Nitapata chuo jamani?

Nafasi zipo za kumwaga kile chuo kilichompa mzee wa kiraracha PhD. mwisho wa maombi ni Mei 30, 3012
 
nenda diploma dogo unasifa ila university itakua ngumu kwan una point 2 tu na kwautaratibu sayansi wanaanza na 2.5
 
Sheria yaTCU lazma ufikishe point 2.5 ndo u qulify kusoma degree no short cut means "E" mbili na "S" moja
 
Pcb
physcs-s
chemi-s
bio-e
unaweza kupata kozi ya clinical officer kwa kutumia cheti cha form four.kuna chuo kianza mwanza maombi ya nafasi za masomo yatatangazwa mwezi ujao na masomo yataanza october moja jaribu kuapply na hapo pia.wakitoa tangazo lao mwezi ujao nitalipost humu katika category hii
 
usikate tamaa, kama wadau walivyosema vyuo vya diploma utapata. soma diploma yako na ujitahidi ufaulu vizuri ili uende chuo kikuu. watu wengi wana PhD na wameanzia huko. kaa chini fanya uamuzi vyuo vipo vingi.
 
unaweza kupata kozi ya clinical officer kwa kutumia cheti cha form four.kuna chuo kianza mwanza maombi ya nafasi za masomo yatatangazwa mwezi ujao na masomo yataanza october moja jaribu kuapply na hapo pia.wakitoa tangazo lao mwezi ujao nitalipost humu katika category hii

clinical officer (CO) simshauri, ni safari ndefu sana 3 yrs dip then B.MD 5 yrs, total 8 yrs. Anyway kwakifupi ukishasoma CO mpaka kuja kupata nafasi ya kusoma MD ni mbinde, c'se itakubidi upange foleni na kwenye hiyo foleni kuna maelfu ya experienced COs' wakigomabnia nafasi chini ya 100 kwa mwaka.
Ukiingia huko utakufa na hiyo diploma mkuu
 
Back
Top Bottom