Nitumie ISP gani?

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,621
1,706
Habari wadau hasa wale walioko ktk medani ya IT, ebwana nataka kufungua net cafe lakini bado sijapata ISP kwa maana wengi wanazingua. Kama unamfahamu provider nzuri hasa kwenye price na speed niambie.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom