Nitapata wapi jezi ya tp mazembe???

Kireka1980

JF-Expert Member
Mar 18, 2008
302
43
Nahitaji jezi ya timu ya TP Mazembe kable ya kesho jioni anayefahamu zinapopatikana hapa Dar anijulishe.
 
Watafute wanamuziki wa Kongo, wengi wanakaa mitaa ya Mwananyamala/Kinondoni Studio, wanaweza wakakuuzia used...
 
Inabidi tufuatilie uraia wako kwanza. We badala ya kuulizia jezi ya mnyama utaipata wapi unaulizia ya mazembe!!!!!!!!!

ana haki jamani PENGINE ANAOGOPA AIBU AKAONA ABEBE ZOTE ATAKAESHINDA ANAIVAA..BINAFSI NIGEMSHAURI AANZA VAA YA MNYAMA 10MIN KABLA YA KUISHA GAME MKUU HAYO NDIO MATOKEO KAMA TUMEFUNGWA WE KULA ZAKO TP KWA RAHA ZAKO..ILAN IVAE KABISA JUU YA MNYAMA KUNA MAPOLISI WAMEANZA KUSASCHI KWA KUSHIKA SEHEMU ZA SIRI SIJUI WANAHAMU NAZO ..TENA WATU WAZIMA MPKA UNAJIULIZA ANAANZA MAPAJA AKIFIKA SEHEMU HUSIKA ANASHIKILIA KAMA 5 MIN LIKE ANA GOOGLE WEBSITE YA LOLIONDO KUPATA KIKOMBE TRIP HII NIMEWAWEKEA JUICE AKIMINYA ANYWE KABISA
 
Inabidi tufuatilie uraia wako kwanza. We badala ya kuulizia jezi ya mnyama utaipata wapi unaulizia ya mazembe!!!!!!!!!
Hayo mambo ya uzalenda kwenye kwa Vilabu vyetu nilishasahau, mkuu wala sitaki kuharibu weekend yangu kwa kisingizio cha uzalendo!!!
 
zipo kibao pale kariakoo sokoni, karibu na parking area ya upande wa kusini wa soko, kama unatokea upande wa kuingilia shimoni,..kuna chingaz kibao pale wanauza..
 
naelekea k'koo nikosa naenda Twiga/jangwani hadi kieleweke TP Mazembe. Uzalendo hawa jamaa hawabebeki...
 
Back
Top Bottom