nitumie dawa gani?

kanewi

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
298
199
Kuna vinyama vidogo vimenitokea pembezoni mwa uume, haviumi ila ni vidogo vitatu, kama ambavyo wengine vinawatokea mikononi, usoni na sehemu zingine za mwili.

Mimi vipo pembeni kidogo na uume kuna wakati huwasha sana na vina mda mrefu kidogo yapata mwaka sasa. Mama Ngina juzi wakati tunahama dunia kwenda kwenye maraha akaniuliza, hivi ukivikata inakuwaje?

Nisaidieni cha kufanya, nivikate au kuna dawa gani ya kuviondoa kabisa maana naona mama ngina wangu kama anakereke navyo.
 
Back
Top Bottom