Nimekusoma Kaunga! Hivyo ndo kusema mwanaume hawezikuamua mkewe avaaje?
aisee mi nikiona dem kapiga kikuku nachanganyikiwa flat out.
kwani waliwa pande zote weye kama samaki?
khaa, achana na vikuku dadaangu.
basi utachanganyikiwa flat in ukiniona
Hawezi kuamua, anaweza kushauri! Muamuzi ni mvaaji!
Nyumba nyingne mawifi na mashemeji wamejaa
Tutoane ushamba!kikuku ndo stail gani?