Niuzie gari.. nina milioni 3

Iko chaser gx 100 ina bima kubwa na vibali vyote safi ina hali nzuri gari yangu mwenyewe Nipigie 0622210216 ili uiangalie.
 
Gari zipo usiogope nenda kwa wanao uza magari,magomeni,Kinondoni n.k wanazo gari kwa bei hiyo.Gari unazoweza kupata kwa bei hiyo ni kama Starlet old model,Raum old model,Spacio old model,Premio old model,Suzuki vitara 3 doors,Toyota Corolla n.k.ingia pm kama uko serious nikupe namba za madalali.
 
Attachments

  • IMG-20160908-WA0001.jpg
    IMG-20160908-WA0001.jpg
    58.6 KB · Views: 36
  • IMG-20160908-WA0002.jpg
    IMG-20160908-WA0002.jpg
    60.2 KB · Views: 43
  • IMG-20160908-WA0003.jpg
    IMG-20160908-WA0003.jpg
    50.8 KB · Views: 39
  • IMG-20160908-WA0006.jpg
    IMG-20160908-WA0006.jpg
    48.1 KB · Views: 40
  • IMG-20160915-WA0000.jpg
    IMG-20160915-WA0000.jpg
    39.4 KB · Views: 40
Hii fari nahc nmeipenda...wajuzi wa mambo labda kama mna maono tofauti
Inategemea unataka kwa matumiz ya mjini tu, au kama unakaa nje ya mji madimbwi mvua ikinyesha ndio utajua FAIDA YA KUWA NA gari ya 4WHEEL DRIVER.
Pia ni vizuri ukakagua gari ukiwa na fundi wako mana hao wanajua vimeo na kitu roho ya paka. Mfano hizo gari utaambiwa family problem, kumbe imechakazwa mbaya imebaki rangi tu kuvutia
 
Mkuu unapoint nzito sana
 
Kachungulie kule private box nimekutumia picha ya Vitara, niliokuahidi. Ukipenda siku ya kuja kuiona njoo na fundi wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom