Nitamwambiaje mchumba wa zamani kuwa sitomuoa tena

Sawa mamii, hatimaye nimekuelewa sasa. Ila nahisi hiyo mmefanya direct translation for the purpose of JF discussion and it is not an officia BAKITA translation(!?)

consult your TUKI dictionary my dia!!! wengine tulisoma KLF na HKL!!! hahaaaaaaaaaaa!!!
 
Kumbeeeeeeeeeeee!!! Simple like that??????
Yess Sipo...Kuna ugumu gani? kwenye thread sioni paliposema kuwa jamaa alimuahidi huyo dada kuwa atamuoa....Hata kama aliahidi kumbuka mambo hubadirika ingawa watu wengi hudhani kuwa kama demu umeshamega basi ndio ulichokuwa unahitaji sio kweli... Lazima watu tuwe na hekma ya kuamua mambo kuwa boy and girl friend si lazima kuzae ndoa ingawa huwa nashangazwa na lugha za akina dada eti wamepotezewa muda...
 
Laligeni asante sana kwa ushauri wako ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom