Nitapata wapi kampuni hii tanzania

mtanzania in exile

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
1,335
1,183
Habari zenu wana JF wote.

Kwa wakati huu mimi nimo katika mpango wa kuanzisha biashara yangu dar na zanzibar. Biashara yangu hii inahitaji kila ofisi kuwa na matumizi ya network in full (inter networking) na ambayo itakuwa wafanyakazi wote wanategemea network connection kufanya kazi zao za kila siku.

Suali langu kwenu ndugu zangu ni jee kuna yeyote aneijua kampuni nchini (hususan dar) ambayo inashuhulikia mambo ya network infrastructure? Nahitaji kampuni ambayo sio tu inayolaza network cables lakini ina consult na ina provide solution ya network infrastructure.
Ahsanteni
 
uko tayari ku spend how much?
samahani lakini kwa nini unatoka nje ya mada, ninachotaka ni kujua kama nitapata wapi kampuni inayoweza kunifanyia kazi hii, nina kiasi gani au niko tayari kuspend kiasi gani sio issue hapa kabisa. Nikiijua kampuni ndio nitawaonyesha project yangu nao ndio watakaosema gharama ni kiasi gani nikiweza nitawapa project siwezi nitatafuta kwengine, sasa wewe ya nini kujua bajeti yangu? Nijibu nilichouuliza kama hujui kampuni yeyote inayofanya kazi kama hizi basi sio lazima utume post, sawa?
 
mtanzania in exile

Wasiliana na TTCL wana kila aina ya wataalam pale na kwa sasa wamepunguza sana bureaucracy za shirika la umma kwani wameshaambiwa wajiendeshe wenyewe bila ruzuku, na wao ndio wanaunganisha mkonga wa fiber optics network kwa Tanzania nzima kwa sasa na pia wanawafanyia kazi hiyo Serikali ya Rwanda.

Mimi binafsi ni mtaalam wa telecommunications networks, LAN, WAN na nyinginezo. Ingawa kwa sasa najiajiri mwenyewe, nna uzoefu wa zaidi ya miaka 25 nje ya Tanzania kwa kazi hizo, kwa sasa nafanya shughuli zangu Dar. Ikiwa utahitaji ushauri wa kitaalam na au coordination na TTCL au kampuni yoyote nyingine, na ikiwa tutakubaliana malipo, unaweza kuwasiliana nami kwa pm tupange zaidi.
 
Salaam mkuu,

hiyo kampuni ipo sisi walishatufanyia kazi network iko bomba mpaka kesho , na pia nazijua nyingine zipo shaka juu ya hilo ondoa. tuwasiliane 0657 14 5555 0686 200 117, thomasnelson564@yahoo.com
 
Salaam mkuu,

hiyo kampuni ipo sisi walishatufanyia kazi network iko bomba mpaka kesho , na pia nazijua nyingine zipo shaka juu ya hilo ondoa. tuwasiliane 0657 14 5555 0686 200 117, thomasnelson564@yahoo.com

wewe akiri hivi uko siriasi? mbona hiyo number ya simu uliotowa ni ya ajabu mno? uko sehemu gani duniani inayotumia digit zote hizo?
 
Back
Top Bottom