Njaa ya Mabinti Bwana

Mi nikipigwaga hiyo mizinga yaani namlia timing tu,najua kahisa atalipia panapo shughuli mbona atakoma,ina maana yuko kunitumia na mimi kumtumia,maana kama kuna love hatanikamua hivyo so straight away najua huyu ni wa gemu tu na wananijua,akitoka hapo hana nye mwezi mzima na kukanda na barafu kabisa.
Hivi jamani ni kwa nini Mabinti/Wasichana huamini kuwa rafiki wa Kiume ni mtu wa kupigwa Mizinga kwenye kila kitu, kuanzia vocha, simu, mavazi, shida zingine za uongo, n.k? Ni kwa nini ukitoka naye anaagiza vitu vya thamani wakati hajui ulicho nacho mfukoni na wakati huohuo mfukoni anakuwa hana fedha za kutosha anachojigharamia? Utasikia niletee Savannah/Heineken/Miller/Serengeti Ndogo. Niletee Chips na nusu Kuku halafu weka na mayai mawili. Utadhani ndo siku mwisho kula. Hivi hawa watu hawana mawazo ya savings/maendeleo? Wanafikiria leo hapo mezani tu? Na ndo maana jamaa wengi huishia kula mara moja, ya pili ni kwa nadra sana.
 
Ndo maana sitaki kuoa kwa sasa bora nimalize vyote kwanza nikikinai ndo nitaoa ,baba enock yaaninwe akili yako unafikiri kuna kichecje atampenda mume wa mtu kikwelikweli?ni kutumiana tu hapo
Baba Enock, heshima yako nimeishusha, yaani mkeo unamuita vuvuzela!!!!!!!!! khaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! nilikuwa nasikiaga watu wanasema mitaani sasa hii ni live bila chenga, hebu futa jina hilo harakaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Na kumbe una nyumba ndogo eeeeeee, jamani why!!!!!!!!!!!!!
 
Dawa yao mbona ndogo tu mkuu,

1.Tafuta hotel ya kitalii yenye exit 2
2.Nenda nae kama kawaida
3.Mwache aagize kama kawaida yake,nawewe agiza sana
4.Kuleni/kunyweni ikifika katikati jipigishe simu
5.Nenda kapokee simu huko,ukimaliza chapa lapa ukalale hm
6..............................

Yaani hiyo ilimtokea mtu akajikuta anosha vyombo vya hiyo siku na simu wakachukua ilikuwa bonge la aibu lol!!!!Hiyo tabia ni mbaya sana sana
 
Dawa ndo hiyo tu. Unamwacha aagize vya bei ya juu na huyo rafiki yake aliyekuja naye then unaweka simu sikioni na kusema hallooo, hallooo, sikusikii ngoja ntoke nje, ukitoka unasepa zako huku ukimwacha akivuliwa chupi na wengine ili wampe msaada. Unaagizaje vya bei ya juu bila kujua kama mwenzio ana hiyo hela? Umamletaje rafiki yako wakati umeitwa mwenyewe bila kujali uwezo wa mwenzio kumudu kikao husika? Kwa kuwa haya yote ni dalili ya mapenzi ya wizi, dawa ni kuwaachia bili halafu akikupigia unamwambie "nyie lipeni, nimepata dharura, tutaonana kesho". Kama hutasikia "please my sweet come, please, we are unable to pay, sweet please we are going to be embarased here" na wewe unamjibu "lipeni tu vya kwenu, mimi nilikunywa maji ya 500 tu, is not a big deal kwao". Au ukitaka kummaliza kabisa akikupigia simu wakati wanadaiwa bili, unarefusha mazungumzo mpaka hela iishe kwenye simu yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom