Njaa Yaikumba Marekani

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
525
131
Bei ya nafaka imepanda zaidi huko Marekani kuwahi kutokea baada ya kipindi cha miaka 15. Mahindi, ngano, soya vyakauka kwa kukosa mvua na joto kali.

Ban ki Moon na Rais wa benki ya dunia wakutana kwa dharura kujadili baa la njaa linaloweza kutokea, hasa kwa nchi masikini.
Source: presstv
 
presstv mimi siwaamini ni ya wairani, tumsubiri Nyani Ngabu for confirmation
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi tu nimetoka kula habanero bbq'ed chicken wings na waffle fries halafu nikashushia na 100% pomegranate-blueberry juice.

Jina lako lipewe maflagi ya kufa mtu, ufalme wako utuibukie kiaina maghetoni, unachotaka kifanyike gheto kama skani kwako, utupe leo Mapiza, Mabaga, Machips kuku na Mazagazaga kibao... Tuchukulie poa tukichemka, kama sisi tunavywachukulia poa wanaotu-snitch!!
 
Wasiwasi utakuwa kukosa chakula nchi kama Somalia, Malawi, Zimbabwe, Kenya (north), n.k
 
Haya wabeba Box rudini nyumbani!

:biggrin1: hapo umegusa wengi aisee huku chakula kipo cha kumwaga.. Juzi nilikua naongea na ofisa mmoja wa ubalozi wa marekani ambae mda wake wa kufanya kazi hapa umeisha anarudi nyumbani kwao washington dc akawa anasema kua anaondoka lkn atarudi coz anataka kuishi hapa.. Bongo ndio sehemu ya kuishi.. Nimekua nawaambia sana wakimbizi wa kibongo wanaoishi states kwenye international forum kua warudi bongo kubeba maboksi hakuna dili tena
 
Back
Top Bottom