashara ya utumwa.hawakuwa na lengola kueneza dini ya kiislamu. Waliwaushusha utu wa mwafrika kwa kumnunua kwa shanga. Na walitumia dini ya kiislamu kwa ajili ya kumpumbaza mwafrika kusudi amtii master wake mwarabu. Kwa hiyo dini ya kiislamu ni kama by products ya biashara ya utumwa. Na mwarabu alimlazimisha mwafrika aifuate dini hiyo. Marority ya waliowaislamu walilazimishwa kuingia dini hiyo.
Biashara ya utumwa iwe ilifanyika marekani au uarabuni zote ilikuwa ni kushusha hadhi ya binadamu. Kitu ambacho muarabu ntazidi kumchukia ni kwamba mpaka leo hii hakuna hata dalili ya waafrika watumwa waliosalia huko uarabuni. Mwarabu aliwapeleka wapi na kama sio aliwaua au kuwa hasi. Heri ktk bara la amerika ambapo sasa hivi tunaweza kuwasikia akina michael jackson, martin luther king, na akina jonson nk. Lakini waarabu waliwaua waafrika wote. Na waliobaki kwa mfano hapo znz na pemba walikuwa ni dhahifuwa kusafirishwa kwenda uarabuni na hawakununuliwa ndio walibaki. Wale wenye nguvu walipelekwa uaarabuni na wakatokomea huko. Inatia uchungu.achana na mwarabu kaka
Hizi mada mbona zimeshajibiwa vya kutosha katika tafiti kubwa kubwa na hata humu JF zimechosha.Wanaoziendeleza ni wale ambao kampeni za kanisa bado zimebaki vichwani mwao.
Kwa kifupi imekubaliwa kwamba biashara ya utumwa ilifanywa na wazungu na wakristo.Hata hapa Tanzania pia ni wao.Waarabu walikuwa ni mawakala wao tu.
Biashara hii ilifanyika ndani ya kanisa pale Mkunazini Zanzibar.Huko Afrika Magharibi meli iliyokuwa ikisafirisha watumwa ilikuwa ikiitwa YESU ilitolewa na Malkia wa Uiengereza.Maaskfu ndio waliokuwa wakiibariki biashara hii kwa kujengewa jukwaa maalum ambapo kila mtumwa kabla kupanda melini alibatizwa kwa maji.
Waislamu hawahusiki na biashara hii.Huko Sudan ndio kabisa ni uongo mkubwa unaoaminiwa na wajinga tu.
Hii mada wacha!, itakuaibisha bure.Turudi kwenye mada ya Sudan.
 
acha ujinga wewe itabidi wewe na waarabu wako muende shule kujua nani alikuwa anafanya biashara ya utumwa Africa Mashariki
 
Mapema mwakani kura ya maoni inatarajiwa kupigwa nchini Sudan kuamua mustakbali wa eneo la kusini la nchi hiyo.
Wakati dunia nzima ikipigania kuwa wamoja na maeneo yenye kujaribu kujitenga kama huko Comoro nguvu zikitumika kupinga kujitenga,mambo ni tofauti huko Sudan.
Baadhi ya uongo wa mataifa ya magharibi kuhalalisha kujitenga eneo la kusini lenye utajiri mkubwa wa mafuta ni eti waarabu wanawabagua waafrika.
Hapo chini ni raisi wa Sudan general Omar Al bashir akionesha upanga wake kama silaha ya kupambana na wenye kuitakia mabaya Sudan,akiwa amezungukwa na wasaidizi na walinzi wake.
hata heading yako inaonyesha wewe ni Mbaguzi! huyo mmoja ni makamu wa Rais ila umesema mlinzi! utakuwa mwarabu koko wewe....
 
nyie hamjui kitu kinachoendelea huku kheri wajitenge kwani watu weusi huku hawatakiwa kabisa sasa ni kheri wajitenge waarabu Janjaweed wamekuwa wakiwaua sana niulizeni mimi nipo huku darfur sudan ni PM nitawaambia kila kitu
 
Hapo chini ni jeshi tiifu la wananchi wa Sudan.Sasa unaposema watu weusi hawatakiwi una maana gani?.Mimi pia niko huku huku hivi sasa,hivyo hunidanganyi.

images
 
Kaka hiyo sio bendera ya Sudani
 
Hizi mada mbona zimeshajibiwa vya kutosha katika tafiti kubwa kubwa na hata humu JF zimechosha.Wanaoziendeleza ni wale ambao kampeni za kanisa bado zimebaki vichwani mwao.
Kwa kifupi imekubaliwa kwamba biashara ya utumwa ilifanywa na wazungu na wakristo.Hata hapa Tanzania pia ni wao.Waarabu walikuwa ni mawakala wao tu.
Biashara hii ilifanyika ndani ya kanisa pale Mkunazini Zanzibar.Huko Afrika Magharibi meli iliyokuwa ikisafirisha watumwa ilikuwa ikiitwa YESU ilitolewa na Malkia wa Uiengereza.Maaskfu ndio waliokuwa wakiibariki biashara hii kwa kujengewa jukwaa maalum ambapo kila mtumwa kabla kupanda melini alibatizwa kwa maji.
Waislamu hawahusiki na biashara hii.Huko Sudan ndio kabisa ni uongo mkubwa unaoaminiwa na wajinga tu.
Hii mada wacha!, itakuaibisha bure.Turudi kwenye mada ya Sudan.
kaka mbona habari zako ziko kama hadithi tu, leta source. Ukileta source utaaminika vingine itakuwa ni kama uzushi na hauwezi kuaminika. Umetaka kuwadanganya watu kuwa hiyo ni Sudanese flag na sio kweli na kwamba aliovaa pama ni bodygurd kumbe sio ukweli. Anzisha maada na usapoti kitu unachokijua. sasa angalia ulichoandika hapo juu kama kina ukweli
 
Nyengo ikiwa una hadithi nyengine leta, ila hiyo ni bendera ya Sudan yenye nembo ya jeshi iliyobebwa na jeshi tiifu la wananchi wa Sudan ndani ya jiji la Khartoum.
Ubaguzi kule nyinyi ndio munaoupeleka kwa faida zenu.
Sijui uko darasa la ngapi?.Ngoja nikufundishe kulingana na umri wako.

Hii ni bendera ya Tanzania

tanzania-flag.gif

Hii ni bendera ya jeshi la polisi la Tanzania

tz_pol.gif

Hili ni jeshi la Sudan wakionesha utiifu kwa raisi wao wakiwa wamebeba bendera ya jeshi.

images

Bendera ya Sudan ni hii.

Yaleyale! Mtapoteza muda lakini hii vita si ya kimbari wala ki rangi. Ni vita iliyojikita kiimani zaidi. Kusini walio wengi ni wakristo na kaskazini walio wengi ni waislam. Kuna ndugu mmoja alijitolea kwenda sudani kama mmisionary na alikuta wakristo, ambao wengi wao ni weusi wanaachwa wafe na njaa na janjaweed wanafanya jihad. Ni mengi yamejificha nyuma ya pazia hilo lakini voila! Nadhani sasa utaelewa kwa nini kura ya maoni inwaumiza kichwa ustaadh Ami na wenzake....waacheni ndugu zetu wapate uhuru waifurahie ardhi waliyopewa na Mungu. Kwani lazima kila mtu awe muislam? So that is the heart of the matter!
 
Lakini kumbuka target kubwa iliyofanywa na Roman Catholic Empire ni kuzivamia nchi za kiislam na kuondoa record zote za academic. Walifanya mpango huo ktk nchi za Palestina, Iraq, North Africa, nk. Jiulize kwanini Historia inatuambia kwamba kila wakati Roman Empire wakivamia kitu cha kwanza ilikuwa ni kutokemeza Eilimu kwa Waislamu.
Roman Catholic baadaye wakaistablish Missionaries kuja kuinfluence, Asia, Africa, Tanzania, na nchi nyingine duniani. Nyerere alikuwa mmoja wa Wanafunzi wa hii Ideology ya Roman Catholic. Nyerere aliweza kwa kukata majina ya Kiislamu ktk vyuo vikuu. Waislamu wengi waliosoma ktk muda wa Nyerere ilibidi wabadilishe majina ili wapate elimu. Kwa mfano, JK, Lipumba, Kapuya, nk.
Kitu cha chengine ambacho kinafanya niamini kwamba Nyerere alikuwa Mbaguzi, angalia ktk kitabu chake cha Hatma ya TZ. Anazungumzia OIC kwa muda mwingi, na kulalamika kwamba ZNZ isijiunge na OIC., bila ya kutoa sababu za msingi.
Nyerere aliweza kuwahamisha Masheikh wengi kutoka Mikoa ya Kusini na wengine aliwaweka jela bila ya sababu. Viongozi wa dini ya Kiislama kutoka Kenya, walipigwa marufuku wasiingie TZ, bila ya sababu za msingi. Yote kwa sababu ya Chuki zake na Uislamu.
Ni vizuri kwa WTZ kumzungumzia Nyerere, kwa sababu ya maafa ya Ubaguzi aliofawafanyia Waislamu.

Usiwe biased kiivyo Bob hata Waislam waiichoma moto hadi kuwa majivu ile Library iliyokuwa kubwa kuliko zote ya Alexandria Egypt punde walipoiteka nchi hiyo walienda mbali hata kutaka kuyavunja vunja Mapiramidi ya Pharao wakashindwa. Nasema tena kumlaumu Nyerere hakutasaidia cha muhimu ni kwenda shule na kuhimiza wanetu wakasome. Tatizo wengi wanashindwa kutofautisha elimu na ushabiki wa kidini. Kama ukijaliwa kutenganisha hivi vitu viwili ndipo utakuwa huru. Wakristo wasomi wa kimangaribi wamefikia hata kusema Mungu hakuhusika katika kuumba ulimwengu kama Stephen Hawking, kwa asiye mwelewa atasema wanakufuru. Lakini kwenye elimu na science lazima uachane na mambo ambayo tumeridhishwa tu na amabayo wakati mwingine ni vigumu hata kuyathibitisha. Kwa wenzetu hii ni ngumu. Ndipo tatizo linapoanza hapo.
 
Back
Top Bottom