Niwangapi wanatamani kukutana na hawa wana jf?

Mimi nimekutana na wengi uso kwa uso,wengine huwezi kutegemea kama ndio wenyewe kulingana na Avatar/majina yao. Wengine ilibidi nicheke kwanza. Bahati mbaya wote ambao ningependa kukutana nao hawajatajwa!!!!!!!!
 
Mimi nitakuwepo halafu kama pati na kuwa mlangoni!!

Am in. Ila wambea na usalama wa taifa waliokosa kazi hatutaki umbea napenda tuwe kijamii zaidi. Na kwa wa Dsm.itakuwa bomba kama tutapanga siku moja tuende beach gani ambapo tutakuwa wanajamii wenyewe tu tukibadilishana mawazo then tufanye utaratibu wa kuonana na wa mikoani pia

KIFUPI NIMEIPENDA HII UKO JUU BRO.
 
Hivi jk naye akija huko beach kama mwana jf si itakuwa balaa? maana huko tutaonana uso kwa uso,au tufanye plastic surgery ya uso?
 
kuna mmoja ali-log in kwenye internet cafe moja akasahau ku-sign out. Nilipoona id na avatar yake nilicheka kwanza, yaani haviendani kabisaaa. Halafu huwa anapenda kuchangia mada kama kabinti flani hiviii........ yaani kaaazi kweli kweli, so ni bora tusionane tu ili tuendelee kuchangia mada bila kuogopana.
 
Nikawaida ya mwanadamu kuona kile anachokiamini je niwangapi wanatamani wangekutana live na hawa wenye user's name hizi??Nyamayao,Firslady1,Preta,Rose1980,Mwanajamii one,BigMama,thefinest,kibweka,EL Toro,Ndibarema,Katavi,Bujibuji,Kituko,Mwasu,Mwanakijiji,Sister sisita,Rutashubanyuma,fidel80,Pakajimmy,dreamliner,Gaijjin,Kakajambazi,acid,kakajambazi,Baba_enock,Rev Masanilo,Fixed Point,Funza dume,Kaizer,Asprin,Smiles,bht,Buchanan,Baba gft,Chauro,Daughter,Maralia Sugu,Paka Mweusi,Dreamer,Dem amsi,Invisble a.k.a Robot,Painkiller,Masiki_Jeuri,Maty,Kimey,Nyani Ngabu,Mchukia ufisadi,Da Sophy,Roya roy,Katerero,KakaKiiza,?<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/doh.gif" border="0" alt="" title="Doh" smilieid="169" class="inlineimg" />Msanii,Safari_n_Safari, tafadhali tupo pamoja!!

:doh::doh::doh: OOOpps again!
 
halafu KK iyo avatar yako ndo nini ivo unatutisha wengine
Chauro nitake radhi inamaana unataka kumkosoa aliyekutengeneza mimi nawewe??nausirudie tena kusema avatar hii ni SURA YANGU HALISI KWA MSISITIZO ZAIDI!
 
kuna mmoja ali-log in kwenye internet cafe moja akasahau ku-sign out. Nilipoona id na avatar yake nilicheka kwanza, yaani haviendani kabisaaa. Halafu huwa anapenda kuchangia mada kama kabinti flani hiviii........ yaani kaaazi kweli kweli, so ni bora tusionane tu ili tuendelee kuchangia mada bila kuogopana.

kamba
 
Back
Top Bottom