Mgandamizo wa hewa unatokana na nin? najua utasema Nothern pole na Southern pole pana umbali kutoka kwenye jua ukilinganisha na Equtorial low pressure. Lakini inasadikika angani kunaupepo zaidi ya hapa karibu! KWANINI sababu ya upepo isiwe Rotation na Revolution ya dunia nikichukulia mfano wa upepo unaosikika wakati mtu anapokuwa kwenye usafiri!Upepo husababishwa na tofauti ya mgandamizo wa hewa, kuttoka kwenye mgandamizo mkubwa kwenda mdogo.
Juu ukiwa ndani ya chombo cha usafiri, naweza kusema ni kwa sababu ya tofauti ya mwendokasi wa chombo cha moto na ya upepo. Hivyo hufanya upepo kusikika kama unavuma kwa sana..