NJAA YAJA: Dear Mr. President, On a Serious Note...

DsL, Kyela kumefurika na mashamba ya mpunga yamesombwa; unafikiri supply itakuwa vile vile ya mchele wa Kyela?
 
DsL, Kyela kumefurika na mashamba ya mpunga yamesombwa; unafikiri supply itakuwa vile vile ya mchele wa Kyela?

..halafu mbarari na kapunga utani mwingi!

..ila mchele utatuumbua watu wa pwani. hatujazoea ugali!

..vipi nzega na shinyanga? hakuna neema huko?
 
Ndugu zangu, kuna uwezekano mkubwa kwamba itakapofika kiangazi mwaka huu, Taifa letu linaweza kujikuta kwenye upungufu mkubwa wa chakula ambao siyo tu unatishia maisha ya watu wetu bali pia unashusha hadhi na utu wa mwanadamu. Hakuna kitu kinachomdhalilisha mwanadamu na kuweza kumfanya awe mtu kama njaa.

Ni njaa ndiyo inayoweza kumfanya mtu aukane urithi wake wa kwanza kama alivyofanya Esau na ni njaa ambayo ilikuwa inatumika tangu enzi za kale kama silaha ya mwisho ya vita ambayo inalazimisha watu kusalimu amri.

Tanzania tutakabiliwa na njaa ambayo chanzo chake si ukame. Mara nyingi (kama siyo zote) njaa husababishwa na ukame na vita. Hata hivyo njaa ambayo naweza kuiangalia toka mbali na inayosogelea kama simba anyatiaye haitokani na mambo hayo bali makubwa mawili.

a. Kupanda kwa bei ya chakula duniani.
Habari za leo ni kuwa bei ya chakula duniani imepanda kwa haraka kuliko wakati wowote ule na hivyo kusababisha ugumu wa kupatikana kwa chakula. Yaliyotokea Haiti na Misri siku chache zilizopita ni dalili ya ubaya wa hali hiyo. Kwa wale walioko Dar au maeneo yenye masoko ya kudumu na kwenye mialo mbalimbali kanda ya ziwa wanaweza kutusaidia kutuambia kama kumeanza kutokea mabadiliko yanayoonekana ya bei ya chakula siku hizi chache zilizopita.

b. Mvua ya masika.
Hata hivyo naamini kwa upande wa Tanzania kitakachosababisha njaa sana ni hii mvua ambayo imeharibu mashamba na mazao ya watu kiasi kwamba baadhi ya maeneo ambayo kwa kawaida yana chakula cha kutosha yanaweza kujikuta yanahamia mwaka huu. Kama mpunga wa Kyela utakuwa umeathirika kama Dr. Mwakyembe alivyosema kwenye mahojiano yake nami kuna uwezekano kuwa Mwaka huu bei ya Mchele nayo itapanda na hivyo kufanya nafaka hiyo ianze kuwa adimu na kupatikana kwa wachache.

Maeneo ambayo mchele ndiyo chakula kikuu na pia zao la biashara watajikuta wanakabiliwa na upungufu wa fedha za kununulia hata vitu vingine na hivyo kusubiri chakula cha misaada.

Kwa vile tunajua haya yote na ziada; tufanye nini ili tujiandae na njaa ijayo?

On a serious note, do you have enough data to support your conclusion? Sidhani kama Mbeya kukiwa na mafuriko ndio nchi nzima itakuwa na njaa? Tunaweza kuwa na upungufu lakini ni muhimu kulifuatilia hili ili kufahamu situation ya chakula nchi nzima.
 
On a serious note, do you have enough data to support your conclusion? Sidhani kama Mbeya kukiwa na mafuriko ndio nchi nzima itakuwa na njaa? Tunaweza kuwa na upungufu lakini ni muhimu kulifuatilia hili ili kufahamu situation ya chakula nchi nzima.

Dua,


Kila mtu anakwambia mvua zimezidi na kuharibu mbegu. Kilimanjaro Arusha wanalia mahindi yalianza chipua mvua imekuwa nyingi mno, wasi wasi wa mavuno ni mkubwa.

Sasa kama wakulima wanatoa wasiwasi ikiwa wao ndio wazalishaji, unataka tusubiri hotuba ya Mwezi wa Sita kutuambia hali ni ngumu?
 
Dua,


Kila mtu anakwambia mvua zimezidi na kuharibu mbegu. Kilimanjaro Arusha wanalia mahindi yalianza chipua mvua imekuwa nyingi mno, wasi wasi wa mavuno ni mkubwa.

Sasa kama wakulima wanatoa wasiwasi ikiwa wao ndio wazalishaji, unataka tusubiri hotuba ya Mwezi wa Sita kutuambia hali ni ngumu?

Even kagera wanalia maana mazao yameharibika na mvua nyingi kuliko kawaida, kila sehemu ni kilio. Bwana Dua nafikiri ukiangalia taharifa za habari za wiki zote za kimataifa na kitaifa kuna aina furani ya message kuwa hali itakuwa ngumu. the price will rise nearly twice on every food item with 6 months from now.
 
Nawapata wakuu, Wekeni data tuangalie, maana wengine sio mabingwa kwa hilo.
 
Dua,

Data si mpaka wataalamu wa Wizara na Baraza la Mawaziri wakae chini, waunde kamati waende vijijini, waangalie mashamba na barabara, kisha warudi kufanya warsha watoe mihadhara kwa Kamati Kuu, kisha Baraza la Mawaziri halafu ndipo tamko rasmi litolewe?

Sisi tunasoma magazeti na kuongea na jamaa wa nyumbani na kuyaona kwa macho yetu, vinatosha kutuambia tujifunge vibwebwe na mikanda ikazwe sana..
 
On a serious note, do you have enough data to support your conclusion? Sidhani kama Mbeya kukiwa na mafuriko ndio nchi nzima itakuwa na njaa? Tunaweza kuwa na upungufu lakini ni muhimu kulifuatilia hili ili kufahamu situation ya chakula nchi nzima.


mzee mpunga wa Kyela wanakula wapi na wapi Tanzania? Zao la Mpunga likipungua itakuwa na domino effect...
 
Latest reports on shortage of Rice. Shocks as export ban is being considered....


Rice prices soar as scarcity fears reach US


Rice prices in Thailand, the world's top exporter, surged to US$1,000 (HK$7,800) a tonne yesterday as concerns about food security first triggered by a handful of Asian export bans spread as far as the United States.

[FONT=Verdana,Arial,Helvetica,sans-serif]Friday, April 25, 2008


Rice prices in Thailand, the world's top exporter, surged to US$1,000 (HK$7,800) a tonne yesterday as concerns about food security first triggered by a handful of Asian export bans spread as far as the United States.

This week's 5 percent jump takes prices to nearly three times their level at the start of the year, intensifying fears of social unrest in Asia as millions of the region's poor find themselves struggling to pay for staple goods.
The surging price of fuel and food, which some analysts attribute to panic buying by both consumers and governments rather than a dire shortage of supply, has so far sparked riots in Africa and Haiti, but not Asia.
Having started with India's imposition of export curbs to protect domestic supplies last year, Brazil became the latest country on Wednesday to suspend rice exports. The crisis was also felt in the United States this week.
Sam's Club, a unit of retail giant Wal-Mart, said on Wednesday it was capping sales of nine-kilogram bulk bags of rice at four bags per customer per visit to prevent hoarding.

The previous day, rival Costco Wholesale said it had seen increased demand for items such as rice and flour as customers, worried about global food shortages, stocked up.

"Everywhere you see, there is some story about food shortages and hoarding and tightness of supplies," said Neauman Coleman, an analyst and rice broker in Brinkley, Arkansas.

In Bangkok, some traders said Thai 100-percent B grade white rice, the world's benchmark, could hit US$1,300 a tonne due to unstated demand from number one importer the Philippines, which fell well short of filling a 500,000 tonne tender last week.

Manila said yesterday it had raised the size of another tender on May 5 to 675,000 tonnes from 500,000 tonnes.

There is also a big question mark over Iran and Indonesia, two countries that normally buy as much as one million tonnes of Thai rice each year but which have bought nothing this year.
Indonesia's trade minister said yesterday her country can meet domestic demand for rice this year, thanks to a bumper rice harvest, exports curbs and subsidies.

REUTERS
[/FONT]
Source link: http://www.thestandard.com.hk/news_print.asp?art_id=65027&sid=18652099

SteveD.
 
Na Uganda nao!

Govt must brace for harder times as food prices soar
By: Omar Kalinge Nnyago - The Monitor

The prices of essential commodities in the country have shot through the roof. Except for the government, which has long survived on falsifying data to suit its ends, everyone knows that we are running a double digit inflation. Coupled with low salaries, failure of government to establish a minimum wage, phenomenal unemployment, especially among persons under 18-30 years, Uganda is a country on the verge of a crisis.

The government is aware that it is sitting on a time bomb. This is most likely why it has flooded the city and its suburbs with thousands of police, as if there was apparent civil unrest. Kampala now has more “idle policemen on duty” than any other city I know. You can find them at strategic roundabouts chatting away and some playing cards.

Ugandans normally do not ask much from their government. They just want a decent meal, school fees for their children, and a little money to pay their medical bills. Now, suddenly, at the time Bonna Bagaggawale (Wealth for all) has been launched, they find themselves unable to treat their sick.

And barely can they afford two meals a day. They are waiting for some explanation from their government, before they riot on the streets. When the term opens, most parents will not be able to return their children to school.

Unfortunately, when the budget is read this June, their Finance Minister will lie that he has controlled inflation and will suggest several tax increases in return. The salaries of civil servants will not be raised to match. But the President, as you heard, must get a new plane to fly himself and his family in case of a maternity event.

He has this ‘trust problem’ with Ugandan doctors as he explained the other day when the citizens asked why he had used the presidential jet to fly his daughter abroad to give birth.

Insecurity and lawlessness is the inevitable consequence of this failure of the government to tell the truth to its people and to confront the rising cost of living. The cost of security will therefore rise dramatically, especially in towns. This cost must translate into more price rises.

Corruption will spiral at all levels as a coping mechanism. Drugs will be stolen from health centres and hospitals. More homes will steal electricity and water through ingenious methods. Manufacturers will not only lay off staff, thus exacerbating unemployment, they will sell underweight and below quality products, if they are to remain open. Many businesses will close.

Unless government stops hiding its head in the sand, it should brace for workers strikes, and angry protests by the population. No amount of policing can stop a hungry, angry person with no hope for a solution to their basic problems. There will be enough idle students on the streets because their teachers and lecturers will be on strike.

All this, in the midst of the visible affluence of a small percentage of persons in power and the patronage network who will be seen to be living ‘on another planet’. They do not know the price of fuel, for they don’t buy it. Their children’s fees are picked by the state, they win all the government tenders.

They dine in five star hotels and their children attend international schools, or schools abroad. Most have amassed wealth. Primitive accumulators can have no shame. They own the markets, the taxis, the kiosks, the fuel stations, the supermarkets, everything.

Only their children get the good jobs. They can afford their personal security. But this is temporary. When order breaks down, they will know how vulnerable they are, and why it is futile to thrive amidst deprivation.

The people then recall that their lives are not worth a dime, when they see twenty little school girls burned alive in an overcrowded dormitory, and the Minister of Education does not see any reason to resign, as an act of respect to the sensibilities of the parents who lost their innocent children through a clear act of failure of government regulation.

No one says Namirembe Bitamazire lit the torch that burned the children. But at her age and experience, the nation demanded some more mature action. The people also remember the minister who did not resign has a good example to follow, in her president.

On the day when one thousand Ugandans were found dead in Kanungu, some of them in an inferno like the one at Budo Junior School, others long dead in pits, the President left for a foreign trip- business as usual. This is the tale of our current leadership.
 
Salma Said
Zanzibar (the Citizen)

Zanzibar will waive tax on rice and consequently ban re-exports of the cereal in order to curb a looming food shortage in the isles.

The move would help curb scarcity of the staple food in the Isles, according to the Zanzibar deputy chief minister, Mr Ali Juma Shamhuna.

In a speech to mark the International Workers Day yesterday, he said the shortage of cereal foods, including rice, has become a global threat.

"To start with, the government has decided to waive tax on rice and ban re-exports to save the small reserves we have," said Mr Shamhuna.

He explained that the Zanzibar government believes that the ban would enable low income earners bear the growing inflation and rising prices of various products in the Isles, particularly cereals.

The world's largest rice producers, Pakistan, India, Thailand and Philippines, have already banned rice exports. These countries have been experiencing poor rice output in recent years.

"The whole world is faced with the shortage of cereals, particularly rice. Even big producers have already banned its exports," he said.

He said even if the government had enough money it could not afford importing the product whose price was rising each day.

The minister said in order to escape from the global threat it was necessary for workers and their government to sit down and find the way out.

He said this time around the government would allocate sufficient funds from its budget to three key sectors, including agriculture.

The chairman of the Zanzibar Workers Union, Zatuc, Mr Zahram Mohamed Zahram, used the occasion to warn that the current calmness among Zanzibar workers should not make the government relax and think that workers have no serious problems.

He said the current food shortage and low wages/salaries were among serious issues facing workers in Zanzibar.

"The agenda here is one, that is, hunger. The government should not think workers here are happy today. We have problems and we are hungry," emphasized Mr Zahram, amid applause from other workers.

On his part, the Zatuc secretary general, Mr Makame Luni Makame, said the workers union in Zanzibar had been legally registered.

He urged the government not to perceive workers as opposition political parties rather than as people who were fighting for their rights when they aired complaints.

The continuous rise in the price of various goods in Zanzibar, he said, has put workers who cannot afford the price in agony and frustrations.

This is because of the low salaries paid by the government and private employers, he added.

The secretary general wondered how the GDP in Zanzibar reportedly increased by six percent while it has not manifested itself in a better life for workers.

My Take:


Zanzibar wameamka... Bara na kina Msolla wanaendelea kungojea nini?
 
Tanzania bara tumejaliwa viongozi wazuri, ardhi yenye rutuba, amani na utulivu, mshikamano na umoja.. ndio maana hatuhitaji kujiandaa kwa mambo haya. Mungu atatusaidia tusiwe na wasiwasi.
 
Pmaoja na mapungufu yote ya rais na serikali yake SIDHANI kama atalichuukilia sula la njaa kwa mzaha na utani kwa nchi!Asubiri Mwanakijiji toka Marekani amkumbushe wajibu wake kuhusu suala la njaa ndipo alifanyie kazi?Atakuwa siyo rais aachie ngazi!!!
 
Teh teh haha siyo nacheka kwa sababu ya kueleza kuhusu njaa ila nkupa big up kwa hoja zako za msingi kama nilivyoeleza jana lakini angalia wswahili husema ukimsifia mgema............
 
Mchungaji sijakuelewa ulikuwa na maana gani ukisema wtu wanasubiri gwaride la muungano
 
ser leem.. JK hamuhitaji mtu yeyote kusema lolote; hicho kinaitwa kiburi. Katika demokrasia watawaliwa wana haki ya kutoa manung'uniko yao kwa serikali kama vile walivyo na haki ya kutoa pongezi.
 
ZAMBIA NA WENYEWE WANAJIANDAA

By Shapi Shacinda

LUSAKA (Reuters) - Zambia has suspended white maize exports due to a decline in output after the country was hit by floods, a minister said on Wednesday.

Output is forecast to fall by 11.3 percent to 1.2 million tonnes in 2008, said agriculture minister Sarah Sayifwanda.

Sayifwanda said Zambia, which has been exporting maize to Zimbabwe, Angola, Namibia, Botswana and the Democratic Republic of Congo, would not export any more until it determines there is enough stock for local consumption.

"Total maize production in the 2007/08 season has been established to be 1,211,566 metric tonnes in comparison to maize production of 1,366,158 metric tonnes achieved last year," Sayifwanda told journalists.

Zambia has revamped its agriculture sector as part of a plan to diversify the economy, and has become a net maize exporter after enduring severe deficits of the crop in the early 2000s.

Zambia had a maize carry-over stock of 390,350 tonnes from the 2007 harvest, which was held by the state run Food Reserve Agency (FRA), she said.

Commercial farmers contributed 18 percent of total national white maize output with the balance coming from small-scale farmers, the minister said.

"The large scale farmers achieved an average yield rate of 4.51 percent per hectare while medium and small scale farmers achieved an average rate of 1.13 percent per hectare," she said.

Sayifwanda said maize production declined despite farmers increasing plantings by 6.4 percent to 928,224 hectares from the previous farming season.

Sayifwanda said most farmers cited water logging and flooding as reasons for crop failure in most parts of the southern African country.

Industry officials have placed total national requirement at an average of 1.2 million tonnes for food, the brewery and stock feed industries.

"We will ensure that Zambia has enough food for its people before we think of exporting to other countries," Sayifwanda said.

Wakati huo huo...


S.Africa's Manuel warns no easy fix on food prices
Wed 7 May 2008, 14:28 GMT


[-] Text [+] CAPE TOWN (Reuters) - South Africa should not look to "quick fix" solutions such as price controls to tackle rising food prices, Finance Minister Trevor Manuel said on Wednesday.

South Africa, like countries across the world, is battling sharply rising food prices that have helped drive inflation to a five-year high, pushing interest rates higher.

Labour unions have warned of protests similar to those in other African and Asian countries against rising prices, and have demanded goverment intervention.

"I do want to caution the house against quick fix solutions, that actually provide very little for the poor and especially for young children who are badly in need of nutrition," Manuel told parliament.

"The key issue about food prices is that it is a global matter and that South Africa is not among the 50 worst affected countries at the moment, so we mustn't be talked into all kinds of panic."

South Africa's food inflation acclerated to 15.3 percent year-on-year in March.

Manuel said the problem with quick-fix actions, such as price controls, were the ability to administer them.

Africa's biggest economy is considering food vouchers and extending tax relief on basic foodstuffs as prices for everyday items such as bread, milk and maize rise beyond the reach of millions of poor people.

Writing in the online web page of the ruling African National Congress party, Manuel earlier in the week said any intervention needed to be well targeted and take appropriate short and longer-term food security needs into account.

"Managed well, high food prices can be a boon for South Africa, but the impact on the poor must be a key feature of government policy," he said.

In the article, he said public policy responses to food prices should concentrate on income support to the poor and on efforts to boost agricultural production.

While in Tanzania:



Prof. Msolla is still silent....
 
Back
Top Bottom