'Nitaondoka uwanjani endapo vitendo vya ubaguzi wa rangi vitaoneshwa'-BAROTELI

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mchezaji mweusi wa timu ya taifa ya Italia na klabu ya Man City,Mario BAroteli amesema ataondoka uwanjani endapo kutakua na vitendo vya ubaguzi wa rangi katika michuano ijayo ya EURO,,,,ambayo itafanyika POLAND na Ukraine,
sosi:bbc swahili on fb
 
Kaka wazungu hawatuthamini katu!jiulize beckham ana mpira gani mpaka wamtukuze hivyo?
 
anasema ataua mtu kama akimtupia ndizi mtaani...ni kweli ubaguzi wa aina yeyote uwe wa rangi,dini nk hauvumiliki kwenye karne hii...
 
Aiseee sie tunawalamba miguu wazungu huku tz wakati kwao huko wanatu-ignore kinomaaaaaaaaaa! Mie simfagiliii mzungu kabisa namuona kama nguruwe tu na sie ngoja tuanze kuwarushia miogo,baroteli usikonde na wewe tembea na muhogo wakirusha ndizi na wewe unawarushia mihogo!
 
Back
Top Bottom