Niuzie laptop

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Wana JF, mwenye ka laptop kenye average specs,na moderate speed kwenye internet,used of course BUT NOT DEFECTIVE,nanunua kwa 500,000. Niliipata kwa bei poa zaidi tofauti nitachangia kwenye JF.
Iwe DSM,TZ. Hata kama haina software poa,ninazo za kich......a.
 
Nenda pale Millenium Business Park, along Morogoro road .....kuna duka linaitwa Just computers pale nadhani unaweza pata computer ya bei hiyo. Ni vizuri zaidi ukienda na mshakaji wako ambaye anautaalam na computers ili msaidiane kimawazo jinsi ya kupata laptop bomba!!!
 
Kama ungekuwa na jamaa wa karibu Nairobi kwa hiyo hela ungepata lap top nzuri kiasi!
 
Mkuu mie kwa hiyo hela ukiongeza laki moja nakupa TOSHIBA netbook, CPU N280 @1.66GBz,0.99 GB RAM,Intel (R) Atom(TM)

System
Windows XP professional
Version 2002
Service Pack 2

Ni mpya mkuu hii ni sawa na bure...
kama unataka zipo zingine but only netbook...
 
Nitafute kwa namba hii 022 277 1316,nitakupatia toshiba au Dell kwa laki 3.5 hadi 4.
 
Hiyo laki 500,000 inatosha kununua tablet pc ya HP mpya toka China, nenda pale Sinza opposite Afrika Sana, utaona duka kubwa kioo kwa nje utaona ma TV makubwa ya plasma, ingia ndani utaona pc zao mpya na used kutoka China.
 
Nawashukuru sana sana nimeipata laptop mpya kutoka kwa muungwana ambaye hakutaka nimtaje jina lake alikuwa na yake amefanya kuniuzia mpya kwa kunisaidia kwa bei hiyo hiyo,lakini hizi source zote zimekuwa faida kwangu na labda kwa wengine.
Asanteni sana na sasa nimeanza kula mziki huku nikifanya kazi,JF pembeni na mengineyo.:violin:
RE.
 
mkuu, kama unataka ya bei nafuu zaidi ninazo laptop used Pentium III
Dell Inspiron 4000
Windows XP
RAM 256
HDD 10 gb
CDROM- DVDR

Zina ghali nzuri kabisa. kama unataka kwa matumizi ya internet tu itakufaa
Bei zake ni poa sana kwa moja ni Tsh 30,0000/= tu ukinunua nne unapewa utapunguziwa nyingine kwa kununua kwa tsh 20,0000/=

Kama utapendzwa na sifa zake ni jibu nikutumie contact zangu.
 
:glasses-nerdy:Am Watching You,.
 
Angalia TBC1 BID TO BUY kila siku saa 5:40 usiku (11:40pm) zipo nyingi tu ni wewe na simu yako tu.
 
Mkuu GM7 uliishawahi kujaribu,nimeishaliwa vipesa vyangu vingi kwenye BTB mpaka nikakata tamaa.Namshukuru aliyeniokoa leo kuipata.
 
mkuu, kama unataka ya bei nafuu zaidi ninazo laptop used Pentium III
Dell Inspiron 4000
Windows XP
RAM 256
HDD 10 gb
CDROM- DVDR

Zina ghali nzuri kabisa. kama unataka kwa matumizi ya internet tu itakufaa
Bei zake ni poa sana kwa moja ni Tsh 30,0000/= tu ukinunua nne unapewa utapunguziwa nyingine kwa kununua kwa tsh 20,0000/=

Kama utapendzwa na sifa zake ni jibu nikutumie contact zangu.

Au sio mkuu,Naona laptop siku hizi bei yake unaweza hata kununua kibanda cha kujilaza,Kazi kweli kweli sio mchezo!
 
mkuu, kama unataka ya bei nafuu zaidi ninazo laptop used Pentium III
Dell Inspiron 4000
Windows XP
RAM 256
HDD 10 gb
CDROM- DVDR

Zina ghali nzuri kabisa. kama unataka kwa matumizi ya internet tu itakufaa
Bei zake ni poa sana kwa moja ni Tsh 30,0000/= tu ukinunua nne unapewa utapunguziwa nyingine kwa kununua kwa tsh 20,0000/=

Kama utapendzwa na sifa zake ni jibu nikutumie contact zangu.
mkuu hizo mbona kama zimekaa kichina?
 
Nawashukuru sana sana nimeipata laptop mpya kutoka kwa muungwana ambaye hakutaka nimtaje jina lake alikuwa na yake amefanya kuniuzia mpya kwa kunisaidia kwa bei hiyo hiyo,lakini hizi source zote zimekuwa faida kwangu na labda kwa wengine.
Asanteni sana na sasa nimeanza kula mziki huku nikifanya kazi,JF pembeni na mengineyo.:violin:
RE.
Ndo manufaa ya JF haya.
Uliza ujibiwe,
Tafuta utapata,
bisha utafunguliwa,
danganya utaumbuliwa
GAIJIN UPOOOOOOOoooo!!!???????????
 
Back
Top Bottom