Niushauri wako tu..

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,400
NIMEMALIZA SHULE KAMA MIEZI 3 IMEPITA NIKAWA NAFANYA KAZI KWENYE COMPANY FULANI KWA $ 2000 NIKIWA NAFANYA MCHAKATO WAKuRUDI BONGO MARA NIKAPATA ZALI NIKAFANYA INTERVIEW KWENYE COMPANY NYINGINE NIKAPATA JOB NA SASA NIMEFANYA KAZI WIKI 3 NINALIPWA $ 8,900 KWA MWEZI UKWELI SIFURAHI KAZI NILIYONAYO KWA SABABU NAFANYA KAZI UNDER PRESSURE,STRESS,NATUMIA AKILI SANA KILA KITU NINACHOKIFANYA,NO TIME TO ENJOY WITH FRIENDS ..NAINGIA ASUBUHI NATOKA USIKU KILA SIKU,SIKU 5 ZA WIKIi ..NATAMANI NIRUDI ZANGU BONGO KWENYE MSHAHARA WA $ 700 KWA MWEZI NA FULL SHANGWE KILA SIKU NI WEEKEND..

USHAURI JAMANI NIRUDI ZANGU HOME AU NIVUMILIE?na kama nikuvumilia nivumilie kwa mda gani?na nisiporudi bongo mwajiri ananifukuza kazi sababu mda alionipa unaelekea kuisha.
 
Mkuu piga kazi uje ujiajiri utakulaje raha mtu wangu wakati unahitaji faidika baadae..
 
asante kwa kutujulisha kwamba unafanya kazi mbele na unalipwa dolla 8000 na ushee
 
We vumilia upate kuwa na savings zinazoeleweka ili angalau ukiwa unarudi uweze kujijenga kama ni ku-invest. ukirudi saa hivi utalia maana hali ni mbaya ndugu yangu. I wish i was you despite the stress..............
 
Kwa hyo unataka kurudi bongo kwenye mshahara wa dollar 150 kwa mwez sio?
 
Naomba ni we mkweli sijawahi kufurahia hii kazi hata siku moja kila siku manyanyaso na pili wanaubaguzi wa rangi uliowazi yaani si swala la kuuliza sababu mimi tu ndiyo black na hakuna mwingine na hawajawahi kufanya kazi na black hata siku moja ka hiyo wananiona kama mie ni mtu tofauti na wao..

nahisi mda mwingine ni bora ufanyie malipo kidogo lakini lakini huwe na furaha..sababu furaha hainunuliwi hata kwa pesa.ila nimejipa mda ngoja nivumilie kidogo baada ya hapo nione..stress mbaya sana..lol
 
Rudi zako bongo mwaya! Yaani siku 5 zote kwa wiki huwezi kuhang na marafiki? Marafiki ni muhimu sana kwa maisha yako. Tena kama bongo ulikua serikalini ndo full bata. Unatoka kazini na kuingia utakavyo,kasoro hela tu ndo huna. Rudi mwayego.
 
Naomba ni we mkweli sijawahi kufurahia hii kazi hata siku moja kila siku manyanyaso na pili wanaubaguzi wa rangi uliowazi yaani si swala la kuuliza sababu mimi tu ndiyo black na hakuna mwingine na hawajawahi kufanya kazi na black hata siku moja ka hiyo wananiona kama mie ni mtu tofauti na wao..

nahisi mda mwingine ni bora ufanyie malipo kidogo lakini lakini huwe na furaha..sababu furaha hainunuliwi hata kwa pesa.ila nimejipa mda ngoja nivumilie kidogo baada ya hapo nione..stress mbaya sana..lol

Always in life,try to find happiness,for you and your family. Remember money is not a good motivator!. You might be paid even $10000,but what is the use of it if it just contribute in shortening your life!. Peace of mind do not come on things but through beliving in yourself and having good Emotional Bank Account(EBA). Try to weigh and find where is your true hapiness lies,and after knowing just go for it,wherever it is!.
 
Back
Top Bottom