Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Bro wako alisoma Geo ya wa kina dada+vil*za ambayo ni Bsc with Geo na sio Bsc in Geo ya PCM pekee.
Mkuu we kama mtu mwenye degree hutakiwi kusema maneno kama hayo, mtu anasota miaka minne anakuwa kajitahidi sana.
Haya naneno wanaongeaga first year tu
 
Plz help me to understand the definition of "Geological time scale " and its significance in the study of Geology.
Geological time scale explains series of events that occurred since the origin of the universe through time,

Hii inasaidia kujua how the earth have been changing from time to time

The whole history of the earth is explained in the geological time scale
 
tueendelee kukuza carrier ya MINING/GEOSCIENCE coz ndo msingi na mwanzo wa mafaninikio ya GEOSCIENTIST yeyeto yule,,,Nafasi za kuapply nimezi attach hapaa
 

Attachments

  • Vacancies - November 2016 - The Guardian.pdf
    10.7 MB · Views: 226
Ningejibu kwa kiswahili ila bahati mbaya elimu niliyoipata sijafundishwa kwa kiswahili

Sedimentary rocks are formed through the gradual accumulation of
sediments. for example, sand on a beach or mud on a river bed. As the sediments are buried they get compacted as more and more material is deposited on top. Eventually the sediments will become so dense that they would essentially form a rock . This process is known as lithification .


Igneous rocks are rocks which have crystallized from a melt or magma.The melt is made up of various components of pre-existing rocks which have been subjected to melting either at subduction zones or within the Earth 's mantle. The melt is hot and so passes upward through cooler country rock .

As it moves it cools and various rock types will form through a process known as fractional crystallization .
Igneous rocks can be seen at mid ocean ridges, areas of island arc volcanism or in intra-plate hotspots .

Metamorphic rocks are rocks which once existed as igneous or sedimentary rocks but have been subjected to varying degrees of pressure and heat within the Earth's crust.
The processes involved will change the composition and fabric of the rock and their original nature is often hard to distinguish. Metamorphic rocks are typically found in areas of mountain building .

Yafuatayo unaonaje kama maelezo kwa Kiswahili?

Aina ya miamba
Mwamba hutokea kwa namna tatu:
  • mwamba wa mgando au mwamba wa kivolkeno unajitokeza pala ambako magma au lava inaganda, kwa mfano itale.
  • mwamba mashapo hutokea pale ambako miamba inavunjika na kusagwa katika mmomonyoko na mashapo yanakandamizwa kwa njia ya kanieneo ya mashapo ya juu hadi mashapo kuwa mwamba mapya.
    • aina ya pekee ni visukuku ambayvo ni mashapo yaliyosababishwa na wanyama au mimea itakayokuwa mwamba mashapo baadaye. Mfano: makaa mawe.
  • mwamba metamofia ni mageuzi ya miamba ya awali -ama ya kivolkeno au ya mishapo- kwa njia ya kanieneo kubwa sana na joto kali kuwa aina mpya ya mwamba. Metamofosi kwa kawaida hutokea katika kina kubwa.

Mzunguko wa miamba
Miamba hubadilishwa umbo katika muda wa miaka mamilioni. Madini yao huingia katika hali mbalimbali ya mwamba.
  • a) Mwamba wa kivolkeno hutokea kwa kuganda kwa magma au lava.
  • b) Mwamba huu huvunjika kwa mmomonyoko na vipande vyake hubebwa na maji au upepo mahali vinapolala kama ganda la mashapo.
  • c) Mashapo kukandamizwa kwa njia ya kanieneo na kuwa mwamba mashapo.
  • d) Mwamba mashapo hufikia katika kina kubwa na kugeuzwa kwa njia ya metamofosi kuwa mwamba metamofia.
  • e) Hata hii mwamba metamofia husukumwa na nguvu za gandunia kufika tena juu na kupatwa na mmomonyoko kuwa mwamba mashapo.
  • f) Kila aina ya mwamba unaweza kumezwa na mwendo wa gandunia na kuyeyushwa tena kuwa magma.
 
Ningejibu kwa kiswahili ila bahati mbaya elimu niliyoipata sijafundishwa kwa kiswahili

Sedimentary rocks are formed through the gradual accumulation of
sediments.

for example, sand on a beach or mud on a river bed. As the sediments are buried they get compacted as more and more material is deposited on top.

Eventually the sediments will become so dense that they would essentially form a rock . This process is known as lithification .


Igneous rocks are rocks which have crystallized from a melt or
magma.
The melt is made up of various components of pre-existing rocks which have been subjected to melting either at subduction zones or within the Earth 's mantle. The melt is hot and so passes upward through cooler country rock .

As it moves it cools and various rock types
will form through a process known as fractional crystallization .
Igneous rocks can be seen at mid ocean ridges, areas of island arc volcanism or
in intra-plate hotspots .

Metamorphic rocks are rocks which once existed as igneous or
sedimentary rocks but have been subjected to varying degrees of
pressure and heat within the Earth's crust.
The processes involved will
change the composition and fabric of the rock and their original nature is often hard to distinguish. Metamorphic rocks are typically found in areas of mountain building .

View attachment 371090
So in general term what can be the application of geology in today's life???
 
Back
Top Bottom