Mwanaharakatihuru
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 477
- 120
Kwa utafiti mdogo nilio ufanya kwa rafiki zangu na timeline za wanajeshi takribani 20 wakubwa ninaowajua nimekuta wakiizodoa serikali pasipo kificho. Nadhani Facebook inatupa nguvu wananchi kujua kwamba tunasupport kubwa ya mabadiliko ambayo tunaweza kutumia kwa manufaa ya nchi yetu.
Je rafiki zako wanajeshi kwenye facebook wana huu uthubutu?? na je umeplay role yako kuwahamasisha katika safari ya mabadiliko chanya?? Timiza wajibu wako tumikia taifa lako.
Amani sio ujinga Amani ni uwajibikaji.