Nitawezaje Ku-Unlock iphone network Tanzania ?

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Hey,
For a week now I am husttling with my f$$$ckng iphone from Apple...

Can you help me how to unlock to get network service like tigo, airtel and vodacom

Unajuwa hawa watu wanaziba hackers na wanataka utumie wale subscribers ambao wameregister nao kama A&T.......

Nimetumia Ultrasn0w, inagoma! Wameblock ile Supreme Preference
Nimetumia SAM application from Bingner in cydia, wamegundua hawa apple
Nimetumia tetherme nayo hollaaaaa

Nani ana maujanja!!!

Kwa sasa natumia wifi, thanks for this little toy ideos android device..... Nimeitune to wifi nakula mambo!!!

Naombeni mwenye ufahamu wa ofisi zinazoweza kunifungulia au

Kama unajua software nzuri zaidi ya ku-unlock
 
Kuna fundi mzuri yupo pale Samora karibu na Mnara wa askari anaitwa Chimuke mpigie kwa simu (0713614946) au ukifika pale Samora maduka yaliyopo karibu na mnara wa askari waweza kuulizia hapo, ofisi yake ipo ktk kighorofa hapo hapo ktk maduka karibu na askari monument kulia km unaelekea mnara wa saa.
 
Komaa nayo kaka, kwa fundi itakutoka 50-80!!! Mimi si mtaalam wa IT lakini google ilinisaidia mikaifungua iPhone 4s bila matatizo yoyote!
 
iPhone 3g, version 4.1 firmware 06.15.00

Mtafute Austin (0715382052) ni dealer wa Apple products anapatikana posta. Anazielewa sana hizi simu na anakupatia guarantee. Amenisaidia kuzibua ya kwangu na ni mwaka wa pili sasa naitumia haijanieletea shida. Kila la heri.
 
Mtafute Austin (0715382052) ni dealer wa Apple products anapatikana posta. Anazielewa sana hizi simu na anakupatia guarantee. Amenisaidia kuzibua ya kwangu na ni mwaka wa pili sasa naitumia haijanieletea shida. Kila la heri.


Ahsante, nitajitahidi kumsaka jamaaaaaa
 
siku hii kampuni nyingi za simu zinafungua simu zao, kabla mtu hujaiondosha inapotumika katika network yao unawapigia simu na kusema unataka kwenda holiday unaomba waifungue. wanatoa code bila matatizo zamani ilikuwa shidaaaa.

wengi hawajui hii kuwa ukiuliza hutapoteza chochote, unapata kodi yako bureeeeee na instructions jinsi ya kuifungua.
 
iPhone 3g, version 4.1 firmware 06.15.00

nmepata tatizo na iPhone 3G yangu kwa kama siku 3 lakini nimefanikiwa kulitatua tatizo hilo jana. Iphone yangu nliinunua kwa mtu sasa nikaamua kuifanyia factory settings ndo ikawa imeroga. Baada ya kumaliza kureset ilikataa kuwaka ikawa inaishia kwenye logo ya apple. Nikahangaika weee mpaka nikafanikiwa kuiamsha ikawa inataka ni-restore iOS firmware kupitia iTunes lakini ilishindakana kurestore manake ilikuwa JailBroken na BB zilikuwa hazimatch. Tuyaache hayo nakushauri ufanye yafuatayo kujaribu ku-unlock simu yako

kwanza utahitaji hizi software

1. Apple iTunes 10 or later (Kwa ajili ya kurestore new Jailbroken firmaware
2. Sn0wbriz v 2.9.6 (kwa ajili ya kutengeneza custome .ipsw ili uirestore kupitia iTunes)
3. Reds0w kwa ajili ya ku-downgrade BB kwenda 0.5.13.04
4. ultrasn0w (kwa ajili ya ku-unlock) hii utainstall kupitia Cydia kwenye iPhone yako na sio PC
5. Current iOS firmware 4.2.1 for iPhone 3G

pia unaweza hitijai iREB kwa ajili ya kukusaidia kuingia kwenye DFU mode

utakapo kwama leta feed back


angalia na hii video ndo imeniokea mimi

 
Last edited by a moderator:
iPhone 3g, version 4.1 firmware 06.15.00

Mkuu Iphone 3G ni simu ya pili Apple kuitoa walipoanza ni ya siku mingi sana, imepitwa sana na wakati isee
Maana apps nyingi sana zitakataa kuingia na kufanya kazi hivyo hutaifaidi kabi ios
Utahangaika nayo utaishi kupiga na kupokea na kumia browser

Jipinde angalau uchukue angalau iphone 4s

Fuata maelekezo ya mkuu Nyasiro
Mkuu Nyasiro jailbroken idevice huwa hazifanyiwi hard reset
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom