nitoeni ushamba kdg

hapa ni darasa tupu

safi

wana Jf tunapendana sana

japo wapo wengine wana roho za kwa nini



safi sana mkuu endelea kuwa na moyo huo huo mkunjufu na wa kujikinai maana kutegemeana ni jambo jema,
japo wengine wanajifanya wanajua lakini at the end of all hawana msaada wanaishia kuandika lol!

Kabisa mkuu maisha siku zote ni ya kusaidiana nilichonacho mimi au ninachojuwa lazima nimgawie na mwenzangu afaidike kidogo kwa hiyo hicho inakuwa sio mbaya kuliko kukaa kimya wakati jibu unalijuwa......
 
Back
Top Bottom