Nitawezaje?

dropingcoco

Senior Member
Jun 21, 2008
124
11
1. Kuhamisha namba za simu kutoka kwenye phonebook kuhamishia kwenye computer na kuzitoa kwenye computer kurudisha kwenye simu? (hii ni kutokana na kupoteza simu na kupoteza contacts muhimu

2. Kujua kama simu yangu ni 3G, nini kinanionyesha hilo?

3. Kujua kama hawa Airtel wameondoa ile huduma yao ya kutoa muda wa maongezi wa dk 10 na 200mb baada ya kuongeza voucher?

4. Kujua kama hawa Vodacom bado ile kuongea kwa shilingi kwa sekunde kama bado ipo, maana siku hizi kuongea Vodacom kwenda Vodacom hela inaliwa haswa, na kama ipo nini kinasababisha pesa iishe mara moja namna hiyo?

Natumaini wataalamu wa mambo haya mtanisaidia ipasavyo

Asanteni
 
Naona Hapa imekuwa Customer care
1.kama nokia, samsung,sonyericsson n.k nenda ktk website zao udownload software utaweza hayo yote
2.refer manual au fungua GSMArena.com - GSM phone reviews, news, opinions, votes, manuals and more... uweke model ya cm yako
3.dial 100
4.dial 100

1. Kuhamisha namba za simu kutoka kwenye phonebook kuhamishia kwenye computer na kuzitoa kwenye computer kurudisha kwenye simu? (hii ni kutokana na kupoteza simu na kupoteza contacts muhimu

2. Kujua kama simu yangu ni 3G, nini kinanionyesha hilo?

3. Kujua kama hawa Airtel wameondoa ile huduma yao ya kutoa muda wa maongezi wa dk 10 na 200mb baada ya kuongeza voucher?

4. Kujua kama hawa Vodacom bado ile kuongea kwa shilingi kwa sekunde kama bado ipo, maana siku hizi kuongea Vodacom kwenda Vodacom hela inaliwa haswa, na kama ipo nini kinasababisha pesa iishe mara moja namna hiyo?

Natumaini wataalamu wa mambo haya mtanisaidia ipasavyo

Asanteni
 
nokia tumia ovi suite au pc suite
blackberry tumia bb desktop manager
iphone tumia itunes
hizo apps zitakusaidia ku-synchronise contacts zako na microsoft outlook kwenye pc yako
 
asanteni kwa kunielekeza japo mpaka sasa sijaelewa nitazihamisha kwa namna gani, hiyo nokia pc suite ninayo, je naanzaje kuhamisha?
 
asanteni kwa kunielekeza japo mpaka sasa sijaelewa nitazihamisha kwa namna gani, hiyo nokia pc suite ninayo, je naanzaje kuhamisha?
kuna cable yake unganisha simu na usb port ya pc yako.open pc suite na ugonge icon ya kusynchronise then follow steps
 
1. Kuhamisha namba za simu kutoka kwenye phonebook kuhamishia kwenye computer na kuzitoa kwenye computer kurudisha kwenye simu? (hii ni kutokana na kupoteza simu na kupoteza contacts muhimu

Kama simu yako na hiyo computer vina bluetooth unaweza ukazi-pair na uka-transfer chochote kilichopo katika hivyo viwili digitally
 
POLE SANA:

KWA TATIZO LA KUTOPOTEZA CONTACT ZAKO FANYA HIVI

JIUNGE NA OVI MAIL...YAANI FUNGUA ACCOUNT
UTAONA SEHEMU YA CONTACT....
SELECT SIMU YAKO....
FATA MAELEKEZO UTATUMIWA MSG TOKA NOKIA

BAADA YA HAPO KUNA OPTION YA SYC so contact zako zitaenda kukaa kwenye website ya ovi hutapoteza tena

nakama kwenye simu utaongeza new contact hata moja..bonyeza syc tena kwenye simu, utaona inakuwa updated kwenye ovi...ni raha na rahisi.

www.ovi.com

cheers!!
 
lakini pia weweza tumia backup hasa nokia original kama unatumia nokia pc suite tafuta sehemu imeandikwa backup then ukibofya utapata menu ambayo utachagua unataka kufanya backup nini contact,masage, au unataka ubackup vitu vyote pamoja na nyimbo theni utaendelea na maelekezo ila ni muhimu kuwa na cable yake kwa iko vena zaidi kuliko bt na alama ya backup kwenye pcsuite ina kibox na kimshale ni ni yakwanza juu halafu waweza save hiyo backup hata kuiupload kwa e-mail yako na siku ya kuirudisha una restore. Gi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom