"Niwie radhi Mhe..." - Meghji

Duuh! Sasa hiyo inatisha mazee kwa sababu kama hiyo ndio kanuni basi ina maana sisi wabongo wote ni mafisadi na hamna hata mmoja wetu/ wachache ktk watu milioni 40 ambao si mafisadi. Bora lipi? Kuwaondoa mafisadi waliokwishatuthibitishia ufisadi wao au kuwaacha waendelee kutawala kwa vile tu watakaowarithi nao wataishia kuwa mafisadi? Bado sijakata tamaa kuwa hatuna watu wasafi wasio walafi.

Nyani, hoja yangu ya msingi ni kuwa misingi mibovu ya "superstructure" tulizonazo ndizo zinazochochea huu ufisadi. Hakuna mtu aliyezaliwa na chapa ya ufisadi usoni. Ni mazingira ndio yanamfanya mwanadamu kujikita kwenye ufisadi. Pamoja na pressure tunayotoa sasa hivi kwa hawa jamaa kuachia ngazi, hata wengine watakaoingia serikalini bado wataendeleza ufisadi. Maana kichaka bado hakijabadilika. Tunahitaji kutia kiberiti hicho kichaka ili mafisadi waonekane waziwazi--mabadiliko katika hizo superstructures. In the shortrun, ni kuwatimua hawa mafisadi. However, in the medium term, overhaul ya superstructure ni muhimu.

Naomba kuwasilisha.
 
Ni sehemu ya maneno ambayo Balozi Mmoja wa nchi za Magharibi alianza kuyatumia alipotaka kuonesha ni jinsi gani nchi wafadhili zimeanza kuwa na shaka na uwajibikaji wa serikali ya awamu ya nne. Katika ripoti ambayo KLH News imeipata kutoka ndani ya kikao hicho kilichofanyika leo.. Balozi huyo aliamua kumtolea uvivu Waziri Meghji (aliyekuwa hapo pia)... Taarifa zaidi ... bado inasubiriwa..

Mzee Mwanakijiji naona una furaha sana ndugu yangu, kuitakia nchi yako mabaya ni mojawapo ya UFISADI Mkubwa...

Hii haimaanishi kuwaunga Mkono Mafisadi,,, lakini ningetamani sana jambo hili liweze kutatuliwa bila kuathiri mahusiano yenu na nchi za nje, maana... athari zake ni kubwa kwa wananchi wasiokuwa na hatia...

Wamarekani ni wanaungana kwenye jambo ambalo lina-athari kwenye nchi yao,,, mimi nilimsikiliza yule balozi alisema anaipongeza serikali kwa kuamua kuwa na uchunguzi lakini la muhimu wanasubiri report yenyewe na reaction ya serikali wakati report itakapotoka..

Then issue ya mabomu mengine ya Urafiki, inasemekama Upinzani umeelezea tu mambo hayo hayo,,, maana it is the same account ambayo inafanyiwa uchunguzi wa kina....

Can't we wait for the report and reaction on it from GoT?
Mambo yote unayoyatafutia report yameongewa ITV bila woga na wananchi tumemsikiliza balozi mwenyewe unless unataka kuhariri iwe ya kwako ndio utuletee....

Suala la BOT sio la kichama tena,,, ni mgogoro wa Kitaifa; ambapo kwa kweli sitegemei kwamba likakuwa rahisi hata siku moja na sitegemei kwamba litakuwa ni jambo la kifahari especially kwa kuwa audit inayofanyika sio ile ya kiserikali tena.... ni ya kimataifa,,, hii hata taasisi au makampuni yanayoheshimika hapa nchini yakifanyiwa matatizo yataonekana tu!!!

Negative itakayoonekana ni ya Watanzania, hawatasema ni ya CCM, watajua majamaa ni hayo hayo tu,,, sasa mnaofikiria itakuwa aibu ya CCM tu,,, nadhani mnapotoka!!! kumbuka mambo haya yametokea wakati wa CLEAN PRESIDENT aliyependwa na mwalimu....
 
Mimi kila siku huwa nauliza hao wahisani nani aliwapaga msaada wakaendelea? Sasa unapokuwa na watu ktk nchi/serikali kama huyu katibu mkuu Lyimo anayesema "Hawa mabwana wana masharti magumu sana, ndiyo maana tunashindwa kuyafikia maendeleo… hii inasababisha nchi yetu kuendeshwa na wafadhili badala ya kujiendesha wenyewe," ...halafu wazungu wakisema sisi hatuna akili wala uwezo wa kujitawala tunakuja juu wakati ukweli wa mambo uko bayana kabisa. Hivi bila ya hawa wahisani, ni nini kitatokea? Ina maana hatuwezi ku-exist?

Kwa kweli inaniumiza sana hii, na inatia aibu kwa kweli. Yaani wazungu wanazidi kuthibitisha kwamba hatukupaswa kuachiwa kujitawala kwa sababu ukweli ni kwamba hatujitawali! Tunatawaliwa tu, sawa na mwanao unayemlisha kumvisha, kumlipia karo ya shule nk kwa mapato yako, anajitawala wapi? Tunahitaji, kwa dharura, kuondoka katika hali hii. Yaani inatia aibu sana. Jana kwenye BBC 1 walikuwa wanaonesha makala kuhusu rushwa huko Kenya, duh, mbona niliondoka sebuleni maana aibu tupu. Watu wamepigwa picha za video za siri kwa kutumia simu wanapotoa rushwa za kupatia vibali vya kuanzisha NGO za kulamba hela za UKIMWI. Basi mpelelezi aliweza kununua registration certificate ya NGO kwa sh 10,000 za Kenya, na kesho yake akaanza kuwekewa USD 2,000 kwa mwezi kwenye akaunti ya NGO feki hiyo. Yani kila mzungu aliyekuwa anaangalia kile kipindi alikuwa anasema Afrika nzima iko hivyo, na wakanung'unika sana kuhusu ubovu wa serikali yao kwa kuruhusu hela zao kupotea, wengine wakadai hata viongozi wao (wazungu) ni mafisadi na hizo hela huwa wanagawana na mafisadi wenzao waafrika, hakuna cha msaada wala nini! Ilikuwa debate kali lakini ile documentary ilikuwa inaumiza sana kwa sababu ni mambo ya kweli.
 
Mzee Mwanakijiji naona una furaha sana ndugu yangu, kuitakia nchi yako mabaya ni mojawapo ya UFISADI Mkubwa...

Anayetakia nchi yake mabaya ni nani kati yangu na wale wanaokula fedha umma kama mchwa na kuzifyonza kama miwa na wakihojiwa wanasema ni "kelele za wapinzani"?

Hii haimaanishi kuwaunga Mkono Mafisadi,,, lakini ningetamani sana jambo hili liweze kutatuliwa bila kuathiri mahusiano yenu na nchi za nje, maana... athari zake ni kubwa kwa wananchi wasiokuwa na hatia...

Mahusiano yaliyojengwa kwa msingi wa ulaghai, patronage n.k ni mahusiano ambayo hayana budi kuvunjwa!

Wamarekani ni wanaungana kwenye jambo ambalo lina-athari kwenye nchi yao,,, mimi nilimsikiliza yule balozi alisema anaipongeza serikali kwa kuamua kuwa na uchunguzi lakini la muhimu wanasubiri report yenyewe na reaction ya serikali wakati report itakapotoka..

Asikudanganye mtu, wamarekani hawaungani kutetea, kulinda, au kuficha ufisadi, umewahi kusikia Watergate Scandal!?

Then issue ya mabomu mengine ya Urafiki, inasemekama Upinzani umeelezea tu mambo hayo hayo,,, maana it is the same account ambayo inafanyiwa uchunguzi wa kina....

inafanyiwa uchunguzi ndiyo, kama ni wa kina tutaona, lakini hilo halitufanyi sisi wananchi kutouliza na kuendelea kuweka pressure. Ni haki ya wananchi kusema na kuipa mchecheto serikali yao!

Can't we wait for the report and reaction on it from GoT?
Mambo yote unayoyatafutia report yameongewa ITV bila woga na wananchi tumemsikiliza balozi mwenyewe unless unataka kuhariri iwe ya kwako ndio utuletee....

Hiyo ilikuwa tangu jana, na tayari yameshawekwa hadharani. Kusubiri kuwa watawala watakuwa wema na kusema ukweli wote ni kuwa naive na nature ya watawala. Hivyo, wewe endelea kusubiri, wakati sisi wengine tunasubiri huku tunaendelea kuuliza maswali!

Suala la BOT sio la kichama tena,,, ni mgogoro wa Kitaifa; ambapo kwa kweli sitegemei kwamba likakuwa rahisi hata siku moja na sitegemei kwamba litakuwa ni jambo la kifahari especially kwa kuwa audit inayofanyika sio ile ya kiserikali tena.... ni ya kimataifa,,, hii hata taasisi au makampuni yanayoheshimika hapa nchini yakifanyiwa matatizo yataonekana tu!!!

Negative itakayoonekana ni ya Watanzania, hawatasema ni ya CCM, watajua majamaa ni hayo hayo tu,,, sasa mnaofikiria itakuwa aibu ya CCM tu,,, nadhani mnapotoka!!! kumbuka mambo haya yametokea wakati wa CLEAN PRESIDENT aliyependwa na mwalimu....[/QUOTE]
 
Unasalimiwa na mshikaji wako Mpilipili....lol!

Alafu Mwambie Mwanakijiji aache Kunifuata-fuata!!
Nilikua nina mpango wa kuomba msamaha lakini nime hairisha..Hivi Mna jua kwamba Nusu ya wa Africa Masikini ni Watoto!!!..Na wanao weza kuomba fedha ni Wakuda watu wazima!!
eeeh!! NGO- Tuna saidia watoto wenye Ukimwi...Mara Njaa..!! eeeh Bush Naomba Hata suluali zilizo baki!!Eeh Obama..Mambo vipi?-eeh serikali ya china...Inatoa Msaada wa kujenga Reli...SAWA Hata chupi leteni tu Africa Hakuna..
Haya!!Kumbe chupi Haziwafikii walengwa!!watu wanauza kwa jumla!!
sasa huu si Usenge!? samahani kwa ******* wote..hapa nina maana nyingine Kidogo!!
 
mwanakijiji unatuweka roho juu juu!!!
tupe vitu!!!
mh!!!!!!!!membe nae z u z u hajui hao wafadhili ndo watoa fwedha!!!
 
halafu mtu akipewa mapumziko ya ghafla anaanza kulia.. jenga hoja, na iache isimame kwa hoja, matusi haiifanyi hoja ya kuwa na nguvu, ila kunadhihirisha udhaifu wa nguvu za hoja yako na hivyo kutufunulia udhaifu wa mtoa hoja!

Bila mimi Ungewza wapi Kuandika hicho Ulicho andika!! Nyoko wewe!
 
Sahara nimepata ujumbe wako na ndiyo nimeona hicho alichoandika Gigo. Usiwe na shaka, katika shamba lenye rutuba lazima kuna magugu
 
Back
Top Bottom