Niuzie gari.. nina milioni 3

Hata bajaji hupati acha gari. Nikikatakata na kuuza scrap nitapata zaidi ya hizo
 
Kama heading inavyosema...nina mil 3 cash.
mie ninayo SUZUKI ESCUDO milango 3. nimeipack. Inatembea vizuri, naweza kukupa inahitaji rangi na kulipia motor vehicle. Ukihitaji ni PM ila kwa bei hiyo (ushauri) ili upate gari nzuri lazima utaongeza gharama. Mfano yangu ni rangi na motor vehicle. Hiyo ni nafuu. ila zingine kama matatizo ni ya ndani kama engine hapo pasua roho, UTALIA KILIO CHA MBWA.
 
Ni

Pm pcha ya hyo gari
 
1475219218147.jpg
1475219218147.jpg
1475219218147.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom