Nitoke vipi baada ya ban!

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,220
4,056
Devi kamwona mwenzie waliesoma nae siku nyingi akiwa amejiinamia kwa masikitiko kwenye baa. Akamsogelea,
Devi: Aise Abuu, habari za siku nyingi?
Abuu: Safi japo si safi sana, nina mawazo sana, maisha yamekuwa magumu sana ndugu yangu.
Devi: Nini tatizo unaonekana uko hovyo sana
Abuu: Niko hovyo ndugu yangu. Unajua Mzee wangu alifariki mwaka jana Januari, akaniachia urithi wa shilingi milioni sita. Miezi mitano baadae, mama akafariki akaniachia nyumba nikauza nikapata milioni 22,
Devi: Duh aise pole sana kupoteza wazazi wote mfululizo lazima ikupe mtu mawazo.
Abuu: Mjomba nae baada ya miezi mitano kafariki akaniachia milioni4
Devi: E bwanaee mbona mikosi? Kila miezi mitano unapoteza mtu?
Abuu: Mikosi kweli sasa imeshapita karibu miezi minane kimya na hela imeshaisha ndugu yangu
 
Kwa iyo alikuwa amekalili kila baada ya mda huo anaingiza uyo ni kiazi tu inasikitisha lakini inachekesha na inatafakarisha sawa Bwana labda walikuwa mafrimansom
 
Back
Top Bottom